Kuna athari zozote kwa CCM 2010-2015 Election?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna athari zozote kwa CCM 2010-2015 Election??

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KakaKiiza, Aug 9, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  WAKUU,
  Naomba kwenu weledi wa politic hivi CCM itapata athari zozote kutokana na kufuata mfumo wzamani wa kura ya maoni kutoka kwa wananchi??Je kubwagwa kwa wabunge takribani 70 kunamtikisiko wowote kwenye chama??
  Je walioshindwa wanaweza kutimkia vyama vingine vya upinzani??
  :A S 39:
   
Loading...