Je, wabunge wafanye mitihani ya IELTS au TOEFL?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,347
6,471
Moja ya sifa ya mbunge kwenye ibara ya 67 (1) (a) ni kuwa na uwezo wa kusoma na kuandika Kiswahili na Kiingereza, sasa je wabunge wote wanasifa hii? Na namna ya kuhakikisha sifa hii ni kuwapatia mtihani wa IELTS au ToEFL na matokeo yake kuambatanishwa aidha kwenye fomu ya chama au tume ya uchaguzi, la sivyo huko ni kusigina katiba. Wananchi tuwaulize wabunge wetu kwa kuandika maswali aidha kwa kiingereza au kiswahili wakati wa kampeni, na wakishindwa kusoma tu basi NO Vote!

Hivi ukijua kusoma na kuandika ndio unajua kusikiliza na kuongea?
 
Back
Top Bottom