Wasanii wagawiwa viwanja Mkuranga??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasanii wagawiwa viwanja Mkuranga???

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ashangedere, Aug 16, 2010.

 1. A

  Ashangedere Senior Member

  #1
  Aug 16, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF naomba kuuliza hii weekend katika pita pita yangu nilisikia wasanii walikuwa wanagawiwa viwanja mkuranga chini ya shirikisho la wasanii lililounda wiki moja iliyopita, redio za mbao zinasema walikuwa wanatoa elfu 60,000 na kadi ya kupigia kura kisha wanapatiwa na walikuwa na usafiri wa mabasi likiwemo lile basi la fie**a, haya ni ya mitaani na sitaki kuyaamini, ila tafadhali mweye taarifa atupatie.

  Jana nimeona kwenye taarifa ya habari habari inayofanana na hii, kweli lisemwalo lipo
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  wamepewa viwanja chanika
   
 3. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,491
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  takrima na rushwa hiyooooooooooooooooo
   
 4. A

  Ashangedere Senior Member

  #4
  Aug 17, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tueleze vizuri mkuu kama una undani wa hii taarifa
   
Loading...