Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,888
JK atau Dar na kusema migogoro kama ya Kenya haiwezi kuwachukulia muda viongozi wa Au na badala yake wanajikita katia kuleta maendeleo ya Afrika. Kauli hii kidogo imeniacha hoi labda ningoje waandishi wenyewe waandike kesho . Uwanja ulikuwa kama kule CCM Dodoma .Ngoma na nyimbo za kumpamba. Kama kawaida hapa maneno ni CCM pekee . Wana CCM hata BOT na mashfa mengine ya wizi nk hawayajui wao ni matarumbeta na maguo ya kijani na njano .JK hakuchukua maswali na alipomaliza kusema makofi yakawa mengi na nikashindwa kujua makofi ni ya ninin. Mimi sasa naondoa laptop yangu naenda kupanda daladala kwenda mtoni kijichi nyumbani kwangu na yeye na msafara wake hao wanaondoka sasa wanaenda zao Ikulu kupongeza kwa kuukwaa Urais wa AU kama vile utatumalizia kashfa na kutuletea maendeleo kwa kasi ambayo tunaikata .