WAKUU,
Naomba kwenu weledi wa politic hivi CCM itapata athari zozote kutokana na kufuata mfumo wzamani wa kura ya maoni kutoka kwa wananchi??Je kubwagwa kwa wabunge takribani 70 kunamtikisiko...
Taarifa iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kuwa Dokta Slaa ameanza kampeni kabla ya Muda.
Ni kinyume cha sheria maana kila anapopita anaeleza atakayowafanyia Watanzania pindi akichaguliwa...
Nimepata taarifa kuwa Rais JK amewapandishia mishahara Askari wa vyombo vya Ulinzi na Usalama hadi asilimia 40 kwa cheo cha SSP (Polisi na Magereza)! Kwa wenye akili timamu tunajiuliza kwa nini...
CCM imezoea kumtumia Malecela unapotokea uchaguzi ambao ni uncertainty, walifanya hivyo Busanda na Biharamulo. Kuna wakati niliwahi kumsikia Malecela akilalamika eti CCM inamfanya kama tingatinga...
Wakati tukielekea kwenye Uchaguzi Mkuu, naona mchecheto unazidi kukikumba moja ya chama Kikongwe kabisa barani Afrika yaani CCM, nasikia Mkuu wa Kitengo cha Propaganda ( Hivi inakuwaje chama...
Leo katika Jimbo la Karatu mrithi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo hilo amechukua fomu kwa maandamano makubwa na kusindikizwa na wananchi wa mji wote wa Karatu.
Huyu anaitwa Israel Yohana Natse...
Ndugu wanaJF wenzangu, kwa mara ya kwanza nimeamua kusema yanayonikera humu ndani kwani kuna watu humu wamekuwa mbele saaana kuvunja harakati za mapambano dhidi ya ukombozi wa nchi yetu.
Sote...
Kigumu chama cha mafisadi! Kigumu!
New CCM primaries system still marred by corruption, fraud
By Rodgers Luhwago
8th August 2010
Contrary to expectations, the newly introduced system by...
Haya ni maneno ya Makamba wakati Kikwete akirudisha form ya kugombea uraisi
Kwa miaka mitano umeonesha umahiri mkubwa, na nataka kukuambia kazi ya kukurudisha Ikulu ina wenyewe. Nawaambia wenzangu...
Yule kijana mwenye mbwebwe yuko wapi? si arudi kundini jamani mbona anaharibu future yake ya siasa? Chadema inakukaribisha kwa mikono miwili mwana mpotevu!
jana nilibahatika kusikia mazungumzo ya wana ccm pale lumumba,kinahofanyika sasa kuhusiana na kura za maoni na matokeo yaliyotea ni kwamba wale watu walioshinda kura za maoni lakini hawawataki...
Habari za Uhakika zinasema kuwa, viongozi wooote waandamizi wa CCM hivi sasa wapo kwenye mkakati madhubuti kuhakikishisha kuwa Dk Slaa hafui dafu kwa JK.
CCM imeshtushwa kwa kiwango cha juu...
Wakuu, matokeo ya kura za maoni yanaonesha kuwa Mh Edward Lowassa has won big, na Mh Basil Mramba has won big. Swali linakuja, ni kwanini haa jamaa wamepata ushindi mkubwa? NI kwamba wanafaa zaidi...
Written by Edris Kiggundu
`
SUSPECTS: (L-R) Idris Magondu, Muhammed Aden Addow and Hussein Hassan Agad
An Alcatel mobile phone recovered from a house in Makindye, where a bomb...
Kesho kwenye viwanja vya Jangwani Jijini DSM kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara wa Dr.Slaa kwa ajili ya kuhitimisha zoezi la kuzunguka mikoa yote ya Tanzania kwa ajili ya kuomba kudhaminiwa na...
Kama hii ilikuwa mbinu yao, CCM kwishneiy, eti wamemchagua mtu mwenye jina kama la aliyekuwa mbunge wa Karatu ambaye sasa ni mgombea urais wa Chadema Dr. Wilbroad Slaa kugombea jimbo hilo...
Watoto wengi wa Kitanzania wanaishi maisha ya namna hii.
Kosa lao kubwa ni kuwa walizaliwa na wazazi wa kitanzania, ingawa hilo halikuwa chaguo lao. Je unataka waendelee kuishi namna hiyo...
Nimesikia katika kituo cha Channel 10 taarifa yao ya saa moja usiku huu kwamba katika mkutano wake wa hadhara katika viwanha vya Jangwani leo hii, Mwenyekiti wa Chadema amesema kwamba Chadema...
JK asipuuzie suala la siasa za Mbeya kama zilivyojionyesha katika chaguzi za kura za Chama kuteua Wabunge.
Mkoa wa Mbeya ni kati ya mikoa ambayo JK alipata kura nyingi sana hata kuzigi the...