CCM's Assault on Democracy Must Be Repelled

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
By: M. M. Mwanakijiji


What we are witnessing right before our very eyes as we head toward the General Elections 2010 is a clear assault on Democracy in Tanzania propagated and carried with overwhelming precision by the ruling party, CCM.

If you look with an unbiased mind you will easily recognize this assault happening on fundamentally four fronts; it is happening against the judiciary, free press, legislature and even more troubling and saddening it is an assault targeted against liberty itself. The people are dragged into this battle for the soul of our nation without being told what they are fighting for.


Indeed, if we choose to stand idle and act as we are uninterested observers the rulers of our nation will in fact rule as at will. Meaning, we would have given them permission to rule with impunity. As a matter of fact, sometimes you will see they use this impunity without any sense of fear of being accountable to anyone but to themselves.


The recent cozy and almost erotic relationship between the judiciary and the ruling party is even more troubling. The ruling party has refused for some many years to institute a system where the people's representatives vet and interviews and finally vote on people nominated for high courts in the country. To that end, the ruling party now enjoys an opposed ability to pick anyone regardless of the implication of their nomination to the Bench. This consequence of such a relationship is such as that which occurred few days ago when the Court of Appeal did something forbidden by our constitution (Article 107) to return a matter of people's right to the legislature for the "final say".


When the court of appeal participate in an unholy, irresponsible and arbitrary deletion of people's right simply because it is politically unpopular (not because it is not a right) then the people under good conscience have the right and the duty to denounce such a move in fact led by a sense of moral imperative they have a moral obligation to reject them, as I for one, do now.


The relationship between the government, the political elite in Tanzania and the free media is even more cantankerous. We have seen in the past ten or fifteen years where political heavyweights in Tanzania haven taken interest in ownership and operations of a number of media houses and outlets in country. While the move itself can arguably be rationally explained and understood but its implication in the exercise of a free place in a young democracy such as ours is undeniably consequential.


The net result has been that the line between responsible journalism and free dissemination of news and opinions has been blurred and in some cases has been totally removed. We have seen especially at the end of last year where a number of newspapers and TV stations owned by politicians and businessmen with some form of political ambitions participated in an uncalled war or words which I believe reduced these media outlets to puppets of corruption - vikaragosi wa ufisadi.


More dangerous though, is the assault on the legislature which has been sustained in the past four years. Some people believe that our parliament has become more vocal and open to the point that our parliamentarians are free to criticize the government or its officials without fear of any ramification. So, when we see on Start TV or TBC or hear it on radio that certain MP has spoken "strongly" or "angrily" about a certain issue we might think that this is her sole duty. This being an election year, we expect such political rhetoric in the parliament not just from the opposition but even from MPs of the ruling party. But if you only focus on the theatrics and political rhetoric you would miss what is not happening in the parliament because of what has happened since Kikwete got into power.


President Kikwete and his political machinery have reduced the people’s parliament into an “Advisory Political Group” which has no power whatsoever of bringing under control of a government run a mock. While in the past we complained that our parliament was being used as a “rubber stamp” when dealing with some issues or proposals brought to it by the executive nowadays we can see that the parliament has become the carrier of the rubber stamp! Since the controversies involving secretive mining contracts emerged some few years ago that rocked the political atmosphere in the country to the bold revelations of the presence of criminal syndicates of mafia style organized crime gangs our parliament has stood aside as the complainer in chief! In the parliament our representatives are competing in the battle of sounding off than leadership. Those who can talk with more passion, more data, and more blunt criticism of the government are perceived as ‘heroes’!


Unfortunately, at the end of the day, what CCM wants CCM always get. No one can refuse the ruling party and its government anything they want. It doesn’t matter how outrageous “that thing is”. The parliament has accepted this role of being the “advisor to the government” and nothing else. It can not demand anything with conviction and get it, it can not overrule anything, and it can not hold Kikwete personally accountable on anything. As a matter of fact no one in the parliament can accuse president Kikwete in the House and remain standing! NONE!


