Lowassa agawa tisheti kanisani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa agawa tisheti kanisani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by uvivumwiko, Mar 24, 2010.

 1. u

  uvivumwiko Member

  #1
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inasemekana kuwa Kampeni za ubunge zimeanza kwa mbunge wa jimbo la Monduli kugawa tisheti makanisani. Ilikuwa jumapili ya tarehe 21/3/2010 niliposhikwa na butwaa kuona Lowasa, mkewe Rejina na wasaidizi wake wakigawa tisheti zenye maandishi IMEKWISHA kanisani Monduli. Hii siyo rushwa? PCCB wanasemaje?

  Inasemekana kuwa waumini wa makanisa ya katoliki na Lutheran waligombania Tisheti hizo kudhihirisha kuwa WAMEDANGANYIKA.
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  anajiandaa kugombea ubunge tena huko kwao! hana lolote!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Umeenda sawa koote, lakini hapo kwenye red ndo umekuja kuchemsha!

  Lutheran na Katoliki walikutana katika mazingira gani ya Ibada?

  Lakini pia na ijulikane EL ni muumini wa kawaida sana wa madhehebu yake, je kila akifanya msaada , hata kiimani, ionekane kana kwamba anatoa rushwa?

  Lakini hiki ni kipindi cha kwaresma kwa watu wa madhehebu uliyotaja, na katika kipindi hicho, wakristu wanatakiwa kujinyima na kuwapa wenye uhitaji, huoni kwamba alitimiza hilo?
   
 4. m

  mtoto wa mjini JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 1,536
  Likes Received: 679
  Trophy Points: 280
  'imekwisha',nini?.
   
 5. N

  Nanu JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  We Mvivu Daima,
  Naona hapa umetudanganya! Kwanza ulianza habari kuwa ...inasemekana....(yaani hukuwepo umesikia tu kwa watu), sentensi iliyofuata unasema....Ilikuwa jumapili ya tarehe 21/3/2010 niliposhikwa na butwaa kuona Lowasa, mkewe Rejina na wasaidizi wake wakigawa tisheti zenye maandishi IMEKWISHA kanisani Monduli (je inamaanisha hapa kuwa ulikuwepo in person na kuona ugawaji ukitendeka? kama ulikuwepo lilikuwa kanisa lipi?,
  halafu uwongo wako mwnigine unamalizia...Inasemekana kuwa waumini wa makanisa ya katoliki na Lutheran waligombania Tisheti hizo kudhihirisha kuwa WAMEDANGANYIKA. (hapa tena umeonyesha kuwa haukuwepo katika eneo la tukio, lakini pia kukuambia wewe ni mwongo...Walutheri na Wakatoliki waligombania hizo Tshirts wapi maana hawa watu wanasali katika makanisa tofauti....hapa inaonyesha wewe ni mwongo mkubwa sana na haufai kuwa source ya information ya JF...moderator inabidi aangalie post zako...maana si za kweli na hazijafanyiwa utafiti wala upembuzi wowote kabla haijapostiwa.....you have misleaded us!!!!!) Acha unafiki na uongo. Say the truth to ashame the devil. Your info pose integrity and reliability doubtness!!!!!! If you are offended you deserved it as we can read between the lines!!!!
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  uvivumwiko
  Junior Member
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Join Date: Mon Mar 2010
  Posts: 2
  Thanks: 0
  Thanked 0 Times in 0 Posts

  No comment.....
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  that is typical m-Tz!! Lazma arembe, ajichanganye na ajifanye alikuwepo... Matokeo yake unaandika kitu ki-umbye'mbeya na kupoteza hata maana halisi
   
 8. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2010
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Atakuwa anajiandaa na "Good Friday" Kwi kwi kwi kwi:rolleyes:
   
 9. u

  uvivumwiko Member

  #9
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Narekebisha sentensi kama ifuatavyo. Nilisikia kuwa EL aligawa tisheti kwa nyakati tofauti katika makanisa hayo. Mimi sikuwepo kwenye eneo la tukio. Nakubali nimechemsha kutokuiweka sentensi sawa.
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hongera kwa ujasiri wa kukiri. Ni wachache sana hifanya hivyo.

  Karibu JF maana unaonekana ni kuku mgeni.
   
 11. u

  uvivumwiko Member

  #11
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata kama maneno hayajakaa vizuri ukweli unabaki palepale tu kuwa Tisheti ziligawiwa kanisani. Inaonekana wewe ni swahiba wa Rushwa na ufisadi.
   
 12. m

  mgololafinyonge Member

  #12
  Mar 24, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa yeye ni muumini kama mtu mwingine yeyote katoa kama sadaka kwa Mungu wake anayemwamini kwa wahitaji ukizingatia ni majira ya kwaresma sioni kama ni rushwa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
   
 13. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2010
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Lowasa kafanya vyema.

  Hapo zamani tulipokuwa Wadogo tulikuwa tunagawiwa Nguo kutoka kwa Wafadhili (Wachungaji / Mapadre) wa Kizungu tukapokea, vivyo hivyo hizo za Mh. Lowasa alizogawa tumezipokea kama tulivyokuwa tunapokea hapo awali.
   
 14. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Imekwisha sulubu ya Richmond!
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kwani wamelazimishwa kupokea hizo tshirt mwache agawe hata mafenesi.Mbona yule anayeenda kuzindua album za kwaya na kuchangia hamsemi kama hiyo sio rushwa
   
 16. M

  MtazamoWangu JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  anatoa sadaka....ni haki yake kama mbunge aliyeko madarakani....sio kila kitu huyu jamaa anachofanya tuwe tu tunamhukumu vibaya....Lowas is not the news anymore ndio maana tunashindwa kufika mbali kwa kujadili watu badala ya hoja...we cant discuss same thing same people for years...........
   
 17. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Uvivumwiko,

  Hongera saaaaaaaana kwa kukubali kukiri kosa na kukubali kulirekebisha.Tuko pamoja endelea kutuletea habari bila kuweka ushabiki wala chuki.
   
 18. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  teh teh teh, kaka lazima ujipange kabla ya kuleta thread zako japa JF, hizi ni challenges tu, usiogope ila lazima ufanye utafiti na analysis ya vitu vyako viwe na mantiki kabla ya kuvileta hapa jamvini - kuna wazee humu. usipoangalia utaambiwa mvivu kweli kweli! - kaza buti safari ndefu hii...

  nakupa moyo tu mjomba....mwanzo mgumu, nimekupa thanks ya kwanza please note down but do more reasearch before....
   
 19. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  karibu kijana janvini
   
 20. B

  Boca1 Member

  #20
  Mar 24, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je kama ameona hana hoja au uhakika wa alichikisame anastahiri pongezi
   
Loading...