Wote mnaelewa kwamba kwa sasa JK HAFANYI KAMPENI, bali anafanya ziara, akielezea nini "serikali yake" imefanya kwa muda wa miaka tano.
Baada ya kuondoka, kilichojiri ni .... Polisi watishia...
JK na watu wa sirikali yako esp. CCM, mbona mkija huku ughaibuni mnaishia DC tu na tukiwaalika mje Houston, mnakacha. Lakini mkialikwa Minneapolis, NY, CA etc mnaenda.
Tumeujulisha ubalozi wa...
Picha na maelezo kwa Hisani ya blog za Michuzi na Michuzi Jr:
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dr. Willbrod Slaa akizungumza leo jioni wakati wa uzinduzi wa...
Kulingana na precursors zilizoanza, Uchaguzi Mkuu 2010 Tanzania utakuwa wa vituko, kama sio ugomvi wa kumwaga damu!
I am not an alarmist; just a peacemaker/keeper!
Heshima mbele wakuu.
Sasa huku tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2010 sio vibaya tukipitia matokeo hasa ya ngazi ya Urais ya mwaka 2000/2005, ningependa mtu mwenye takwimu za matokeo (kura)...
Kwa tafakari yangu August 2010 huu ni mwezi maalum sana kwa wana JF wote, kwani nadhani ndiyo mwezi ambao wanachama wapya wengi walijiandikisha na karibu asilimia kubwa ya wanachama hao wanaitetea...
Mimi Diana na watanzania wengi tunataka kumpa kura Dr. Slaa oct.2010 lakini najiuliza nikimpa atatawala vipi huku wabunge wengi watatoka CCM? sitaki kuichezea kura yangu na watu wengi wanajiuliza...
Opinions as to why Presidents Jakaya Kikwete shouldnt be accused of breaking the Election Expenses Act by announcing the status of the decision of the Government to increase the salaries of its...
Send to a friend Monday, 30 August 2010 09:08
Daniel Mjema, Moshi
MGOMBEA ubunge Jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chadema, Philemon Ndesamburo jana alizindua kampeni zake huku chama hicho...
Hili wimbi la wakongwe wa CCM kuhamia upinzani kipindi hiki..then mnawachekea..kitalia kitu mtashangaa!!!!!!Mnategemea nini hapo?..CCM are just very smart, wanacheza na Human Psychology..Hivi...
SIKU moja baada ya Chadema kutangaza nia ya kumwekea pingamizi mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete, chama hicho tawala kimesema kuwa kinajipanga kumwokoa mgombea wake dhidi ya hoja za kutaka...
Mjini Mbozi tukio la mgombea ubunge kuzomewa lilimkumba Dk Lucas Siyame baada ya kuitwa jukwaani na Kikwete ili awasalimie wananchi baada ya kumaliza hotuba yake fupi kutokana na kuwa na mkutano...
CUF si chama cha promotion kama vile bidhaa mpya.
"Ni chama ambacho kimejikita vema hadi vijijini... hata katika uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya CCM ni CUF. Ni chama ambacho mgombea urais...
Kila ninapojaribu kufuatilia mwenendo wa kampeni wa mgombea wa chama kilichokuwa kikitutawala nimekuwa nikitamani kusikia jambo moja kubwa. Kimsingi hali halisi ya maisha hapa Tanzania sio nzuri...
Imeandikwa na Mwandishi Wetu;
Tarehe: 29th July 2010
BARAZA la Habari la Kiislamu Tanzania (Bahakita), limesema katika siku 14 lilizotoa kwa CCM na kufanya uchunguzi, limebaini kuwa Serikali ya...
Hali ya kisiasa kwa CCM jimboni Bukombe ni ngumu sana. Prof Kahigi Mgombea wa CHADEMA anakubalika kuliko maelezo, bendera na vipeperushi vya CCM vimetolewa na kuchomwa moto! Wananchi wamekataa...
High Court directs CCM, govt to argue on petition
Friday, 27 August 2010
The High Court yesterday directed the government and the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) to argue by way of written...
Ndugu wananchi wenzangu wana JF na wakereketwa wote wa MABADILIKO ni vigumu kuamini lakini inatubidi tuamini kwani tumeona baada ya kusikia mwanasheria na mwanzilishi wa vyama vingi akisema na...