My friends, if you were to ask me what is going on with the ruling party and the call of democracy in Tanzania? I would simply say an equivocally that what we are witnessing is a calculated and audacious attack on liberty and freedom of our people. The ruling party through its words, actions, decisions, plans, programs and pseudo leadership is providing to the country is attacking the very core element of our democracy which is liberty. As Tanzanians, we are free only to the extent that the President and the ruling party allow it! Just like the zebras in the Serengeti are fee as long as the pride of lions are not hungry! We live at the mercy of the President and his political machinery. They have the final say in what we do or not do, they have the final say whether we have anything to do!


In a democracy the people reign supreme. They are the source of all authority that is granted to the government or to its various institutions. In a democracy such as ours which is of republican nature the president just like the judge of the High Court or a member of parliament do not possess any power or authority not given willingly and freely by the people. This is the essence of a true democracy; that is, to recognize and accept that without the people’s power given to the rulers in a manner that rules out threats, fear, coercion or trickery of any sort then there is no democracy but a rise of tyranny.


There comes a time, when the people who recognize the danger posed to them by a political group and understand that without opposing vigorously such a danger then their very freedom is at stake then they have to take a stand and say no to tyranny of a political minority. They have to clearly and without hesitation reject any form of political tricks that threaten this freedom. The people have to reject all individuals who have in one way or another participated in the corruption of democratic principles. As citizens we have a duty to defend our freedom from people who threaten it. It doesn’t matter who is at the top of this group of individuals or political party.


It is the call of democracy because democracy is worthy defending, it is worthy protecting and yes indeed, democracy is worthy dying for. Right now the greatest threat to our democracy is nothing else but a group of a political elite posing as politicians who would like to get a free license to rule over us indefinitely and with impunity of tyrannical and criminal tendencies.


We have to repel this assault! as individuals and as a collective opposition. But not just to oppose them, but also to propose better ways ahead for our selves and our posterity. Yes, to propose and fight for a better course for our nation for a better and prosperous future for our country.


If you ask me, this is the time!


Facebook: "mimi mwanakijiji" or twitter
 
Kwa kuanzia serikali iimplent mapendekezo ya Nyalali et al. kuhusu masuala 40 kandamizi ndani ya katiba.
 
Mzee Mwanakijiji,
Mkuu wangu Tatizo ni sisi wenyewe Watanzania na sio serikali. Nyerere alipokubali kushindwa na kuanzishwa vyama vingi, sisi tulikimbilia tu kuanzisha vyama tukifiria Ushindani. Hatukujua kwamba demokrasia inakuja pamoja na madaraka ya rais kupunguzwa, nguvu ya chama tawala kupunguzwa na hakika kila chama na wafuasi wake kuwa na itikadi inayofupishwa kwa mrengo weke..

Sasa tunapomlaumu JK na serikali yake nadhani tunafanya makosa makubwa sana kwa sababu ndiyo mamlaka tulomkabidhi.. Rais wetu nguvu kubwa kikatiba kama ilivyokuwa ndani ya chama kimoja..Chama tawala kina nguvu kama ilivyokuwa chini ya chama kimoja na utaratibu wote wa muundo wa serikali na mahakama zetu bado ni utaratibu wa chama kimoja.. Hata sheria za nchi yetu bado zinafuata misingi ya chama kimoja.
Rais ana Nmamlaka ya kuchagua na kama sikosei hata kumwondoa madarakani mtu yeyote nchini, na wakla sintashangaa mamlaka ya kumwachisha kazi Jaji mkuu na hata Gavana wa Benki kuu akijisikia kufanya hivyo..Sasa unategemea jaji au mhariri wa gazeti ataweza vipi kutofuata amri inayotoka Ikulu?

