Competing Visions of Development: JK vs JKN | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Competing Visions of Development: JK vs JKN

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Companero, Feb 22, 2010.

 1. Companero

  Companero Platinum Member

  #1
  Feb 22, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,491
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  "We should not lessen our efforts to get the money we really need, but it would be more appropriate for us to spend time in the villages showing the people how to bring about development through their own efforts rather than going on so many long and expensive journeys abroad in search of development money.This is the real way to bring development to everybody in the country."

  - The Arusha Declaration, 1967

   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Feb 22, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,737
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  well.. vision ya Nyerere is very simple.. maendeleo ni ya watu; kwa upande wa Kikwete maendeleo ni ya vitu. Wakati Nyerere alikuwa anaona maendeleo yanapimwa kwa kuangalia maisha ya watu yanavyobadilishwa na kunufaika na matumizi ya elimu, sayansi na teknolojia Kikwete na wenzake wamefikia mahali pa kuendeleza vitu ili wasema tumeongeza vitu.

  Ni kutokana na ukweli huu utaona kuwa wakati Nyerere aliona elimu iwe ni ufunguo wa maisha kwamba mtu akipata elimu imsaidie kubadilisha maisha yake na jamii yake leo hii elimu inachukuliwa kwa ajili yake yenyewe. Hivyo, badala ya kutilia mkazo ubora wa elimu inayotolewa (kama wakati wa Mwalimu), serikali ya CCM chini ya Kikwete inatilia mkazo wingi wa sehemu za elimu. Hivyo, kina Kikwete watajitamba kuwa wameongeza shule, vyuo n.k (kitu ambacho ni kweli) lakini inapokuja swali la ubora wanashindwa kuuoneshea matokeo yake Kikwete, Mahiza na wenzao ati "wanashangazwa na matokeo mabaya ya mitihani". Kiasi kwamba Mahiza amefikia mahali pa kudai kuwa matokeo mabaya ya mitihani hayahusiani na ubora wa elimu inayotolewa!

  Ukweli ni kuwa maendeleo mara zote lazima yawe ya watu! Kwa kadiri watu wanavyokuwa huru zaidi, na wakijapatia uwezo zaidi wa kuyamudu mazingira yao na kuyarahisisha hivyo ndivyo unaweza kuona maendeleo yakiwa kazini.

  Mfano mzuri; Mkapa anasifiwa kwa kujenga uwanja wa kimataifa mkubwa kwa gharama ya shilingi bilioni 50(haya ni maendeleo ya vitu); wakati huo huo kilomita chache kutoka hapo kuna kina mama wanarundikana katika chumba kimoja baada ya kujifungulia kwa kukosa huduma muhimu yenye gharama ya chini bilioni moja. CCM itatuonesha uwanja wa mpira na kutaka tuwashukuru, lakini sisi tukiwaonesha hospitali ya Temeke wao wanasema "wameanza mchakato wa kutafuta fedha za kupatia ufumbuzi tatizo la wodi ya wazazi"!
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,077
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280
  1967!!!!...............................................................................................

  2010???

  JK vs JKN?

  Jakaya Kikwete vs Juma Kassim Nature? still Juma Kassim Nature kamuacha mbali sana Kikwete, kila mwaka anatoa vibao kashinda mpaka tuzo za Africa!

  There is now way you can compare Kikwete and Nyerere!


  "[A] man is developing himself when he grows, or earns, enough to provide decent conditions for himself and his family; he is not being developed if someone gives him these things."
  Julius Kambarage Nyerere, from his book Uhuru na Maendeleo (Freedom and Development), 1973.

   
 4. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tutamkumbuka sana Nyerere kwa kweli.,inasikitisha kuwa zama hizi maadui wa Watanznia wapo miongoni mwa Watanzania tofauti na zamani ambapo adui mkubwa alikuwa ni mkoloni.,eeh Mungu mwenyezi fungua macho na masikio ya viongozi wetu wa sasa ili wajifunze kutoka katika busara na falsafa za Mwalimu Nyerere.
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,077
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280

  "...intellectuals have a special contribution to make to the development of our nation, and to Africa. And I am asking that their knowledge, and the greater understanding that they should possess, should be used for the benefit of the society of which we are all members."
  Julius Kambarage Nyerere, from his book Uhuru na Maendeleo (Freedom and Development), 1973.


  "If real development is to take place, the people have to be involved."
  Julius Kambarage Nyerere, from his book Uhuru na Maendeleo (Freedom and Development), 1973


  Ukweli ni kuwa maendeleo mara zote lazima yawe ya watu! Kwa kadiri watu wanavyokuwa huru zaidi, na wakijapatia uwezo zaidi wa kuyamudu mazingira yao na kuyarahisisha hivyo ndivyo unaweza kuona maendeleo yakiwa kazini-MKJJ

  Naomba quote yoyote ya Kikwete tafadhali!
   
