Sakata la ubunge Arusha: Mh. Burhani nae anazo eeh? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la ubunge Arusha: Mh. Burhani nae anazo eeh?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Feb 22, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 35,998
  Likes Received: 6,820
  Trophy Points: 280
  Jamani sisiem mbona mnawagombanisha wananchi hivi sababu ya madaraka
  jamani huku arusha kumekucha watu wameanza kula hela za wah mzee f mrema na mwenzake alie kwenye system mama batilda,...ni pesa kwa kwenda mbele nauzunika wengine wanajulikana kabisa hata leo wanampigia nani lakini mama yetu batilda awe nao makini sana ...najua ""no money no vote" ila yasije mtokea puani ajitahidi kuagawa kwa watu sahihi....kweli waarusha wamemchoka huyu mzee anaejii ta mrema ayuko na wananzchi ati alipoingia madarakani akaandika yuko kwenye ofissi fulani kuanzia saa fulani mpaka fulani atakuwa akiwasikiliza shida za wananchi jamani ilimchukua wiki mbili kutoa lile bango mpaka leo ;;;anajiongezea magorofa tu
   
 2. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Teh teh teh
  Waulizeni hao UVCCM nime pata habari kuwa kiongozi wao mkubwa(UVCCM TAIFA) mmoja akiropoka kuwa wao UVCCM hawarubuniwi na wala hawatochukuwa hongo,
  sasa hii yatokea wapi mwazana wanao hongwa na kurubuniwa ni wakina nini kama sio UVCCM ambao hao hao ndio wapambananji wa kuhakikisha mbunge wa CCM katika jimbo anapita sasa we huoni hapo Batilda na Mrema wategemea nini?? kwanza UVCCM wilaya na Mkoa hapo Arusha nasikia wamegawanyika wako kimakundi mbaya kuna wanao mpigania mrema na wanaompigania Batilda na siasa ya Arusha ilivyo mgumu na fitna na chuki na kupakazana matope yaniii yote hiyo ni vijisenti tuuuu na si siasa nawambieni mwelekeo wao ni ziro kabisa na nasikia yule katibu wa UVCCM wilaya mlihamishia Tanga kumbe kulikuwa na jambo hapo hizi kampeni za 2010 jamani mtajionea mambo pesa itatembea kwa hao wajumbe wa UVCCM mikoani huko na wilayani hii yote ni uchanguzi subirini mtajionea mambo Fitna itakuwa ngao ya kwanza na kupakazwa matusi.

  Mie nilitegemea sana kwa hapo Arusha kupata mgombea mwingine kabisa mabli ya hao mafahari wawili na ni wakazi wa arusha, UVCCM wilaya ya Arusha mjini wakimtafuta mtu wao wanae mtaka na kumweka, cha ajabu mwang'ang'ani hao kama si hongo watu walisha pewa nini? na ndani yao kumeisha tembea fitna na kashafa na kupakana matope sasa hao UVCCM ndio viongozi wajao kweli??

  Checkini mwanza wilaya ya nyamagana kitu amabacho wanachotaka kumfanyizia Masha! na kahamia huku Mwanza maana anajua moto wake unavyopikwa si kidogo mtasikializia sio nyie watu wa Arusha kazi majungu tuuuuu ni njaaaa ya pesa au??
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...