Nakumbuka viuzuri sana tuliwahi kuzungumzia kitu hiki miaka 10 iliyopita na kuwaomba sana vyama vya upinzani wasishiriki uchaguzi uliofuata hadi mambo muhimu haya yafanyiwe mabadiliko kulingana na mazingira tulokuwepo..
Nilionekana mchawi tu mwingine! Nakumbuka yule dogo Tito Mwiula (sijui kapotelea wapi?) alinikalia kooni sana kwa sababu alichokiona yeye ni macroeconomic system.

Na kwa uhakika niliwaambia pia hatari ya viongozi wa nchi kuhodhi vyombo vya habari kwa sababu naijua nguvu ya vyombo hivi ktk nchi ambayo muda mrefu wananchi hutegemea kusikiliza redio na kusoma magazeti kwa kuwataarifu.....
Tulifanya nini? hakuna mkuu wangu tuliendelea kulalama hadi mambo yanapoharibika. Yaleyale ya mwafrika kutokuwa na utamaduni wa maintenance tunasubiri hadi kitu kimeharibika kabisa ndio tunakubali kuanza kujenga msingi upya...

Whatever happens now imetokana na makosa yaliyofanyika 10 years ago na sii kwamba hatukujua isipokuwa hatukuweza kuona mbali kufahamu athari zake. Na kwa sababu hakuna watu wabishi na wajuaji kama sisi, sijui kama tutaweza kufanikiwa kwa lolote lile..Kuna wakati hufikiria pengine tumelaanika kiasi kwamba tunashindwa kabisa kuona vitu vya wazi na real isipokuwa vile vilivyochorwa ukutani.
 
Sasa tunapomlaumu JK na serikali yake nadhani tunafanya makosa makubwa sana kwa sababu ndiyo mamlaka tulomkabidhi.. Rais wetu nguvu kubwa kikatiba kama ilivyokuwa ndani ya chama kimoja..Chama tawala kina nguvu kama ilivyokuwa chini ya chama kimoja na utaratibu wote wa muundo wa serikali na mahakama zetu bado ni utaratibu wa chama kimoja.. Hata sheria za nchi yetu bado zinafuata misingi ya chama kimoja.

Kiongozi maana yake amechaguliwa kuongoza. Sasa kiongozi asipoongoza au kuonesha uongozi hatuwezi kukaa kimya na kusema tunafanya makosa kumlaumu kwa kutokuongoza. Kama kuongoza kuleta mabadiliko ya Katiba na sheria ya nchi zetu na badala yake anashiriki kushambulia tunu muhimu za demokrasia basi kiongozi huyo hafai.

Rais ana Nmamlaka ya kuchagua na kama sikosei hata kumwondoa madarakani mtu yeyote nchini, na wakla sintashangaa mamlaka ya kumwachisha kazi Jaji mkuu na hata Gavana wa Benki kuu akijisikia kufanya hivyo..Sasa unategemea jaji au mhariri wa gazeti ataweza vipi kutofuata amri inayotoka Ikulu?

Ni vizuri umeweka qualification. Rais hana madaraka ya kumuondoa mtu yeyote madarakani isipokuwa yule ambaye anauwezo wa kufanya hivyo kisheria. Nje ya hapo hana madaraka hata ya kumwachisha kazi mfagizi pale Ikulu. Hana madaraka ya kumuondoa Jaji Mkuu au Jaji yeyote ambaye ameshaapisshwa kuwa jaji.


Na kwa uhakika niliwaambia pia hatari ya viongozi wa nchi kuhodhi vyombo vya habari kwa sababu naijua nguvu ya vyombo hivi ktk nchi ambayo muda mrefu wananchi hutegemea kusikiliza redio na kusoma magazeti kwa kuwataarifu.....
Tulifanya nini? hakuna mkuu wangu tuliendelea kulalama hadi mambo yanapoharibika. Yaleyale ya mwafrika kutokuwa na utamaduni wa maintenance tunasubiri hadi kitu kimeharibika kabisa ndio tunakubali kuanza kujenga msingi upya...

