Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu mgombea wa Chadema mheshimiwa Dr W.Slaa hatoweza kuukaribia ushindi kabisa na hapo alipo ni kuanguka kwake kisiasa au kwa lugha ingine tunasema ndio mwisho wake. Ukiangalia migongano ndani...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
KUNA kisa cha hakimu aliyepata tabu sana katika kuthibitisha ukweli wa urefu wa mtuhumiwa wa wizi. Mashahidi walikuwa wawili; Njau na Kalumekenge. Wote wawili, Njau na Kalumekenge, walimwona...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
TANZANIA ni nchi yenye rasilmali nyingi sana. Nyingi sana. Lakini jambo la ajabu na kusikitisha, idadi kubwa ya watu wake ni masikini, tena masikini sana, fukara wa kufukarika, wasiokuwa na makazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KIKWETE BAADA YA KUANGUKA MNAMTAKA AZIMIE? Jamani nasikia Kikwete Hatapumzika kama ratiba ilivyokuwa awali kwamba kwa vile anaanguka mara kwa mara atafanya kampeni kwa awamu ili aweze...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Toka mfumo wa vyama vingi uanze kumekuwa na kawaida ya kuwa na polls estimate kabla ya uchaguzi. Na mara zote imekuwa in favour of CCM. Je mwaka huu vipi mbona hatuwasikii. Je hii si dalili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Sunday, 5 September 2010 Slaa anachumbia mtalaka na huyu wa Kikwete ni nini? Bila shaka watanzania wengi wanajua kuwa Rais wao aliyemaliza muda wake Jakaya Kikwete kuanzia alivyokuwaMakongo...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wadau wa JF,Poleni na majukumuu ya kuleta mapinduzi ya kifikra katika jamii. Nimeona nami niwashilikishe hili japa bado mi mchanga katika siasa lakin kuna jambo nikifikiria linaniuma na ningependa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
kutokana na wananchi wa nzega kutokubaliana na kuenguliwa kwa mgombea wao aliyeongoza kura za maoni. mgombea waliompitisha Dr Hamisi Kigwangala ameshindwa kuanza kampeni hadi sasa kutokana na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ushabiki wa vyama hauna maana ndugu zangu.tufungue macho yetu, masikio yetu na akili zetu tuangalie mambo ya msingi yanayogusa taifa letu kwa ujumla wake. Angalia rasilimali zilizoko nchini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati wa uhai wa Baba wa taifa JK Nyerere RIP kulikuwa na uvumi kuwa na maziwa ndani ya kibuyu ambayo yalikuwa hayagandi. Kwa namna hiyo hiyo nasikia kuna mtu kashikilia kibatari cha Kikwete na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vi "nzi" vilivyotangulia mitaa ya Buzwagi machimbo ambayo yalichangia kuipa chati na Zitto Kabwe ujiko wa pekee katika siasa za Tanzania vinadokeza kuwa wananchi wa huko wanasubiri kwa hamu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi na familia yangu ni wanachama hai wa CCM,tumekiri na kuamini ilani ya chama, lakini kwa haya niyaonayo Ndg kikwete si chaguo letu na kura zote Dr slaa atapewa. Chama kilifanya maamuzi mabovu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bei ya mkate yapunguzwa Msumbiji Msumbiji...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF Habarini za mchana. Nahitaji msaada wa ufafanuzi kidogo kwenye swala zima la wagomea waliopita bila ya kupingwa ambao ni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kutakuwa na modality gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais J K Kikwete hakua chaguo la Watanzania au kipenzi cha Watanzania wakati wa kuchaguliwa kwake 2005 bali alikua chaguo la MAFISADI Kama angelikua Kipenzi au Mwenyesifa na mvuto wa kuongoza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
CHADEMA REACTION: Tendwa missed these 4 points By Frank Kimboy, THE CITIZEN Chadema yesterday accused the Registrar of Political Parties of being unfair in his handling of the...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
source: Tanzania Daima na Mwandishi wetu, Meatu MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema kamwe hafanyi jambo lolote kwa kukurupuka. Dk. Slaa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama ni kosa la kiufundi walilofanya CCM ni kumteua kada wao na mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Abdulrahman Kinana kuwa msemaji mkuu wa kampeni ya Kikwete. Post hiyo muhimu ilitakiwa ijazwe na mtu...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015 "Idadi ya wanafunzi wa shule za msingi imeongezeka kutoka milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…