Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya kuenguliwa kwa Bwana Mwakalebela, wana CCM wengi wameonesha kukerwa na kitendo hicho. Kumekua na matukio Mengi yakiwemo na kuchana kadi za uanachama Mbele ya ofisi zao(CCM) hapa iringa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau wa JF ningeomba kujua matokeo ya kura za maoni katika jimbo la bariadi mashariki kwa tiketi ya CCM kuanzia nafasi ya kwanza hadi ya tano. Nina interest ya kisiasa na hili jimbo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF naomba kuuliza hii weekend katika pita pita yangu nilisikia wasanii walikuwa wanagawiwa viwanja mkuranga chini ya shirikisho la wasanii lililounda wiki moja iliyopita, redio za mbao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimetoka kwa wapiganaji nimekwenda kwa wapambanaji.kwa kuwa tutakuwa upande wa oposition bungeni bado tutaendelea kupambana na mafisadi (CHARLES MWERA)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wiki kadhaa zilizopita tuliambiwa na TAKUKURU kuwa wamemdaka mama sita katika mazingira ya kutaka kutoa rushwa, hata vivyo mama sita pamoja na mzee sita walipinga vikali na kuielezea jamii kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baaada ya marekebisho ya katiba ya Zanzibar watu wengi wa upande wa Zanzibar na Tanzania bara wamekuwa na hoja ya kutaka kuwepo serikali tatu ili kuweza kuweka usawa kati ya Tanzania Bara na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana na fashion iliyozuka hivi karibuni, nami nawasiliana na wapambe wangu ili angalau na mimi nichukue form ya kugombea uraisi wa nchi hii, kwa nia ya kuweka historia na kupata form hiyo, ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Baada ya maongezi magumu ya kumuomba Mh. Dr.Slaa kukaa hapa na kujibu maswali ya aina yeyote ile yanayohusu Chadema na Upinzani, hatimaye amekubali rasmi kwamba atajibu kila swali...
0 Reactions
206 Replies
30K Views
Mwenyekiti wa CUF wilaya ya Mbeya Mjini, Yasin Mrotwa amesema hivi sasa wanaendelea na mazungumzo na mmoja wa wanachama wa CCM, Prince Mwaihojo kumuomba ili asimame kugombea ubunge wa Mbeya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nini tofauti ya hawa watu wawili katika medani sa siasa za CCM? Kwanini jina la Pesambili lirudi ili hali yuko mahakami tayari kwa tuhuma vile vile? Hivi tunaongozwa na CCM ya Vichaaaaa...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Jimbo la Karagwe mkoani Kagera linaenda kiulaini mikononi mwa CHADEMA kutokana na NEC ya CCM kurudisha jina la BLANDES GOZIBERT. Viongozi wa CCM hapa Karagwe wanasema BLANDES hawezi kushinda na...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
MKOA WA MJINI MAGHARIBI i.Jimbo la Mtoni: Ussi Ame PANDU ii.Jimbo la Mfenesini: Nasib Suleiman OMAR iii.Kiembesamaki: Waride Bakari JABU iv.Jimbo la Dole:Sylvester Massele MABUMBA v.Jimbo la...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Huu ni uchunguzi wa muda mrefu ambao hata wewe ndugu msomaji hapa kama utajichungua basi mwisho wake utagundua kuwa wewe ni CUF damdam ,yaani hakuna ubishi juu ya jambo hili kamfano kadogo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WANASEMA MSOMALIA Wanasema MMaLAWI>>>>>> Sijui wapi wna JF mtanisadia Sijui Wapi? Iringa? Pakistani? Sijui wapi hii mtu?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kitaifa: CCM wameongeza mshahara wa wafanyakazi kinyemela Kimkoa: Kyela wapata soko la zao la kokoa,kawambwa atembela miradi ya ujenzi Mbeya. Just last week Dr Kawambwa alikuwa uko akikagua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
OUTGOING Tarime MP Charles Mwera (right) on Sunday defected to CUF from Chadema and received a card of his new party from CUF Deputy Secretary General Juma Duni Haji (left). (Photo by Yusuf Badi)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kinyang'anyilo cha uchaguzi wa kura za maoni mwaka huu katika jimbo la Nzega kimeanza kwa vibweka baada ya mbunge wa jimbo anayemalizia muda wake Lucas L selelii kuzomewa mwanzo hadi mwisho...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
imepata kusemwa siku chache zilizopita kuhusu sintofahamu ya mpendazoe kushindwa kura za maoni katika jimbo la segerea na kuibukia kinondoni kabla ya tetesi kuenea kwamba huko segerea amekata...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
NASHANGAZWA NA MAAMUZI YA CCM KUSEMA HUSSEIN BASHE KUWA SI RAIA WA TZ,NA KUKUMBUSHIA HISTORIA YA ULIMWENGU PIA,SASA NI WAZI KWA YEYOTE AMBAYE ATKUWA KINYUME NA MATAKWA YA MABWANA WAKUBWA LAZIMA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…