Mwanzoni tulilalama zaidi bila kuonesha nani ana matatizo. Sasa hivi tunataka watu wajue kuna tatizo ambalo ni CCM chini ya Kikwete inaendeleza mashambulizi makali dhidi ya demokrasia yetu changa ili iendelee kukaa madarakani.

Whatever happens now imetokana na makosa yaliyofanyika 10 years ago na sii kwamba hatukujua isipokuwa hatukuweza kuona mbali kufahamu athari zake.

Inawezekana hili ni kweli, but this does not absolve the mistakes that are being made today. Makosa yanayofanyika sasa na mengine yanayokaribiana na uhalifu ni lazima yashughulikiwe sasa. Hata makosa yaliyofanyika miaka kumi kuna mengine yanaweza kusahihishwa sasa na kwa vile hayasahihishwi sasa basi yamekuwa yamepata baraka kutoka kwa watawala wa sasa. Kitendo cha Kikwete kumkingia Mkapa kifua ni kubariki mabovu na hata vitendo vya kihalifu ambavyo vilifanywa chini ya utawala wa Rais Mkapa. Hivyo, Kikwete ambaye alikuwepo wakati ule na yupo sasa ni mshirika wa mashambulizi dhidi ya demokrasia yetu.

Na kwa sababu hakuna watu wabishi na wajuaji kama sisi, sijui kama tutaweza kufanikiwa kwa lolote lile..Kuna wakati hufikiria pengine tumelaanika kiasi kwamba tunashindwa kabisa kuona vitu vya wazi na real isipokuwa vile vilivyochorwa ukutani.

labda kweli hili ni tatizo letu 'watu wabishi na wajuaji kama sisi".
 
Kila nikiangalia nyuma, naona kuwa adui namba moja wa watanzania ni Mrema - Augustino Lyatonga.

Nguvu iliyopelekea kuanzishwa kwa vyama vingi Tanzania ilikuwa inataka yafanyike mabadiliko ya katiba kabla ya mwaka 1995 ama sivyo uchaguzi huo usifanyike. Mrema alikuwa na imani pofu kuwa kutokana na umaarufu mkubwa aliokuwa nao wakati huo, angeweza kushinda kiti cha uraisi kwa kutumia katiba ile ile. Umaarufu wake huo wa kusukumwa gari lake umbali mrefu na mambo mengine kama hayo yaliwaziba hata wale waanzilishi halisi wa mageuzi yale nchini nao wakaingia katika uchaguzi huo chini ya katiba ile ile iliyokuwa ya CCM ila ikiwa imebadilishwa vifungu vichache tena vidogo sana. Hilo lilikuwa ndilo kaburi la kubwa la demokrasia changa iliyokuwa imezaliwa tu.


Baada ya kuzungumzia chanzo hicho, je jawabu liwe ni nini?

Jawabu kubwa ni kwa vyama vya upinzazi sasa kusimama imara sana kwa pamoja kupinga katiba iliyopo na kutaka kifanyike kikao cha kitaifa kutunga katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu; na ikiwezekana iundwe serikali ya mpito kusimamia utayarishaji wa katiba mpya kabla ya uchaguzi. Viongozi wa upinzani wajitahidi kutumia external pressure kupitia wawakilishi wote wa nchi za nje zinazoifadhili serikali na hasa hasa mwakilishi wa Obama kumwambia matatizo hayo ya katiba. Nina imani Obama yuko siriasi sana kuhusu swala la demokrasi huko afrika, na lazima atalisikilza kwa masikio yake yale mapana yote mawili.


Njia hizo za amani zikishindikana, nina wasiwasi kuwa matumizi ya mabavu inaweza kuwa ni option ambayo itahusu baadhi yetu kupoteza maisha kulingana na jinsi ninvayoifahamu serikali hii ya CCM. Hii option ni ngumu kidogo kwa vile sidhani kama kuna watanzania wengi watakaoweza kuisapoti kwa kisingizo cha amani.
 
