Kikwete jets out to Namibia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete jets out to Namibia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msharika, Mar 21, 2010.

 1. M

  Msharika JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  President Jakaya Kikwete  President Jakaya Kikwete left for Namibia yesterday afternoon for a three-day state visit during which, among other things, he is scheduled to attend the swearing in ceremony of President-elect Hifikepunye Pohamba.
  Accompanied by First Lady Salma, the President is also expected to attend the 20th anniversary of Namibia's independence. The two ceremonies will be held concurrently in Windhoek today.
  President Pohamba's ruling party South West African People's Orgnaisation (SWAPO) won the general election for the second time held on November 27-28 last year. The party won by 75 percent of the total valid presidential votes cast. The general elections results were announced on December 4 last year.
  A state house statement said President Kikwete will be among the heads of state from SADC region invited to attend the swearing in ceremony as well as the country's Independence Day cerebrations.
  The invited heads of state are Bingu Mutharika (Malawi), Jacob Zuma (South African Republic) Robert Mugabe (Zimbabwe), Jose Eduardo Do Santos (Angola) and Rupiah Banda (Zambia).
  The Namibian government has also invited other Tanzanians who made outstanding contribution during the country's liberation struggle until it gained her independence in 1990.
  Those invited from Tanzania include third phase President Benjamin Mkapa, Secretary General of the defunct Organisation of African Unity (OAU) Dr Salim Ahmed Salim, Brig. Hashim Mbita, then the secretary of the African Liberation Committee as well as Mwalimu's widow Mama Maria Nyerere.
  Meanwhile, Mbeya Regional Commissioner John Mwakipesile has announced postponement of President's two-day tour of his region following Kikwete's invitation to Namibian independence celebrations.
  The President was initially scheduled to start a tour of Mbeya Region tomorrow, the same day he is expected back in the country.
  SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  vasco da gama in his missions......
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,356
  Likes Received: 3,123
  Trophy Points: 280
  wivu tu..............mnafatafata mambo ya wenzenu wacha tule vya kwetu..............yaani mi kusafiri kwenda kuwatengezeeni madili majuu mnaona nafaidi sana eeehh........
  hata hivo niacheni jamani nimefaiti sana kupata urais nilichokitafuta na kubaniwa kwa muda mreu sasa nimekipata mnataka nisuburi nini kula nchi???????????????????watz kwa wivu bana mnaacha kufanya shughuli zenu japo wakati wa uchaguzi nitawaomba muache shughuli zenu lakini sio kwa sasa niacheni jamani mimi ndio jk na hii ndiyo nchi niliyopigania kupata nafasi ya kuongoza.......................
  nikienda marekani oh rais kaenda marekani.....
  nikikaa kidogo kwenye bembea ohh rais kaenda kustarehe...........
  acheni jamani jalini maisha yenu na ya watoto wenu niacheni kama nilivyo.....
  BADO SIJASAHAU KUWAPATIA MAISHA BORA KWA KILA MBONGO....
   
 4. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kikwete better get himself a flying licence, it might come in handy when his presidency is over
   
 5. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe ni nani? Mamlaka ya kuwaambia Watanzania maneno haya unayatoa wapi? Tafadhili toa nukuu ya mahali ambapo unaona waweza kutamla maneno kama haya.
   
 6. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #6
  Mar 21, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  -Ofcourse si mbaya sana kidiplomasia ingawa pia anatakiwa azingatie vipaumbele

  Kikwete hata safri za maana siku hizi zitaonekana si za maana kwa kuwa yeye mwenyewe alishindwa kuzitofautisha na kuzipa uzito stahiki.Kila atakapopanda ndege watu watamshambulia tu
   
 7. Companero

  Companero Platinum Member

  #7
  Mar 21, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Je, maandalizi ya ziara ya Mbeya yalishaanza kufanyika? Kama ndio, imegharimu fedha kiasi gani za walipa kodi?
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Yes, let our tourist venture and see how people are wearing. I think this man was born a circumnavigator!
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Vipi best umeamua kuwa K'wete?
   
 10. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  tumeshazoea
  hata raisi huyo mbona amekuja tz pia
   
 11. N

  Nsesi JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2010
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 374
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ni aibu kubwa kwa taifa, JK alikuwa anze ziara Mbeya leo, maandalizi yalikamilika, wageni toka nje eg Kiwanda cha bia walishafika kwa ajili ya ufunguzi, wapo wa Exim Bank, booking za kwenye hoteli zimefutwa jana, jamaa wa uwt walishafika tangu Alhamis.

  Kwa ufupi ametia hasara taifa na kuliabisha. Hebu tufikiri kidogo, hawa wageni toka nje wa TBL wataielewaje Tanzania kama sio Taifa la waswahili wababaishaji.

  Rais anaona sherehe ya kuapishwa rais mwenzake, ambazo ziko siku zote na hata angeweza kumtuma msaidizi wake kumwakilisha, ni muhimu kuliko tukio la uzinduzi wa kiwanda ambacho ni moja ya uwekezaji mkubwa hapa nchini, ni aibu na hata tukijiutahidi kujisafisha hatusafishiki.
   
 12. m

  muheza2007 JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  Acheni ushamba wa kushabikia wageni, kwani lazima hicho kiwanda kifunguliwe na rais wa nchi?

  Kuna mawaziri lukuki wanaweza kufungua; hao wageni wanamtumia rais wetu kwa ajili ya biashara zao.

  Kwanini wa cancel bookings zao wakati nchi ina viongozi wengine wengi wa kufanya kazi kama hiyo?

  Kila kitu mpaka rais wa nchi, ndio maana anazidiwa mpaka anadondoka chini.
   
 13. N

  Nsesi JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2010
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 374
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna cha ushamba wa kuusudu wazungu hapa, Rais wako ndiye aliyelazimisha akizindue yeye mwenyewe, na alitoa hiyo auli mara baada ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda hichjo mwaka jana.

  Kwa hiyo mkuu, hilo dongo lipeleke pale magogoni ambao wameshindwa kupanga ratiba ya bosi wao, kwa sisi WTZ wa kawaida tunaiona kuwa aibu na hakuna utetezi wa katika hilo.
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ndo madhara ya kuwapa watoto wakiwa wadogo miguu ya kuku wachome na kule..madhara yake ndo hayo ukubwani mtu kutwa anahangaika ..hapo kabla hajamaliza uraisi wake lazima aende timbuktu
   
 15. paradox

  paradox Senior Member

  #15
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So the point of this topic is to basically bash Kikwete for using the presidential jet instead of taking a economic class seat on Air Tanzania?? Honestly you do realise he represents our country all over the world? would you want a president who represented your country like a pauper? Besides name one president in today's world who doesn't jet around the world on diplomatic trips, seriously what is the big deal :confused:
   
 16. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Vipi mkuu Campanero, huko Mbeya si alikuja mkampiga mawe, au kuna wengine bado wana hasira na yeye?
   
Loading...