 6. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2010
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
   
 7. Companero

  Companero Platinum Member

  #7
  Feb 22, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,491
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  "And there is in Tanzania a fantastic amount of talk about getting money from outside. Our Government, and different groups of our leaders, never stop thinking about methods of getting finance from abroad. And if we get some money or even if we just get a promise of it, our newspapers, our radio, and our leaders, all advertise the fact in order that every person shall know that salvation is coming, or is on the way. If we receive a gift we announce it, if we receive a loan we announce it, if we get a new factory we announce it – and always loudly. In the same way, when we get a promise of a gift, a loan, or a new industry, we make an announcement of the promise. Even when we have merely started discussions with a foreign government or institution for a gift, a loan, or a new industry, we make an announcement – even though we do not know the outcome of the discussions. Why do we do all this?" - Arusha Declaration, 1967
   
 8. Companero

  Companero Platinum Member

  #8
  Feb 22, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,491
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  [FONT=times new roman, new york, times, serif]"Our local businessmen cannot reach other executive areas on their own without the President's presence. During my visit to the US, we had a luncheon with NASDAQ officials, who later held talks with Tanzanian businesspersons. Under normal circumstances, the NASDAQ president, whose stock exchange volume stands at USD7.1 trillion, cannot meet a person of the stature of TCCIA president Elvis Musiba. But because I was there, the NASDAQ president personally attended that event...When I visited Tiffany, a big jewelers company turning out billions of dollars, its officials were in some other place and had to be summoned to meet Tanzanian [T]anzanite dealers...This is how they could meet; because I was there otherwise it would have been difficult for local Tanzanite dealers to meet their US counterparts... [/FONT][FONT=times new roman, new york, times, serif]It is after I had talks with the NASDAQ president that we now have the US Tanzania Business Association where businessmen from the two countries can meet. I visited New York Stock Exchange, whose business volume is USD22.8 trillion, where we were given the honour to open the day's business. It is because I was there on that day that we were given that honour...Do you think Jonathan Njau [Head of Dar es Salaam Stock Exchange] can meet those guys up there on his own? (laughter). People should not just simplify these things" - President Jakaya Kikwete quoted by The Guardian in December 2006 [/FONT]
   
 9. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #9
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,077
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280
  Tunaendelea

  It is stupid to rely on money as the major instrument of development when we know only too well that our country is poor. It is equally stupid, indeed it is even more stupid, for us to imagine that we shall rid ourselves of our poverty through foreign financial assistance rather than our own financial resources- Arusha Declaration, 1967
   
 10. Companero

  Companero Platinum Member

  #10
  Feb 22, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,491
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  "We'll be waiting in Tanzania for businessmen who want to benefit from the quota and customs-free trade opportunities my country offers with both the United States and the European Union" - JK

  "We're going to meet with both the president and the prime minister, and we're going to sign around four or five agreements. I think that during my visit our relations will see some serious development. And I'm very much looking forward to seeing İstanbul" - JK

  "Tanzania is strong in the mining sector. We have gold, cobalt, iron... We have every mineral that exists on earth. Tanzania has every kind of mine, and there are plenty of them. Uranium, gold, diamond, coal, nickel... Everything is here. Mining is an area in which there really is great opportunity" - JK

  "I know Turkey is strong in the textile industry. We produce a lot of cotton, for example, but it needs to be processed. Turkish businesspeople can come and invest in the textile sector here, producing all sorts of textiles. All they need to do is come and prepare products for sale" - JK

  "We have plenty of raw materials, agricultural raw materials...These are among the other areas Turks may be interested in investing in. You can conduct any kind of agriculture in Tanzania. We have the asset of 46 million of hectares of agricultural area, but only 5 million hectares are being utilized now. … If we could get at least another 5 million hectares in use, [this would be a major opportunity]" - JK

  "There are big opportunities in the tourism sector. We have great parks and beaches here -- what is required is more hotels and more operating businesses" - JK

  Source: http://pambazuka.org/en/category/africa_china/62356
   
 11. Katoma

  Katoma Senior Member

  #11
  Feb 22, 2010
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  it seems Kikwete is all about "me" whereas JKN was all about "the people"
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Feb 22, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,737
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  but here lies somewhat the fallacy of the question posed: are the two visions really competing with each other?
   
 13. Companero

  Companero Platinum Member

  #13
  Feb 22, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,491
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Are they complementing each other or one has substituted/eliminated the other?
   
 14. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #14
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,077
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280
  LOL!

  I am tired of reading his exploration routes.

  Yaani akina January Makamba ndio wana post hizi safari zake kama quotes??

  Quotes are due to your own theories, beliefs and principles, in short quotes show that who you are. Jk hana anachokiamini wala hatujui anaamini nini.

  akina Kikwete ndio wanatuletea quotes kama hizi

  ''Last night I lay in bed looking up at the stars in the sky and thought to myself, where the heck is the ceiling''

  au

  "One of the greatest things about books is sometimes there are some fantastic pictures''-George W Bush
   
 15. W

  WildCard JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,494
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Mwalimu alikuwa na mawazo mazuri na mazito ambayo kama angepata watu wa kumsaidia hadithi ya Tanzania ingekuwa tofauti sasa. Yote hayakuwa. Naamini Watanzania wa kuweza kuyafanyia kazi mawazo ya Mwalimu sasa tunao. Tutawapaje uongozi wa NCHI?
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,077
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280
  Mbavu zangu!