Kiongozi maana yake amechaguliwa kuongoza. Sasa kiongozi asipoongoza au kuonesha uongozi hatuwezi kukaa kimya na kusema tunafanya makosa kumlaumu kwa kutokuongoza. Kama kuongoza kuleta mabadiliko ya Katiba na sheria ya nchi zetu na badala yake anashiriki kushambulia tunu muhimu za demokrasia basi kiongozi huyo hafai.
".

..... Guineans, or rather some Guineans with spine finally did shoot A BULLET in the head of their demagogue. Right now and for the FIRST time in 52 years there is what might turn out to be a fair exercise of DEMOCRACY! Its the bullet that did the trick. To die hard stalwarts, their party's intransigence and rule is sacrosanct. Just yesterday, I read a headline, BAJETI YAQ SERIKALI AU YA WANANCHI? Serikali and CCM have so far remaines synonymous. If the SERIKALI doesnt serve its electorate and remain self serving in the same context, the ruling party remains in the same bracket. It could get worse when a ruling party then becomes a family affair!
 
Nguvu iliyopelekea kuanzishwa kwa vyama vingi Tanzania ilikuwa inataka yafanyike mabadiliko ya katiba kabla ya mwaka 1995 ama sivyo uchaguzi huo usifanyike. Mrema alikuwa na imani pofu kuwa kutokana na umaarufu mkubwa aliokuwa nao wakati huo, angeweza kushinda kiti cha uraisi kwa kutumia katiba ile ile.

Nakumbuka sana Rev. Mtikila aliliongea sana hili, frankly speaking hata mimi wakati ule niliona Mtikila anamwonea wivu Mrema na anataka kutucheleweshea mabadiliko!

Lakini all in all that is the only time upinzani ulikuwa na momentum, the real momentum. Nakumbuka hata baada ya uchaguzi waliendelea kushinda karibu kesi zote za uchaguzi. Someguyz somewhere hawakuipenda kabisa hii momentum na mbaya zaidi Mrema badala ya itikadi ndiyo ilikuwa mtaji tht tyme!!!
 
upinzani wa bongo, unafanya kila jitahada kukomboa demokrasia,kikwazo kikubwa ni wanasiasa kutumia nafasi zao kama ajira ya kujitafutia kipato matokeo yake wanarubuniwa na kujiunga na CCM.It is not fair to citizens,it is a sin.
 
Safi sana Mwanakijiji.

Hii piece yako imeamsha hisia kali sana ndani yangu ambazo zimenifanya niamue kuchukua hatua. Kwa kuanzia nataka ikifika Oktoba nichague chama na viongozi ambao hawata "assault" demokrasia yetu.

Kama kuna namna tutaweza (wewe, mimi na wengine walioguswa na makala yako) kuamsha hisia kama zangu ndani ya asilimia sitini tu ya wapiga kura wote, tutafanikiwa kusitisha hii "assault". Vinginevyo, aluta continua!!
 
Mkuu MKJJ na wana JF,

Kwanza kuna tatizo zima la viongozi wetu na wanachama wengi kwa ujumla katika CCM, mimi sikatai kabisa ni chama chetu ila kuna wakati wanachama wengi na viongozi kweli wanashindwa kutofautisha nini maana ya uongozi na wanachama wanashindwa jua nini maaana ya kuwa mwanachama.

Ni kuwa wapo wapo tu ni kufuata mkumbo kwanini hii hali yote ya kurushiana mpira mara huku mara kule hii sheria sio mara irudishwe bungeni kwanza hiii yote ni woga na kutojiamini viongozi na wanachama wake na wasomi wakiwemo either wafanya hivyo kujiwekea mazingila fulani kuwa sheria huko mbeleni isiwakute na kuwarudisha kwenye kiti cha hukumu kuwa walitumia madaraka yao vibaya au kunufaisha watu wachache na ndio hao viongozi tulio nao.

