CCM Inatudaganya kuleta maendeleo chini ya katiba ya sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Inatudaganya kuleta maendeleo chini ya katiba ya sasa

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Masauni, Sep 12, 2010.

 1. M

  Masauni JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo nimetumia muda mwingi sana kusoma Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Kwa kweli nimegundua Katiba yetu ni vituko na vichekesho kabisa. Kwa kweli tusitegemee kupata maendeleo na ustawi wa taifa letu chini ya katiba hii. CCM INATUDANGANYA INAPOSEMA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, KILIMO KWANZA NA N.K CHINI YA KATIBA YA SASA(ukipata muda soma utaelewa ninachosema) Ufisadi hautaweza kumalizwa hata kupunguzwa chini ya katiba hii. Na inanisikitisha sana kuona hata mashabiki wa CCM pengine hawaelewi umuhimu wa kubadilisha katiba.Ndio maana nadiliki kusema kabisa kuwa CCM inatudanganya watanzania,kusema itatuletea maisha bora wakati haitaki kabisa kuongelea mabadiliko ya katiba. Lakini Dr. Slaa ameliona hili na ndo maana akasema ili watanzania tupate maendeleo ya kweli tunahitaji kubadili katiba. CCM SUPPORTERS MNACHOTAFUTA CCM NI NINI?
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Wataelewa tu kaka we ngoja ....na Sao ccm wanajua kinachokuja 31 October
   
Loading...