Maneno ya JK, Dr Slaa na Prof Lipumba 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maneno ya JK, Dr Slaa na Prof Lipumba 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Sir R, Sep 12, 2010.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Zijue ahadi za wagombea nafasi ya Urais [FONT=&quot]
  Mgombea wa CCM Jakaya Kikwete, anaongoza kwa ahadi hizo baada ya kutoa ahadi kubwa zaidi 25 akifuatiwa na mgombea wa Chadema Dk Willbroad Slaa ambaye tayari metoa ahadi kubwa nane na Profesa Ibrahim Lipumba wa CUF aliyetoa ahadi saba hadi jana.

  Ahadi za Kikwete:
  1. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa.
  2. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi
  3. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi
  4. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba
  5. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma
  6. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda
  7. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa
  8. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu
  9. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino
  10. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba
  11. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
  12. Serikali kulisaidia vyama vya ushirika
  13. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu
  14. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani
  15. Kulinda muungano kwa nguvu zote
  16. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa
  17.Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa
  18.Kujenga bandari Kasanga mkoani Rukwa
  19.Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo
  20.Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira
  21.Kuzuia hatari za kisiwa cha Pangani kuzama
  22.Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini[/FONT]
  [FONT=&quot]23. Tatizo la maji kuwa historia Tanga[/FONT]
  [FONT=&quot]24. Walimu kuwa na laptop[/FONT]
  [FONT=&quot]25. Kigoma kuwa Dubai ya Afrika[/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot] Ahadi za Profesa Lipumba:
  1.Elimu ya bure kuanzia msingi hadi chuo kikuu
  2.Kubana matumizi kwa kupunguza ukubwa wa baraza la mawaziri
  3.Kuunda serikali shirikishi
  4.Kusimamia rasilimali
  5.Kuimarisha miundombinu
  6. Kusimamia na kuboresha afya
  7. Kuboresha kilimo, viwanda na uwekezaji

  Ahadi za Dk Slaa:
  1.Kujenga nchi isiyo na ufisadi
  2.Kufufua Tanganyika ili irejee mezani kujadili muungano na Zanzibar
  3.Kufufua uchumi wa nchi kwa kutumia rasilimali zilizopo
  4.Kukata asilimia 20 ya mshahara wa rais
  5.Kupunguza mishahara ya wabunge kwa asilimia 15
  6. Kuweka Mwenge wa Uhuru Jumba la Makumbusho
  7. Kutoa huduma bora za afya bure
  8. kufuta kodi ya vifaa vya
  [/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]My take[/FONT]
  [FONT=&quot]Ndiyo tunayoyahitaji haya?[/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
   
 2. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ....:confused2:
   
 3. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  umesahau hapo kwa Slaa. 9. Kila mtoto wa kitanzania lazima afike kidato cha sita kama elimu ya msingi. 10. Kuboresha michezo na utamaduni kwa kuendeleza makocha wazawa.
   
 4. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Imekuwaje mtoa thread amechuja inzi akameza ngamia.ahadi ya kwanza ni kubadili katiba,kufuta wakuu wa mikoa na wilaya, na kufumua mfumo wa elimu
   
Loading...