Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dobo, Tafuteni kwanza taarifa za kueleweka na uhakika, wakulima sasa hivi wanalipwa shilingi 7,500/= kwa kilo moja ya kahawa na siyo 700/=kama anavyodai DUNI. Source: Coffee Board & Coffee...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiongozi wa Kampeni za CHADEMA Prof. Baregu amekanusha madai yaliyotolewa na CCM kupitia Meneja wa Kampeni za CCM Kinana na Katibu Mkuu wa CCM Makamba kuwa CHADEMA wametumia lugha ya matusi katika...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
kuna habari kuwa TBC wameweka hadharani makubaliano waliyoingia na vyama vya siasa ya kuzingatiwa kila wanaporusha matangazo ya mikutano ya hewani. binafsi sijafanikiwa kuyaona,kama kuna mwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tutageuza majengo yote ya Serikali Dodoma kuwa vyuo vikuu na vyuo vya ufundi kwa kuendelea na azma yetu ya kuachilia mbali mpango wa kuhamishia makao makuu kwenda Dodoma. Dodoma itakuwa ni jiji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwamba ufisadi na ubadhirifu katika serikali ya Kikwete unagharimu asilimia 25 ya pato la taifa. Na kwamba Kikwete anahusika moja kwa moja na: 1. IPTL 2. Bulyanhulu 3. Kagoda 4. EPA 5. Deep...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa, amelia akitoa machozi kutokana na hali ngumu inayowakabili wakazi wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Silaa tafadhali kutaka kwako kura kusikufanye ukatunyang"anya tonge wafanyakazi mdomoni. Tunazitaka sana hiyo nyongeza ya mshahara no matter imetangazwa wapi? we mbona umeahidi mengi? hizo ahadi...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
WHY DO WE STILL NEED JK IN POWER? I would ask watanzania wenzangu to think about what am going to talk about with reasoning. It is not easy for a president kutekeleza Vitu vyote ambavyo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi huyu Salma au Salima anahusika vipi kwenye kupiga kampeni? Je, ni kiongozi wa UWT? Je, gharama anazotumia zinatakiwa kujumuishwa kwenye zile za mgombea urais wa CCM? Hivi ni kwa nini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini mwenendo wa vyombo vya habari..hasa baada ya tukio la jumamosi......kwa wale ambao wameangalia kwa makini mtagundua kuwa .....televisheni ya TBC ...hawazipi tena...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilitegemea blog ya Friends of Slaa FOS iwe source of informations, News and pictures kwenye mikutano ya Slaa lakini sioni updates zozote zikiwekwa tofauti na blog ya Michuzi inayoweka habari za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Well.. bado tunaboresha teknolojia..
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa aliyeangalia Taarifa ya habari ya jana ya TBC! ya saa mbili na saa nne usiku, basi moja kwa moja atakubaliana na mimi kuwa TIDO MHANDO, ana kesi ya kujibu, Tido ana kesi kesi ya kujibhu ambayo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Patient costs for paediatric hospital admissions in Tanzania: a neglected burden? Priyanka Saksena*, Hugh Reyburn1,2, Boniface Njau2, Semkini Chonya2, Hilda Mbakilwa2 and Anne Mills1 1London...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika harakati zangu za kuwahamasisha watu kuchagua kwa busara katika uchaguzi ujao, nilikuwa naongea na mkazi mmoja wa Dar kuhusu suala hilo. Nilimueleza umuhimu wa kutochagua chama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukitazama chimbuko lake si alitoka huko huko kwenye CCM au chama cha wana Mapinduzi sasa what makes him tick ili leo tumchague? Isije ikawa yale yalee ya CCM kuwawekea CHADEMA trojan horse...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya aliyekuwa Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Karatu Dr. W. Slaa kuchukua fomu za kugombea urais wanachama wa CCM Wilaya ya Karatu walifurahi sana wakijua jimbo hili litarudi mikononi mwao hasa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Gazeti la majira toleo la leo ukurasa wa kwanza kuna picha ya Msajili wa Vyama vya Siasa Bwana John Tendwa akifundisha elimu ya uraia kwa wanafunzi wa darasa la Tano wa Shule ya Msingi ya Bunge...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dr Kikwete,Dr Getrude Rwakatare,Dr Mzindakaya,Dr Salim etc. Mandela na Tutu wana udocta wa heshima toka vyuo vikuu mbalimbali,lakini walikataa kutumia DR mbele ya majina yao. Sidhani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Is democracy, political competition under threat in Tanzania? Tuesday, 31 August 2010 15:56 Is democracy, political competition under threat in Tanzania? BY BERNARD JAMES AND BERNARD...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom