Mishahara ya Polisi na Magereza imepandishwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishahara ya Polisi na Magereza imepandishwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ibrah, Aug 6, 2010.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Nimepata taarifa kuwa Rais JK amewapandishia mishahara Askari wa vyombo vya Ulinzi na Usalama hadi asilimia 40 kwa cheo cha SSP (Polisi na Magereza)! Kwa wenye akili timamu tunajiuliza kwa nini Wanajeshi wamepandishiwa mishahara kwa kiasi hicho wakati huu? Je, serikali ya JK imepata wapi hizo fedha za nyongeza hiyo kubwa ya mishahara wakati alituhutubia Watanzania kuwa Serikali haina uwezo wa kuwaongezea mishahara Wafanyakazi wake na kwa hiyo hata kura zao kwenye Uchaguzi wa mwaka huu hazitaki?
  Je, ni kwanini upandihsaji huu umefanyika kwa siri kiasi kwamba hata Askari wenyewe wameshangaa kujikuta mishahara imeongezwa?

  Taaarifa hizi nimezipata kutoka kwa Askari wa Magereza na Polisi, sina uhakika JWTZ na Wafanyakazi wengine wa Seriakali wameongezewa au la, wameongezewa Mlioajiriwa Sirikalini mtujuze.

  Yawezekana, hofu imemkumba Muungwana kwa Mpinzania wake Mkuu DK Slaa kuitumia kauli ya kutotaka kura za Wafanyakazi kwenye harakati za kuingia Ikulu.

  Hatua hii yaweza kuzua mtafaruku zaidi kwani Wafanyakazi watatambua kuw Sirikali inao uwezo wa kuwalipa vizuri ila tu Wakulu wanataka waendelee kutanua peke yao. Lakini pia nyongeza hiyo ni hatari kwa Uchumi wa nchi kwa hali za Wtanzania zimekuwa mbaya maradufu kutukana na kuzidi kudorora kwa uchumi na kuzidi kwa mfumuko wa bei kwa kiasi cha kutisha katika kuliko nchi yoyote ya Afrika Mashariki.
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  sasa naona habari za yale magazeti ambaye mmiliki alienda kugombea BUCHOSA zimeanza.....!
   
 3. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kama kweli,, hapo itakuwa maigizo makubwa.
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  wafanyakazi wote wameongezewa mkuu. tena ni asilimia hiyohiyo kwa wote. keshatimiza matakwa yenu. mpeni basi zile kura alizokataa. ilikuwa ni hasira tu wakuu. msameheni boss wenu!
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kama kweli wameongezwa MUNGU awape nini watumishi wa umma? Muungeni mkono MUUNGWANA kwa kasi zaidi...ari zaidi....na nguvu zaidi....! CCM YAPANDISHA MISHAHARA .....HONGERA CCM....!
   
 6. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli na imetolewa wakati huu inafanania sana na Rushwa.
   
 7. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mh kwanza mkuu wa nchi alisema hataki kura za wafanyakazi. Pili alisema kuwa akiongeza mshahara Tanzania itafilisika. Sijajua kama mshahara umeongezeka maana mpaka sasa but kama umepandishwa naweza nafurahia but huku nalia kwasababu mbili kuu, Kwanza kutapunguza mzigo wa hali ngumu ya maisha hasa hasa kwa mfanyakazi wa kipato cha chini (furaha yangu ndio hii) but la pili nasikitika kama tutaongeza mshahara kwani tutachangia kuongeza purchasing power ya watanzania (kilio changu kipo hapa). Sasa sijui huo mshahara umeongezeka wapi? Pia kuwa wanajeshi mshahara mkubwa peke yao ni kama wanawahonga ili wakatandike vizuri watanzania watakao kuwa wakarofi pindi kura zitakapoibiwa sasa sijui hili limekaaje.
   
 8. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2010
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Mwangalieni huyo asichapishe fedha au akakopa mno kwenye mabenki. Ataua uchumi. Au yuko tayari kuhatarisha sana uchumi kwa ajili ya kuhongea kura?

  Wafanyakazi si wajinga. Watapokea hizo fedha lakini kura watampa Dr. Slaa. Hawatakubali hongo ya dakika za majeruhi.

  Ila kama kweli JK ameamua kuongeza mishahara kwa asilimia 40 saa hizi, basi atakuwa amemuogopa Slaa kuliko hata tulivyodhani! Kaza buti Kamanda wetu Slaa, watu wameshapanick sana!
   
 9. O

  Ogah JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hakuna kubadilika msimamo ni ule ule.............ongeza mishahara, kamata wala rushwa.....its too late.........tuendelee na kampeni za mabadiliko.....hakuna kulala......kinachofurahisha ni jinsi gani kazi ilivyo rahisi kuwaelimisha wananchi endapo unakutana nao.....convincing points ziko nyingi sana...............na kazi iendelee
   
 10. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Lakini tuwe makini kwa kujadilia suala hili. Tukumbuke kuwa Rais alikaa kuongeza kiasi ambacho TUCTA walipendekeza (zaidi ya laki tatu kwa mwezi). Hakusema kuwa hataweza ongeza mshahara kabisa. Kwa hiyo tujadili kwa kufuata hii kauli. Kwa jinsi tunavyojadili, nahisi kama tutatoka nje ya mada kabisa kwani wengi wanaamini ongeza la mshahara lilikataliwa kabisa.
   
 11. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  mshahara uliongezwa baada ya uteuzi wa slaa au kabla?
   
 12. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,603
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  Ni kweli wameongezwa. Swali kubwa ni kwanini nyongeza hiyo imetolewa kinyemela? Jibu lake ni kuwa hiyo ni rushwa, nawaomba wafanyakazi wasidanganyike,huyu mtu alishawatukana hivyo wasimpe kura kwani yeye mwenyewe kwa kauli yake amesema hazitaki.
   
 13. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  jamani hakuna mwenye press release yenye kuonyesha hilo ongezeko, hivi kweli raisi anaweza kuongeza huo mpunga kimyakimya namna hiyo?
   
 14. B

  Bettina Member

  #14
  Aug 7, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatudanganykiiii
   
 15. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  'You catch more flies with honey than with vinegar' hiyo ndo principle anayotumia jk so jiulize wewe mfanyakazi kama ni inzi au vipi? coz haiitaji eti uwe na degree kujua kwamba jk anahanya hanya kwa uteuzi wa slaa,
   
 16. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Ni vema udadisi kuliko kuanza kubeua. Hayo masuala ya kupuuza kila jambo mwachie Tambwe Hiza na Makamba.
   
 17. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Bado tu huamini wakati wewe ni mdau pamoja na Makamba na Tambwe Hiza? MWanzo ulijifanya kubeza sasa unakuja na rangi zako halisi, kwa watu wa aina yakio bado tuna safari ndefu kuelekea mafanikio
   
 18. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  hii issue imejadiliwa muda mrefu mbona kuwa majadiliano ya TUCTA na waziri yasiripotiwe ili yasivuruge/yasilete mfumuko wa bei mitaani?
   
 19. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unajua tafsiri ya rushwa? Kikwete alishasema kuwa mshahara wa wafanyakazi hautakaa uongezwe hata miaka minane (8) ijayo.
   
