Dr Slaa Anaongoza, Tafiti and online polls | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa Anaongoza, Tafiti and online polls

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Malunde-Malundi, Sep 12, 2010.

 1. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeangalia uchaguzi huu tangu uanze, siku 20 zimeshakatika; bado siku kama 50 hivi kufika siku ya uchaguzi; tofauti na changuzi zingine; CCM mwaka huu wako defensive zaidi; tafiti zao za Redet, Synovate ambazo huwa zinawapa na kuwaongezea makelele, Mwaka huu Dr Slaa anaongoza sasa wanazichakachua ili walau walete kitu fulani waweze kuongeza kelele; tumeona online polls ambazo zote Kikwete aliongoza zote 2005; sasa ameachwa mbali ukianza na hii ya jamii; nenda kule ile ya Daily news (ilifungwa maana Dr Slaa alikuwa na 80%; kikwete 17% bila mabadiliko kwa muda hatimaye wakaitoa). Wagombea wao majimboni ni dalili kuwa upinzani wa mwaka huu una nguvu sana na ndio maana wamezuia kuhudhuria midahalo; Tumeshuhudia midahalo ambayo kwa siku za karibuni wapiga kura wanaziangalia sana; tumeshuhudia mipango ya wapinzani mwaka huu;ni mikali tofauti na kabla Dr Slaa hadi sasa hajafika mji wowote sijui akifika na huko itakuwaje;bado anachukua kura za wakulima na wafugaji kwanza kabla ya kurudi mijini; Kura zinatengeneza UK; inanipa imani hawawezi kutengeneza Radar ingine; hakutakuwa na kura za mchina mwaka huu; so yote hayo yananipa imani kubwa kabisa; watu kimya ila utashangaa sana mwaka huu; nimetembea vijiwe kadha watu wakimuona mtu wa CCM wanakaa kimya akiondoka wanasema; Mwenye kumdharau Dr Slaa labda hana akili; sasa hizo ni dalili za kumwadhibu mtu kimya kimya;maono yangu hayo
  Haya yote yananipa imani kuwa Dr Slaa ataweza kushinda kwa asilimia kama 53% na wengine atawabakizia; na hii ni kwa sababu tu watajaribu kumkashifu pamoja na kumpelekea ving'amuzi kama vya dodoma pamoja na kufanya umafia dakika za mwisho kama ule wa CUF-2005(Chadema watch out this 2010 maana bado wanatafuta pa kutokea) na hawatazipunguza kura hizo;Dr Slaa atashinda ila Bunge litakuwa chini ya CCM kwa asilimia kadhaa; coountry firts sio tatizo; hao hao watakimbizwa mchakamchaka mpaka watasema basi; na kazi itafanyika na baada ya hapo nchi itarudi ktk mstari wa Mwalimu; na huko aliko Mwalimu Nyerere atashangilia tena baada ya kuhuzunika karibu miaka 10.

  Mhimu: 1. Mawakala imara 2. Kuna uhuni wa kizushi utatengenezwa hapo mbeleni kumchafua zaidi Dr Slaa 3. Kuhamasishana zaidi jinsi muda unavyokwenda; watachanganyikiwa na kukubali kushindwa; Jeshi halina shida linajua umhimu wa haya mageuzi ya fikra yanayokuja; hicho ndiocho kizuri
   
 2. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana nawe kwa sehemu. Bado kuna sehemu kubwa za vijijini ambapo mbinu mwamko huu haujafika. Hapa ndipo nashauri wagombea wa ubunge waende maana Dr. Slaa hawezi kufika kila mahali.

  Polls zote zinaonyesha hali mbaya kwa CCM japo najua CCM wanazipuuza mpaka hapo zitakaposema CCm iko juu.
  Hata random survey mahali popote unapopita, inaonyesha hivyo. Kwenye shindani la Miss Tanzania (Star TV usiku huu), mmoja ameulizwa utamchagua nani kuwa Rais, akataja Kikwete akazomewa na ukumbi mzima!

  So the chemistry and pschology is positive on Dr. Slaa but the time, resources and mazoea viko positive on JK.
   
 3. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yap, ni ukweli uliowazi kwamba Slaa anaongoza wengine wanafuata, redt(Dr Bana) na synovate wako kimya wakati hapo kabla walikuwa kimbelembele kutuletea matokeo ya tafiti mfu, tunawasubiri
   
 4. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu hii nayo inaleta faraja
   
 5. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilibet kuwa atapata kabla; alipojibu hivyo nikawaambia hapa kuwa kakosa umiss kwa kutokuwa na kichwa cha uelewa; asingetaja jina la Kikwete alikuwa anashinda UMISS yule
   
 6. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Finally upinzani umeaanza kuthaminiwa! watu huishi kwa mazoea, nilimwuliza mke wangu last time: why would you vote for JK? akaniambia basi tu, chama changu! Kimekufanyia nini miaka 5 iliyopita? She was so sincere "Mwenzangu hakuna kitu ni njaa tupu" she replied. Wapo wengi wa namna hii lakini katika mazungumzo yenye kuleta sense tunaweza kuwageuza watu kama hawa, manake my wife she was finally able to see through and realize how fool she has been all this time!
  HIYO NI KURA MOJA YA UHAKIKA KWA Dr SLAA.
  TUENDELEE KUWALETA!
  I hope to see that video clip!
   
