Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 607
Mwananchi imefanya kazi iliyonifurahisha. Imeweza kuorodhesha ahadi zilizokwishatolea na wagombea kiti cha uraisi. Kwenye ulingo ni JK akiwa na ahadi 22, akifuatiwa na Slaa 8 na Lipumba 7.
Soma Wagombea urais wazidi kushindana kutoa ahadi
Soma Wagombea urais wazidi kushindana kutoa ahadi