Hii hali ya kuwa malimbukeni ni mbaya sana na sijui ni kwanini twashindwa elewa haya mambo na kuyafanyia kazi, watu wameisha geuza serikali,vyama,NGO's, Makanisa,Misikiti na kuwa sehemu ya mitaji yao na familia zao, twaenda wapi watanzania, kweli twashindwa kabisa kurekebisha sheria na kusimamia hizo sheria? Makablasha ya Jaji Nyalali maskini Mjomba wangu watu kama hao hawana sauti na kama ukiongea ndio viongozi wa sasa wanao jiita ni wasomi na wanashindwa tumia elimu zao ndani ya siasa ilikuweka mabadiliko wakuta wao ndio wakwanza kutumia elimu zao kupindisha mambo kwa kutumia mgongo wa siasa hii ni mbaya sana aibu kubwa sana,

Imefika wakati sasa viongozi wetu na wananchi watu waliko kwa vyama tutizame kwa makini tulipo toka na tunapo kwenda, Zamani watu walikuwa wakisema those 80's kuwa Malaysia ilikuwa na uchumi kama wetu nayo ndani ya miaka kumi mbele ikawa imejiweka katika uchumi mzuri sana sana kwa njia ya kilimo tokana na maamuzi mazito kuzingatia sheria na katiba ya nchi mfn ukikutwa wapokea rusha hata kama ni 2000 ati wewe police umepokea ni kuwa una kuwa jera muda huo huo na nchi ilibadirika kwa muada wa miaka kumi tu je Hapa kwetu ni kuwa tunalogana sana au ni uchuu wa madaraka tusiojua kuongoza nchii?

Huku kwenye vyama vyetu vya siasa ndio kabisaaaa kumekua na makundi ambayo kweli hutupeleka kubaya na ndiko huko viongozi wetu wengi wanatokea na kama viongozi walipita kwa fitna na unafki mwatarajia nini huyo kiongozi kuwa ni kiongozi wa sheria na katiba hapo siitapindisha mpaka katiba yenyewe na sheria zitafiak sehemu zajikanganya.
 
Mzee Mwanakijiji,

Tatizo unalolizungumzia ni pana zaidi ya hapo. Kwa mtazamo wangu Watanzania wote tunahusika kwa namna moja au nyingine kwa hali ya kisiasa katika taifa letu.

Kitu kimoja ambacho tunabidi tukikubali ni kuwa pamoja na kelele zote humu CCM na Kikwete watashinda katika uchaguzi ujao.

Swali la kujiuliza ni kwa nini?

Kumbuka kuwa Kikwete aliwahi kutoa tathmini yake ambapo alisema asilimia 70 ya watanzania wanafuata upepo. CCM na Kikwete kwa kulijua hilo wanatengeneza mikakati ambayo hiyo asilimia 70 wanaipata na hilo wanaelekea kuweza.

Kwa kawaida jamii yoyote inahamasishwa na kundi dogo kukubali mabadiliko. Ili jamii iweze kushawishika ni lazima kundi dogo hilo lionekane na lijipambanue kwa msimamo usio shaka.

Kwa hapa kwetu kundi hilo ni lipi?

Ni wachangiaji wa humu? Vyama vya upinzani? Mataifa ya nje? Kwa mtazamo wangu kundi la kujipambanua bado halijaonekana ambalo litachota imani za wananchi.

Leo hii watu wengi ambao wanaweza kuleta ushawishi katika jamii labda kwa elimu yao, au kwa historia yao wanaonekana kukumbilia bungeni kupitia CCM.

Sasa hilo kundi litakalokuwa mbadala litatoka wapi?

CCM haina kosa kuendelea kuwepo madarakani. Wapo hapa kwa ridhaa zetu wenyewe. Kila chaguzi zikija tunaichagua.