 20. r

  rimbocho Member

  #20
  Aug 8, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ISO 9001:2008
  SUMMARY OF CHANGES IN TAX LAWS ADMINISTERED BY TRA AS
  PER FINANCE ACT 2010
  Following the budget speech of 2010/11, the government has reviewed tax laws
  administered by TRA that grant exemptions with a view to controlling and instituting
  measures to improve supervision. The proposed measures cover the following tax laws:-
  1. The Value Added Tax Act, CAP148
  2. The Income Tax, CAP 332
  3. The Excise (management & Tariff) Act, CAP 147;
  4. The Motor Vehicles (Tax on Registration and Transfer )Act, CAP 124
  5. Road Traffic Act, CAP 168;
  6. The East African Community Customs Management Act, 2004;
  7. Tax Laws and Government Notices (GNs) granting exemptions on motor
  vehicles.
  A: Amendments to the Value Added Tax Act Cap 148
  VAT Exemptions
  (i) VAT on transportation ( intra- transport) of agricultural products i.e. transportation
  of sugar cane, sisal and tea plantations to the processing industry; This is
  applicable to organized farming only;
  (ii) VAT on machines and equipments used in the collection, transportation and
  processing of milk products;
  (a) Milk cans (HS Code: 7310.29.90)
  (b) Milk pumps-( HS Code no. 8413.81.00);
  (c) Milk hoses-( HS Code no. 8413.70.20);
  (d) Compressors used in refrigerating equipment-(HS Code no. 8414.30.00)
  (e) Milk Storage tanks- (HS Code no. 7309.00.00);
  (f) Milk Tankers ( HS Code 8716.31.90);
  (g) Milk pasteurizers-( HS Code no. 8434.20.00);
  (h) Butter churns- (HS Code 8434.90.00);
  (i) Storage chillers– HS Code no. 8415.81.00); and
  (j) Chees pressers - (HS Code no. 8434.20.00).
  (iii) VAT on animal feeds or seed cake ( locally known as mashudu)
  (iv) VAT on agricultural implements i.e. combine harvesters, pick-up balers, hay
  making machinery and mowers used in agricultural production and livestock;
  (v) VAT on Airfreight charges for transportation of flowers;
  (vi) VAT on Breeding services through artificial animal insemination;
  (vii) VAT on supply of packaging materials for fruit juices and milk products;
  VAT Special Reliefs - Third schedule to the Act
  (a) Supply of equipments to a registered Veterinary Practitioner
  (b) Importation by or supply of green houses to growers;
  (c) Supply of goods and services to the organized farms and farms under
  registered cooperatives unions for the purpose of building infrastructures
  such as irrigation canal, construction of road networks, godowns and
  similar storage facilities;
  (d) Supply of building materials and construction services to EPZ
  developers;
  (e) Practice of classifying certain goods deemed capital goods have been
  reinstated; Inter disciplinary committee under TRA will oversee its
  implementation to avoid abuse of this facility.
  Zero Rate:
  VAT on locally produced edible oil using local oil seeds by local processors;
  B: The Income Tax Act 2004 Cap 332
  (i) Sect. 11 of income tax Act has been amended to introduce Ring fencing
  within the mining area. The measure restrict companies to utilize losses of
  one mine against the taxable income of another income of another mine
  while determining tax liabilities.
  (ii) Reduce individual income tax rate from 15% to 14% for employees
  RESIDENT INDIVIDUAL INCOME TAX RATES WITH EFFECT FROM 1/7/2010
  SN MONTHLY TAXABLE INCOME TAX RATE
  1 Where income does not exceed Tshs. 135,000/= NIL
  2 Where total income exceeds Tshs. 135,000/= but
  does not exceed Tshs. 360,000/=
  14% of the amount in excess of Tshs.
  135,000/=
  3 Where total income exceeds Tshs. 360,000/= but
  does not exceed Tshs. 540,000/=
  Tshs. 31,500/= plus 20% of the
  amount in excess of Tshs 360,000/=
  4 Where total income exceeds Tshs. 540,000/= but
  does not exceed Tshs. 720,000/=
  Tshs. 67,500/= plus 25% of the
  amount in excess of Tshs 540,000/=
  5 Where total income exceeds Tshs. 720,000/= Tshs. 112,500/=plus 30% of the
  amount in excess of Tshs 720 ,000/=
  (iii) Extend the application of withholding taxes on goods and services to non-TIN
  holders supplying goods or services to all entities.
  C: The excise Management and Tariff Act Cap 147
  CHANGES OF EXCISE DUTY RATES
  SN Types of the item Previous rate
  in Tshs.
  Current rates
  in Tshs.
  1.0 Residual fuel oils (HFO) 97 per litre 80 per litre
  2.0 Soft drinks 58 per litre
  63 per litre
  3.0 Beer made from un-malted cereals
  209 per litre 226 per litre
  4.0 Other beers 354 per litre 382 per litre
  5.0 Wine produced with more than 255
  imported grapes
  1,132 per litre 1,223 per litre
  6.0 Spirits 1,678 per litre 1,812 per litre