 7. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  ==========

  I am told maana sikuangalia mpaka mwisho, kuwa mrembo huyo amekosa U-miss kwa sababu hiyo licha ya kuwa alikuwa amefanya vizuri.
   
 8. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa sasa hivi anakanyaga vijijini tu; round ya pili huenda ataenda mikoani; kabla ya kuanza kukazia sehemu mhimu; kumbuka strategy hii ni ya Obama; MCAIN alishindwa bila kutegemea; kwa jinsi jamaa alivyokuwa anajua kutumia resources na kuzichora kwa ufasaha. nahisi Slaa mpaka sasa vijijini wanamjua sana
   
 9. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #9
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dah inapidi tumwombee sana jamani na tuwaombee watanzania wapate ufahamu mkubwa wa kutambua nuru ya ukombozi wa kweli italetwa kwa kufanya maamuzi magumu, na kuna generation shift la vijana ambao lina favour chadema lakini vile vile tunahitaji kura za wanawake ambao wengi watapigia CCM we need a new strategy ku win support kubwa ya akina mama.
   
 10. S

  Sylver Senior Member

  #10
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hAKUNA WAANDISHI WA KUHOJI HAYA KWA NINI HAO REDET WAKO KIMYA TOFAUTI NA NYUMA?
   
 11. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  REDET inaongozwa na mshirika mkuu wa JK anaitwa Prof Mkandara, hawawezi kutoa chochote hapo zaidi ya kujipanga kuwa busy na kutafuta namna ya kuchakachua kura ili waendelee kula nchi ya wanadanganyika kama kawaida yao.

  Mkandara ndo Makamu mkuu wa UDSM na ndiyo mwenye mkumpa JK ile slogan ya ari mpya, nguvu mpya nasasa ile ari zaidi, nguvu zaidi. Hapo tegemea tu ukimyaaaa hadi hapo atakapoonekaana JK kushinda ndo utawaona wanaanza kujitokeza kujaziliza, lakini mwaka huu ccm mambo siyo na nimagumu.
   
 12. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  In my opinion kuiondoa CCM madarakani ama kupata rais asiye wa CCM hapa Tanzania ni sawa na kupata Rais asiye mzungu Marekani. Inawezekana lakini unahitaji extreme factors na pia exceptional candidate kama Obama factor. Kwa sasa hatuna extreme factors (not yet to majority of voters) na wala exceptional candidate.....

  Just my opinion....
   
 13. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Try to vote for change or rather change you will boost the "extreme factor" and enjoy the Obama factor
   
 14. M

  Mantaleka Senior Member

  #14
  Sep 12, 2010
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli haufichiki, watu wamegarambuka hawajali cha chama wala ndugu yake chama, kuna maeneo ya vijijini kabisa wamesha tamka, kwa kuwa wamempata mgombea wao wa ubunge sahihi na ni wa CCM lakini kwa raisi watampigia Dr. Slaa hapo ndiyo kunahatari ya watu kufa kihoro. Tusubiri tuone ! tuombe uzima tu.
   
 15. 1

  1954 JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2010
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 4,296
  Likes Received: 2,185
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaaaaaaaah Eeeeeeeeeeeeeeeeeehaaaaaaaaaaaaah. Yaani Dk. Slaa aongoza kwenye kura za maoni. Sawa inawezekana ni kweli. Ndiyo anaongoza kwenye BLOGS ambako wachangiaji Tanzania hawazidi 500. Nenda vijijini uone kama kweli Slaa atapata kura. Ndiyo atapata Karatu, Arusha na kwa Wachaga kwingeneko Moshi. Lakini nikwambie Slaa haweZi kupata kura KagerA, mWANZA, sHINYANGA,mBEYA, zANZIBAR NA MAENEO MENGINE YOTE YA tANZANIA. yAANI JK atavunja rekodi ya kura katika uchaguZi huu. Atapata zaidi ya asilima 90. Kwanini asipate kura hizo wakati upinzani haujajipanga? Wapinzani wanapiga kelele tu, hawana kitu wala jipya. Ni kweli CCM ina matatizo. WanaCCM na wananchi wanajua hivyo. Lakini ni afdhali zimwi likujualo kuliko lile usilolijua. Watanzania ni watu makini. Hawawezi kuchagua chama ambacho mwelekeo wake ni kupendelea maeneo fulani (Arusha na Kilimanjaro) tu ya nchi. CHADEMA wabadilishe mbinu za uongozi. CHADEMA hii kamwe haitachukua nchi.
   