  [​IMG]

  zinatosha, zinatosha, please!
   
 17. S

  Selemani JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 875
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Few things to consider, any form of socialism doesn't work. Mwalimu needs a lot of credit though because his version of ujamaa didn't improve maendeleo ya nchi but it definitely enforced amani, upendo, na umoja wa watanzania. Ujamaa wa Urusi was more interested in keeping the power to themselves and controlled means of uchumi as a tool to oppress people rather than to be shared with people. Ujamaa wetu under Mwalimu was truly for the people. Bahati mbaya tu, ujamaa kama mfumo wa serikali have proven to fail. People need right incentives to wake up and work everyday. 70s oil crisis, and Kagera war did create setbacks but themselves aren't sufficient reasons for failure of ujamaa.

  During Mwalimu's time, bongo received most aid from China than any African country. Despite of cold war, Mwalimu was able to enjoy good relationship with US--which was unheard off. And that is a testimony of his good leadership.

  Kikwete on the other hand, I personally like the fact that he travels and meet different leaders. Global economy is more intertwined than ever. The more bilateral trade agreements you made, the more prosperous is your country. The age of being isolated are over, and Jakaya is making enormous efforts to create a network of different partners that will be appreciated later after he is gone. But he has incredibly big and ineffective goverment, filled with incompetent people (Mustafa Mkullo kwa mfano). And bunge that is spend so much time bickering about Richmond rather than improving elimu, afya, and other ishu muhimu. I think bunge need to raise the level of debate, and that will happen only if young people humu ndani will be willing kutoka kwenye kazi zao nzuri huko ughaibuni na kwenda kugombea ubunge nyumbani.
   
 18. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 6,820
  Likes Received: 1,672
  Trophy Points: 280
  watu warudi vipi hiwapo wajamaa wanapinga dual citizenship ni pathetics tuu.

  Na kwa nini kusafiri kila siku badala ya kukaa na kusimamia maendeleo yako. ana kazi ya kujenga nchi na si kujengewa nchi na sijui waturuki ambao ni njaa tu if you ask me. Honestly what can they offer us.

  Tatizo lenu baada ya kuangaika na mbinu za kujisaidia kutwa kuamka kutafuta watu wa kuwasaidia. How right is a white man umaskini ni tabia?
   
 19. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Safi MKJJ,

  Nakumbuka Nyerere akisafiri kwenda nchi za ughaibuni na akirudi anataka kile alichokiona na kinawezekana kufanyika hapa kifanyike kwa maaendeleo ya Nchi hii i mean vile viwanda kama vya sido,Mutex etc.

  Kikwete na wenzake wameendeleza nini chakusema jamani,na kuboresha wameboresha nini barabara za Dar?? au? kuna Lunch za Mabuki kule mwanza mpaka leo hakuna kictu mifugo ime tupwa kanda ya ziwa ambako kunasemekana kuan mifugo mingi, nilisikia kiwanda cha nyama Shinyanga kinaborshwa sijui mpaka sasa kama kimeisha anza ku operate au? ati Lunch ziko Bukoba na Tanga sasa na huo ni msaaada na NGO ndio inauongoza na si serikali, me kwangu bado sijaona serikali ya kikwete imepiga hatu ya kuimalisha uchumi kwa kiasi fulani cha watanzania esp kwa kipato

  Watuambie hao wana CCM wano iandaaaa Ilani ya CCM wame achieve nini for 5yrs ya Kikwete wasiniambia ati hizo yeboyebo ndio wamepiga hatua ati sitokubaliana nao hata kidogo hizo yebo yebo hazina vitabu wala sidhani zote zina Library au Lab to be honestly hat walimu sio wa kiwango saaana nio wale wa form six na waliopewa six months fast track ile wakafundishe hizo yebo yebo secondary. Bado serikali hajatuonyesha kuwa imepiga hatua jamani ELIMU yatu haina Mustakabari wake wa kitaifa kwani kila kiongozi ajae huja na sera zake za kuongoza Wizara ya elimu na akija mwingine atasema huyo hajui alikosea nae ataweka mawazo yake na hao wataalamu wake hapo kweli twajenga au twabomoa kwanini pasiundwe tume na tujue nini kifanyike for future. Mfano mzuri ni kwa Kagame -Rwanda wame panga kubadirisha mfumo wao mzima wa elimu kutoka Kifaransa na kwenda kwa Ki engeleza na hii ni 14yrs future plan sasa hapa kwetu mmmh sijui hii elimu ni ya kusaidia maendeleo ya nchi au individuals development?

   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,548
  Likes Received: 1,927
  Trophy Points: 280
  What a strong masage with deep thought about our problems this old man was thinking in the few years after independence!
  Halafu tunamdharau huyu mzee kama alitulostisha? I dont think so kwasababu sasa hivi ndio tumelost. Hakuna kitu kibaya kama mtu asiye na identity. Yeye alijenga watu wajamaa, watu wenye nia ya kujitegemea. Sisi sasa hivi ni kina nani kama Tanzania? mafisadi?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...