OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 428
Tatizo la baadhi ya viongozi wa umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) kudanganya umri wao Limeendelea kutafuna Umoja huo.
Katika tukio la karibuni ,mjumbe wa NEC kupitia UVCCM Edwin Sanda amefanya udanganyifu wa Umri, Sanda anadaiwa kufanya udanganyifu katika kutaja umri wake kwenye mkutano mkuu wa CCM uliofanyika mwaka 2007 Dodoma.
Katika mkutano huo sanda akigombea ujumbe wa NEC kupitia UVCCM Alidai ana umri wa miaka 30, Lakini ukweli ni kwamba amevuka hapo kwani alikuwa na umri wa miaka 36
Historical Background yake hii hapa:
- Birth 1971
- Primary Education 1984 up to 1990 at Mbuyuni primary School
- Secondary Education Moshi Secondary School (OLD MOSHI) 1991 up to 1994
- A level Education Azania Secondary School 1995 up to 1997
Naomba Kuwasilisha