Wana JF,
Mimi nimekuwa mwanachama hapa JF kwa miaka...lakini kwa kipindi hiki cha sasa mambo yamebadilika kwa kasi kiasi kwamba napitwa na mijadala mingi.
Naombeni tupeane mbinu za kuwa...
Hivi kweli Tanzania haina mzalendo yeyote mwenye sifa za kuwa mshauri wa viwanda mpaka tupate kutoka Japan? Au ndio kuomba fedha kwa njia mbadala? Nasikia kichefuchefu kwa hii tabia ya ombaomba...
ANALYSIS: Shifting from dollar use in oil exportation: End of the dollars reign?
THISDAY CORRESPONDENT
Dar es Salaam
SHIFTING sands are being noticed in a breadth of countries, led...
Kimya hiki kiwe na mshindo…
Chesi Mpilipili Machi 5, 2008
Raia Mwema
NAKIRI kufurahishwa na staili mpya ya utendaji kazi aliyokuja nayo Waziri wa zamani wa Wizara ya Viwanda...
Habari nilizozipata kupitia kingo za ukuta za kuaminika, viongozi waandamizi wa Habari Corporation wameanza kujiuzuru mmoja mmoja baada ya kushinikizwa na Rostam Aziz kumsafisha kupitia magazeti...
EXPERIMENTS on rainmaking technology in the country have stalled due to lack of funding, Minister of State in the Vice Presidents Office (Environment), Dr Batilda Buriani, said today. Dr Buriani...
Maskini, Tz yetu (si yao)!
Pamoja na kuyasikia hayo ya TICTS 'Tiscan' huko bandarini kama yalivyoelezwa na kamati ya bunge miundombinu pia kwenye gazeti la Thisday, KUNA NYINGINE NILIKUTANA...
Jamani wana Wanajf naombeni mnisaidie! Hivini kweli JK kaongeza Mke kutoka Kilimanjaro. Uvumi huu umeenea katika baadhi ya maeneo hapa nchini na unakwenda mbali hata kueleza kuwa aliyeolewa ni...
Hii inaweza kuwa ya mwaka. Mteja mmoja wa benji ya azania bancorp amejikuta akiibiwa sh milioni 10 katika mazingira ya kitapeli akiwa ndani ya benki;
bwana huyo anasema kuwa aliingia ndani akiwa...
Linapokuwa suala la dawa za ARV ambazo hutolewa bila malipo kwa walengwa, kinakuja kichekesho. Kwanza wafamasia wanasema kuna uwezekano mkubwa watumiaji wanatumia dawa hizi chini ya dozi...
Dar es Salaam, Tanzania is No 12 on The World's 25 Dirtiest Cities
Mercer Health and Sanitation Index Score: 40.4
The capital of this east African country continues to grow populationwise...
Wakati JK alipounda timu chini ya AG Mwanyika kuwachunguza waliochota mabilioni ya EPA, moja ya adidu za rejea za kamati hiyo ilikuwa ni kutoa taarifa mara kwa mara kupitia vyombo vya habari.
Ni...
2008-03-04 09:59:30
By Lydia Shekighenda and Correspondent Felister Peter
Chama Cha Mapinduzi Secretary General Yusuf Makamba has said the ongoing
peace talks between his ruling party and...
'Unrest' as Hanang Residents Rush for Abandoned Wheat Farms.
Arusha Times (Arusha)
1 March 2008
Posted to the web 2 March 2008
At least three houses have been burnt down and others...
Nimepokea taarifa kuwa Ofisi za Brela zilizopo Dar zimeungua moto. Wenye taarifa zaidi kuhusiana na suala hili tunaomba watujulishe pamoja na extent of damage.
Kwa utajiri huu wa vyanzo vya nishati ni kwa nini Tanesco bado wanatupatia shida??? Ni nini kifanyike ili tuzitumia vizuri hizi nishati kwa manufaa ya nchi???
Ukiisoma hii publication unaweza...
Tanzania imengia mkataba na Barrick ili kuiruhusu kampuni hiyo kuchimba dhahabu. Barrick imeingia mkataba huo kwa niaba ya shareholders wake wakiwemo watu binafsi na makampuni mbali mbali...
On friday, there will be a new CD released with several tracks for our members to enjoy for the weekend. If you are a journalist or somebody interested just to satisfy your curiosity, don't...
Baada ya ndugu Pinda kuingia madarakani ameamua kuwa na timu ya watu wake .Pinda na watu wake sasa yuko bize kupata majina ya wakuu wapya wa Mikoa na baadaye nadhani Wilaya. Habari ambazo...