Baraza la Mapinduzi kukutana kwa dharura


Luteni

Luteni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Messages
2,274
Likes
10
Points
0
Luteni

Luteni

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2010
2,274 10 0
Kuna taarifa kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeitisha kikao cha dharura cha Baraza la Mapinduzi kujadili na kupitisha rasimu ya sheria ya kura ya maoni juu ya uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa.

Inasemekana kikao hicho kimeitishwa ghafula kutokana na uvumi kuwa kuna mpango toka bara wa kukwamisha kura ya maoni kabla ya uchaguzi mkuu kwa kisingizio cha muda wajumbe hao watakutana leo na wamepewa taarifa ya muda mfupi kuliko kawaida yake
Tunaomba mwenye taarifa zaidi atujulishe.......
 
BUSARA6

BUSARA6

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2007
Messages
345
Likes
26
Points
45
BUSARA6

BUSARA6

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2007
345 26 45
Duuh paka mweusi noma aisee.
 
A

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Messages
1,504
Likes
35
Points
145
A

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2010
1,504 35 145
wanacheza tu hao, seriali ya mkoa,itweza kupambana na soverein government ya JMT? hawaijui nji hiiiiiiiiii hao, waache tu na kimbeembele chao cha mazungumzo kati ya maalim na mwana wa kuli.................. kibao kikiwageukiwa, watajuuuuuta kifahamu bara
 
M

Magezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2008
Messages
2,960
Likes
218
Points
160
M

Magezi

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2008
2,960 218 160
mambo ni mema na heri wafanye hima kwani mabadiriko zanzibar yatatuamsha na sisi wa bara tulio lala fofofo utafikiri tumenyweshwa gongo tena ile namba one.
 
N

Nyauba

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Messages
1,098
Likes
8
Points
135
N

Nyauba

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2008
1,098 8 135
nawatakia kikao chema chenye maamuzi ya KUSONGA MBELE DAIMA...
 
Baba_Enock

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
6,866
Likes
291
Points
180
Baba_Enock

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
6,866 291 180
Mapinduzi Daima

Je wana UBAVU?
 
Luteni

Luteni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Messages
2,274
Likes
10
Points
0
Luteni

Luteni

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2010
2,274 10 0
mambo ni mema na heri wafanye hima kwani mabadiriko zanzibar yatatuamsha na sisi wa bara tulio lala fofofo utafikiri tumenyweshwa gongo tena ile namba one.
Mabadiliko ya zanzibar ni muhimu kuliko mnaana litakuwa fundisho tosha si tu kwa vyama vya upinzani bali na kwa CCM yenyewe itabidi ijiulize mara mbili mbili ni wapi imekosea na wapi CCM zanzibar inakoelekea
 

Forum statistics

Threads 1,215,087
Members 463,007
Posts 28,535,231