Makala maridhawa ya Ansbert Ngurumo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makala maridhawa ya Ansbert Ngurumo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlalahoi, Feb 22, 2010.

 1. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,067
  Likes Received: 402
  Trophy Points: 180
  Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na makala hii ya mwandishi Ansbert Ngurumo.Hebu isome kwanza kisha tujiulize pamoja maswali flani  Hivi hii kesi iliishaje (kama iliisha kweli)?Kubenea amekuwa akionekana machoni mwa Watanzania wengi kama mfichua maovu katika jamii.Na tukio linalozungumzwa katika habari hiyo hapo juu lilihusishwa na ujasiri wake huo.Vipi mbona hata yeye mwenyewe kama mhanga wa tukio hilo amekuwa kimya sana?
   
 2. M

  MILKYWAY GALAXY JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2010
  Joined: Dec 12, 2008
  Messages: 202
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kubenea got what he was striving for.
  Sasa katulia anaendeleza kazi aliyolipwa kufanya.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...