Elections 2010 Kweli kuna maadili ya uchaguzi ama ni porojo kwa kuwa vyombo vya habari havitendi hak

Maluo

Member
Feb 29, 2008
58
3
Mimi inaniuma sana kuona namna vyombo vyetu vya habari vilivyo mahiri machachari katika kupotosha jamii kwa haswa katika ukweli wa hali halisi ya taifa letu kweli ukisoma magazeti yote yanazungumza maisha ya wanasiasa ni kweli nakubali ni moja ya maadili je watu kama Prof. Lipumba mwenye reputation ya hali ya juu kabisa katika serikali za nchi za africa kama Uganda, Ghana NK haandikwi katika magazeti wala hatuoni taarifa zake za kina kwenye TV na radio mpaka tusikilize kwa vyombo vya nje? Hali kadhalika ufisadi wa CCM wenye athari kubwa katika taifa letu hausemwi kabisa mahala popopte je na hili nalo hawa waandishi ni makanjanja ama wameaumua kula rushwa maisha yao binafsi yawe mazuri alafu watanzania walio wengi waendelee kula vumbi na makapi ama masalia leo mgombea wa CCM hata kama akidanganya umma wapo tayari kutoa katika vyombo vyote vya habari mimi hainingii akili bajeti ya serikali ilishapitishwa na bunge limevunjwa halafu mgomber anatangaza kuongeza mishahara na ninyi bila hata ya kuhoji mnaandika hivyo hivyo ili hali mkijua mihimili mitatu ya dola na invyofanya kazi ni kwanini mnakuwa wasaliti wa nchi yetu namna hii jamani ???

ina maana waandishi wote ninyi mpo katika hali nzuri ninyi pamoja na familia zenu ndiyo maana mtekeleze kwa namna hii najiuliza ni mwandishi gani asiyejua matatizo yetu watanzania awe anaishi mjini ama kijijini ama mnafanya kazi ya kufuata upepo tunategemea mtupatie taarifa sisi wanajamii na watanzania kwa ujumla wetu tuweze kupata mwangaza bora wa nani anafanya kwa masilahi ya nani mbona hivi jamani kweli magazeti yote ya tarehe 29/08/2010 haya yaliweza kuwa na habari moja tu na ukurasa wa nje unaofanana bila hata ya aibu kwa umma wa watanzania enyi waandishi acheni hizo mnaleta kichefuchefu tumia taaluma yako kwa matumizi sahihi na siyo kwa kumaliza unyonge wako wa kiuchumi na kuwafanya watanzania wengi tuwe maskini

na hili katika ufutiliaji wangu nimegundua ya kuwa hampaswi kuwa hivyo wahirir na waandishi itendeeni haki tanzania tutendeeni haki watanzania acheni kuchangia katika kushabikia maovu na uongozi mbovu kwa kuhofia mabadiliko

natamani mngeenda katika nchi zingine muone media zinavyofanya kazi
 
maadili yapo na wanahabari wanafuata,wewe unataka watunge uwongo? kumbuka wao wanatoa kile ambacho jamii yaani wewe na mimi tunatoa ,kama anatoa vaper waandike nini,watu wanakwenda kwenye majukwaa bila wake zao ,na wengine wanaonyesha mafirsty wake za watu,hapo media ifanyeje?first impression imedata upo hapo hoja zote finito"""!
 
you cant be serious, u must be joking!!
 
Wanahabari wanaovaa majaketi ya "chagua kikwete", na hakuna cha tume wala nini anayejaribu kustuka, unategemea rationale gani!
Money talks broda!
 
maadili yapo na wanahabari wanafuata,wewe unataka watunge uwongo? kumbuka wao wanatoa kile ambacho jamii yaani wewe na mimi tunatoa ,kama anatoa vaper waandike nini,watu wanakwenda kwenye majukwaa bila wake zao ,na wengine wanaonyesha mafirsty wake za watu,hapo media ifanyeje?first impression imedata upo hapo hoja zote finito"""!

nadhani ungelikuwa mfuatiliaji mzuri na ukawa msomaji mzuri wa taarifa mbali mbali haya uliyosema usingeyasema nakushauri uwe na utaratibu wa kufuatilia mambo kwani hili tulio wengi watanzania tunalikosa huwa tunapenda kudandia gari kwa mbele bila ya kujua speed ya gari kwa kuwa pamoja na kuwatetea mimi bado nasema wanachikifanya siyo sahihi kwa umma wa watanzania wanaitendea jamii ya wale wasiyo na uwezo wa kupata taarifa sahihi hata kwa kupitia tovuti mbali mbali hivyo wewe ndugu yangu kuwa muungwana kidogo tuwakosoe hawa ndugu zetu

asante
 
maadili yapo na wanahabari wanafuata,wewe unataka watunge uwongo? kumbuka wao wanatoa kile ambacho jamii yaani wewe na mimi tunatoa ,kama anatoa vaper waandike nini,watu wanakwenda kwenye majukwaa bila wake zao ,na wengine wanaonyesha mafirsty wake za watu,hapo media ifanyeje?first impression imedata upo hapo hoja zote finito"""!

Poole hufai kwenye nyumba ya wenye fikira za kujadili mada
 
hakuna maadi wala nini, mradi mkono uende kinywani!

Zipo media zilizo makini,na ambazo zinasikitisha.Mapungufu ya makusudi au ya kutojua yote ni mapungufu.Mazingila ya media zetu ni magumu kutekeleza kazi kisawasawa kulinganisha na media za nchi za Magharibi.Nani wa kuziboresha media zetu kama si mimi na wewe? Ni jukumu letu tufungue media zenye viwango kama hizo chache zilizopo,kulalamika tu bila kutoa altenative hakutusaidii.
 
Back
Top Bottom