 16. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,401
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Your name tells all. Year 1954; it is now 2010; you're 56; but understand the majority of voters, and their lives affected more are under 40. So please don't estimate what they want; we are used to your theories old buddy; you like me, we have no more time; let us not be selfish; change is iminent!! Dr Slaa for President of URT
   
 17. P

  Paul S.S Verified User

  #17
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hebu tujikumbushe matokeo ya 2005, tulinganishe na pools za mitandao zinavyo maanisha Dr slaa anaweza kufanya wonders gani

  Matokeo
  Mgombea Chama Kura Asilimia Anna Senkoro PPT Maendeleo 18783 0.17%
  Augustine Mrema Tanzania Labour Party 668756 0.75 %
  Christopher Mtikila Democratic Party 31083 0.27%
  Emmanuel Makaidi National League for Democracy 21574 0.19%
  Freeman Mbowe Chama cha Demokrasia na Maendeleo 668756 5.8%
  Ibrahim Lipumba Chama cha Wananchi 1,327125 11.68%
  Jakaya Kikwete Chama Cha Mapinduzi 9,102,951 80.28%
  Dr.Sengondo Mvungi NCCR-Magaeuzi 55819 0.43%
  Prof. Leonard Shayo Demokrasia Makini 17070 0.15%
  Henry Kyara Sauti ya Umma 16414 0.14%
   
 18. Sakoyo

  Sakoyo Senior Member

  #18
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Damn it! huyo hana uelewa as hakujua kuwa kura ni SIRI yake!
   
 19. 1

  1954 JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2010
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 4,296
  Likes Received: 2,185
  Trophy Points: 280
  Your name tells all. Year 1954; it is now 2010; you're 56; but understand the majority of voters, and their lives affected more are under 40. So please don't estimate what they want; we are used to your theories old buddy; you like me, we have no more time; let us not be selfish; change is iminent!! Dr Slaa for President of URT

  Is change iminent? I am not quite sure. It is true the majority of Tanzanians want change, but not from better to worse. The opposition in Tanzania is not credible. They are selfish and childsh. The opposition is not organized. Simple and clear. Suala ni mabadiliko kweli lakini siyo mradi mabadiliko tu. Mimi kamwe siwezi kumpa kura Slaa. I am sure there are milions of Tanzanians who have the same 'mind' or 'opinion' as mine. It is a fact that there is a big problem within CCM and the whole leadership (in Tanzania) in general. Lakini what is the alternative? yaani alternative awe Dk Slaa na CHADEMA' Never on earth. Itabidi tuwe tayari kufungia wake zetu ndani, vinginevyo.... On a serious note we can't leave this country to the dogs. Tunahitaji mabadiliko kuongozwa na watu makini na wenye uchungu na nchi hii, wale wanaojali utu na ubinadamu na wasio wanafiki wala walafi. Hatutaki mabadiliko yaongozwe na watu waliovaa ngozi ya kondoo kumbe ni mambweha ambao wanachukulia matatizo ya sasa kama nyenzo ya kupata madaraka ili nao wafaidi kwa kuwa wana wivu dhidi ya wale wanaofaidi sasa.

  Baadhi yetu watanzania hatuko serious kabisa. Tunakazana tu kupiga kelele kwa kuwa tunawaona wengine wanafaidi kwa hiyo na sisi tunataka tufaidi kama wanavyofanya hao wanaofaidi. Tunachukulia sisi kama ajira. Dk. Slaa anachukulia siasa kama ajira kama ilivyo kwa baadhi ya viongozi wetu wengi wa sasa. Siasa, in essence, siyo suala la ajira na kufaidi. Siasa ni suala la uongozi na 'wito' ili kuwaongoza wengine. Sasa sisi Watanzania tumechukulia kuwa siasa ni ajira na ndiyo maana hundrends of us tunataka kuwania ubunge na udiwani ili tuweze 'kula' na siyo kutumikia nchi au wananchi. IT IS PITTY.......TANZANIA MY BELOVED COUNTRY. Tumebaki kuwa taifa la wapiga kelele la walalamikaji, kama ninavyofanya mimi kwa blog hii na wengine wengi wanaotaka mabadiliko lakini bila dhamira ya kweli.
   
 20. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #20
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hii ni 2010 Paulss. kumbuka popularity ya JK 2005 siyo ya 2010. subiri early november kupata matokeo
   
Loading...