JK ametumiaje elimu yake kuendeleza taifa?

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
5
Ni Takribani miaka 5 toka Rais Jakaya Kikwete aingie madarakani.
Swali langu ni..ametumiaje elimu yake kuendeleza taifa?
 
This guy was among a few lucky ones who were taught by the late Prof. Walter Rodney, the author of HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA but from the look of his record, he never grasped much of what was taught!!
 
Ndio kwanza yuko darasa la "SITA" na ameshikilia somo moja, JIOGRAFIA.

Marekani iko wapi? Twende; Jamaica iko wapi? Twende. Uingereza iko wapi? Twende.

Miaka mitano darasa moja. Itamchukua muda kumaliza elimu dunia. Kwa hiyo mtegemee kitu kimoja tu, "KULIPA USHURU KWA SAFARI ZA DUNIA".

Time for new candidates and not "REPEATERS".
 
kwani kikwete ana elimu gani, hebu wekeni CV yake hapa, nafikiri kama citizens, tunahitaji kujua elimu na cv nzima ya rais wetu, tusijekuwa tunaburuzwa hapa. kuhusu mafanikio, ndugu, hakuna lolote. tungemuweka hata darasa la saba hapa pengine angejitahidi kufanya la maana. hapa ndo penye hekima kwenye uchaguzi ujao.
 
Back
Top Bottom