Lazima tukubali CCM haijafika mahali pa kutaka kuiba kura ili ishinde. CCM inashinda bila hila.

sasa tujiulize tatizo nini?

Tatizo letu wananchi bado hawajaona kundi mbadala. Na ndio maana hata wasomi wetu wengi wanapotangaza nia ni kupitia CCM tu. Sasa tunaposema tulete mabadiliko tuyaletaje?

Moja ya njia ni kwanza kwa vyama vilivyopo sasa vikakaa na kuja na umoja. Lazima watu wakubali kupoteza baadhi ya maslahi ili taifa lipate. Na jambo hilo linahitajika mapema siyo muda huu wa uchaguzi maana watu watawatilia shaka kama kweli wataweza kukaa pamoja.

Wakiweza kukaa pamoja angalau miaka mitatu, ushawishi utaanza kuonekana na pole pole wataweza kuingiza watu bungeni.

Maana hata pale unapolaumu CCM kukataa mfumo wa Bunge kupitisha watu kama majaji wakati ukikiri bunge kuwa kibogoyo hapo unajikanganya.

Maoni: Vyama vianze kuonyesha njia kuwa kuna mbadala kwa kuthubutu kukaa pamoja. Utitiri hautusaidii. CCJ imekufa kabla haijaanza maana CCM wameidhibiti kwa hoja ambazo bado hazijajibiwa na hata wakijibu imani ya wananchi imeshapotea. dawa waje kwa mlango wa kuunganisha na siyo kusema wao ndiyo bora wakati hata bado hatujawajua.
 
Mzee Mwanakijiji,
Mkuu sio kwamba napinga hoja yako isipokuwa nazungumzia makosa yaliyotangulia kutufikisha hapa tulipo. Kama utajenga nyumba yenye mchoro wenye msingi dhaifu huwezi kutegemea nyumba kusimama vizuri chini ya Uongozi ambao kazi yake kubwa ni kupangisha nyumba hiyo.. Makosa ni lazima yarudi kwa Archtect na Contractor ambaye ndio waliijenga nyumba hiyo.

Between 1984 hadi kufikia 1995 wakati wa transition, kilichofanyika kikubwa ilikuwa kugawana madaraka baina ya bara na Visiwani. Kuunda Vyama vingi il tupewe mikopo na hakika Mrema na Seif Hamad hawakuwa na itikadi pinzani na CCM isipokuwa kutimiza matakwa tulotakiwa..

Ndiko marekebisho makubwa yalikofanyika lakini tukashindwa kuelewa kwamba Domokrasia sio vyama vingi tu. Ni pamoja na Kuunda mihimili mitatu inayoweza kujitegemea na kwamba serikali inayoingia madarakani inakabidhiwa madaraka hayo na wananchi ambao wana uwezo wa kuwaondoa madarakani..

Sasa unaposema kwamba rais hana mamlaka ya kuachisha mtu kazi hata iwe mfagiaji wa Ikulu nadhani mkuu wangu unazungumzia hadithi za vitabuni. Reality inabakia kwamba Rais anaweza kumwachisha kazi hata Jaji mkuu akipenda na hakuna wa kumzuia isipokuwa tutalalamika kama hivi hadi ngoma itakapopoa..
La kujiuliza ni haya tu..

Je Rais wetu hana madaraka sawa na yale alokuwa nayo Nyerere chini ya chama kimoja?..
Je, Chama CCM kina nguvu ya kiutawala kama iliyokuwa nacho wakati wachama kimoja?..
Je, ni nani anayechagua viongozi wetu ngazi ya juu na pasipo kupingwa kama sio rais?..

Majibu yoote yako wazi kabisa na haiwezekani kabisa kikatiba kutoka chama kimoja na kuunda demokrasia chini ya misingi hii..

