TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
Eid Mubarak wanaharakati na wakereketwa wenzangu na marafiki zangu.Ndugu tumsifu Yesu Kristo na bwana asifiwe kwa wengine.Sasa leo nimeamka nikatoka kutafuta gazeti ila sikuona cha maana sana magazetini.Nikaamua kuwasha computer yangu nikakuta desktop nimeweka ile picha ya Dr.Slaa akiwa hospitali alipovunjika mkono.Hivi ilikuwaje hadi akateleza bafuni na kuvunjika mkono????Kuna taarifa yoyote rasmi ya afya ya Dr.Slaa???Tuwekane wazi kama kuna mwenye habari.Magazetini hawakuweka details kabisa.
Once again Eid Mubarak na karibuni Tandale.Mwafrika,Solo,Usiyeonekana,Acid,Genekai and all the brothers.
Mungu Ibariki Tanzania
Once again Eid Mubarak na karibuni Tandale.Mwafrika,Solo,Usiyeonekana,Acid,Genekai and all the brothers.
Mungu Ibariki Tanzania