  Excise duty rates on cigarettes
  Per 1,000
  sticks
  Per 1,000
  sticks
  7.0 Cigarettes without filter tip and containing
  domestic tobacco more than 75%
  5,749
  6,209
  8.0 Cigarettes with filter tip and containing
  domestic tobacco more than 75%
  13,564
  14,649
  9.0 Other cigarettes not mentioned on 6 & 7 24,644 26,604
  10.0 Cut rag or cut filler 12,441 13,436
  11.0 Excise duty rate on "Cigars" remain at 30%
  D. The Motor Vehicles ( Tax on Registration and Transfer) Act Cap 124
  Sn Type Previous fees New fees
  1 Motor vehicle registration 120,000/= 150,000/=
  2 Motor Cycle registration 35,000/= 45,000/=
  E Road Traffic Act Cap 168
  SN Ujazo wa Injini Previous
  fees
  New fees
  1 0 – 500. cc 30,000/= 50,000/=
  2 501- 1500.cc 50,000/= 100,000/=
  3 1501- 2500.cc 100,000/= 150,000/=
  4 Over 2500.cc 150,000/= 200,000/=
  F. The East African Community Common External Tariff (CET) and Customs
  Management Act 2004
  Common External tariff
  (i) Review the CET rate applicable on aluminium conductors and cables under HS
  code 7614.10.00 and HS code 7614.90.00 from 105 to 25%
  (ii) Review the CET rate applicable on other cables of copper wire under HS Code
  7413.00.90 from 10% to 25%, the measure intended to harmonize with cables
  under HS Code 7413.00.10 attracting the CET of 25% and are of competing
  products;
  (iii) Grant duty remission to the specific inputs which attract duty and are used in
  production of duty free finished products. The measure is intended to create
  environment of fair competition because some of inputs attract CET rate of 10% or
  25%.
  (iv) Review the CET Rate applicable on driers under HS Code 3211.00.00 from 10%
  to 0%
  (v) Review the CET rate applicable on Petroleum coke, not calcined under HS Code
  10% to 0%
  (vi) Review the CET rate applicable on Stamping foils under HS Code 3212.10.00
  from 10% to 0%
  (vii) Review the CET rate applicable on pigments dispersed in non aqueous media, in
  liquid or paste form of a kind used the manufacture of paints under HS Code
  3212.90.10 from 10% to 0%
  (viii) Review the CET rate applicable on Flat – rolled products of iron alloy steel
  coated or plated with tin of a thickness of 0.5 mm or more under HS Code 7210.11.00
  and 7212.10.00 from 25% to 0% and from 10% to 0% respectively
  (ix) Review the CET rate applicable on cooking appliances and plates – for gas fuel
  under HS Code 7321.11.00 from 25% to 10%
  (x) Review the CET rate applicable on wheat under HS Code 1001.90.20 and HS
  Code 1001.90.90.90 from 35% to 10% for one year because the supply from within
  the Partner States is inadequate.
  (xi) Review the CET rate applicable on Motor vehicles with load capacity of 5 tons but
  not exceeding 20 tons under HS Code 8704.22.90 from 25% to 10%
  (xii) Review the CET rate applicable on Motor vehicles with load capacity exceeding
  20 tons under HS Code 8704.23.90 from 25% to 0%
  (xiii) Review the CET rate applicable on Sensitive Item of Portland Cement under HS
  Code 2523.29.00 to 25%
  (xiv) Import duty rate on worn clothing under HS Code 6309.00.00 has been reduced
  from 45% or USD 30 cents per kilogram to 35% or USD 20 per kilogram
  (xv) Buses to be imported for DART ( Mradi wa mabasi yaendayo kasi Dar es salaam)
  Project will attract a duty rate of 10% (HS Code 8702.10.99 and 8702.90.99)
  this will apply for one year.
  (xvi) Review the CET rate applicable on tractors under HS Code 870.20.90 from 10%
  to 0%
  Import duty remission or exemptions
  (i) Granted duty remission on textile coated with gum used in manufacturing of outer
  book covers under HS Code 5901.10.00
  (ii) Granted duty remission on looped pile fabrics of gum boot manufacturing under HS
  Code 6001.22.00
  (iii) Granted duty remission to motor vehicles Assemblers
  (iv) Exempt import duty on Parent Stocks under HS Code 010520.90
  (v) Exempt import duty on lamps/bulbs using LED technology
  (vi) Extend the exemption regime granted to Armed Forces Canteen (AFCO)
  (vii) Exempt import duty on examination gloves
  NB: The 5th Schedule has been amended to limit the exemption of import duty
  granted on importation of motor vehicles by returning residents to only four (4)
  years
  before the beneficiary can enjoy another exemption.
  G: Amendment of the Cashew nut Industry Act, (CAP 203)
  Export levy on raw cashew nuts has increased from 10% to 15% on Free on
  Board (FOB) or USD 69 per metric tone whichever is higher. 65% of the levy
  collected will be divided amongst district councils which are cashew nuts producers
  Issued by
  Taxpayer Services and Education Department
   
Loading...