Chanzo cha Maji Mji wa Arusha chafungwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanzo cha Maji Mji wa Arusha chafungwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ibrah, Mar 25, 2010.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Source: ITV

  Hata hivyo, maji hayo yamekuwa yakitumika kwa muda mrefu na wakazi wa Mji wa Arusha. Wakazi wengi wa Arusha huwa na meno yenye rangi ya brown ambayo ni moja ya athari za madini hayo. Athari nyingine za amdini yaliyo kwenye maji hayo ni kupinda kwa mifupa tatizo ambao baadhi ya wakazi wa Arusha huwa nalo na kusababisha wengine kufanyiwa upasuaji kuvunjwa miguu.

  Miji wa Arusha, hasa sa maeneo ya Njiro kwa kawaida huwa na upungufu mkubwa wa maji na hufikia hata miezi mitatu bila kupata maji ya bomba; kufungwa kwa chanzo hicho kunaweza kusababisha wakazi wa baadhi ya maeneo hasa Njiro kutopata maji ya bomba kabisa.

  Ajabu ni kuwa haikuelezwa hatyua mbadala za kukabiliana na upungufu utaojitokeza kwa kufungwa kwa chanzo hicho.
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  More information please. Chanzo hicho ni kipi maana vyanzo vyote vya Arusha vina hiyo floride
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Sasa hawa ndio wamekumbwa na balaaaaa usipime Maji hakuna na mgao wa umeme kama kawa wanaupata
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Ilboru
   
 5. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Nani kakwambia ni Ilboru mkuu hata sie wakupita twajua Ilboru ilipo na kule mlimani juuu kabisa huko nako kunaitwa ilboru ukipandishia njia ya sekei ambako me nadhania maji ndiko yatokeako na ninasikia kuna bomba laenda mpaka Monduli Jeshini sasa inamaaana hata huko Kambi ya jeshi maji nako hawapati??

  au kukaaa kampala ndiko kumekupotezea mji wa Arusha mkuu

   
Loading...