Majuzi tu alimweka Augustine Ramadhani kuna kamati ilikaa kumpima uwezo wake - he is a member of CCM na Majaji wengine woote wa mahakama kuu nchini ni wananchama wa chama hicho na siii kwa itikadi isipokuwa kutoka CCM ya chama kimoja. Mawaziri woote wanateuliwa na JK na hahitaji ushauri wala kupingwa, ndiye anayeweza kulivunja baraza hilo hata huyo Waziri mkuu..

Sheria zetu zoote ni zile za mwaka 1971 ambazo hazikidhi matakwa ya leo, tena baadhi ya vipengele vinavyowakwaza viongozi vimeondolewa na wale waliotangulia.. I mean mkuu wangu hata iwe mimi nikipewa sinia zima la Biriani kama hili ustaarabu huwezi kuuona...Kifupi, Tunaendesha nchi yetu kwa misingi ya Ujamaa na kwa bahati mbaya kabisa tumezika miiko na maadili pasipo kuunda baraza kuu la taifa lenye mamlaka ya makubwa kuliko Rais...

Yes, wenzetu wanaposema - No one is above the law, hawategemei vyombo vilivyo chini ya rais kuendesha utaratibu utakao hakikisha sheria hii inafuatwa. Kwa hakika Rais is above the law na ndiye anayeweza kusema no one is above him except God!..That's reality mkuu, wangu tupende tusipende!
 
By: M. M. Mwanakijiji


If you look with an unbiased mind you will easily recognize this assault happening on fundamentally four fronts; it is happening against the judiciary, free press, legislature and even more troubling and saddening it is an assault targeted against liberty itself. The people are dragged into this battle for the soul of our nation without being told what they are fighting for. [/SIZE][/FONT]



Facebook: "mimi mwanakijiji" or twitter

A caclulated move not only in Tanzania, but in Rwanda and Burundi alike. And mind you while doing this they have merged the judiciary, they are merging the police and armies of the partner states the legistative assembly is already there all this is to make sure that hawatoki madarakani. Hivyo hizi taasisi za EAC zinamsaidia kweli mwananchi wa Kakonko, Kwantoro au Farkwa, sidhani.

Mwanakijiji you have posed a very serious point, How do we repeal this assault? CCJ wamebanwa wananchi wanaona sawa hakuna aliyechukua hatua, majority of us tunacheka hatutoi majibu ya maendeleo hata kidogo. Mahakama imekwepa jukumu lake na kutupa mzigo Bungeni, kesho magazeti yote yaandika Mtikila abwagwa mahakamani, wakati kiukweli ile kesi ilikuwa ni ya wanachi wote na tulioshindwa na kusalitiwa ni wananchi wote.

Hakuna mtanzania anayeoliona hilo isipokuwa wachache sana ( wengine wote wako na WOZA ) utadhani world cup ndo itamaliza matatizo ya Kidemokrasia tuliyo nayo.

We have to repel this assault! as individuals and as a collective opposition. But not just to oppose them, but also to propose better ways ahead for our selves and our posterity. Yes, to propose and fight for a better course for our nation for a better and prosperous future for our country.

If you ask me, this is the time!


Nakubaliana kabisa na aya hizi mbili za mwisho lakini swali la msingi ni kwa vipi, hasa ukizingatia kuwa wengi wa Watanzania hawajui nini kipo mbele yao na kwa nini, hawajui wanatakiwa wafanye nini kwa faida gani?

Nani anaweza akajitolea kuwaelimisha wananchi kuhusu haki zao za kiraia TV ndo hizo, redio ndo hizo, tangazo pekee lililopo redioni TV na magazeti mpaka sasa, miezi mitatu kabla ya uchaguzi, ni lile linalowahamasisha wanawake kugombea. Jukumu la elimu ya Uraia lipo chini ya Tume ya uchaguzi tume ambayo ni CCM damu tunategemea nini???????
 
Back
Top Bottom