JK anafuata maagizo ya Dr. Slaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK anafuata maagizo ya Dr. Slaa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Luteni, Sep 12, 2010.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kufuatilia na kubaini asilimia kubwa ya kila analoagiza Dr. Slaa linatekelezwa na rais, hii inamaanisha nini kuwa Slaa anaona mbele zaidi ya Kikwete?

  Nikianza na suala la kupelekwa mahakamani kwa baadhi ya wezi wa EPA, BOT nk, nikija suala la kurudishwa bungeni kwa sheria ya gharama ya uchaguzi pia JK kutekeleza suala la mishahara ya wafanyakazi na mengine, nagundua JK anatekeleza maagizo ya Dr. Slaa.

  "Juzi tulipopita Morogoro, tuliahidi kushughulia tatizo la Mtibwa, leo Rais Kikwete ameingilia kati na kumaliza tatizo hilo.

  "Niliagiza amfukuze aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT), marehemu Dk. Daud Balalli, akamfukuza, nikaagiza amfikishe mahakamani Mramba na wenzake, akafanya hivyo, kwa hiyo sitashangaa leo akiamua kumaliza suala la DECI, sasa nasema atupishe wenyewe, tuongoze nchi," alisema Dk. Slaa.

  Je Kikwete kwa kufuata maagizo mengi ya Slaa huoni JK anaonekana kama waziri tu na si kiongozi wa nchi, kwanini asimwachie Slaa mwenyewe aongoze nchi?
   
 2. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ama kwa hakika akae pembeni
   
 3. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  ????????????????????????????????????
   
 4. h

  hagonga Senior Member

  #4
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inaelekea, bila upinzani makini serikali ingeendelea kulala usingizi!!! natamani safari hii ccm iwe chama cha uinzani!
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
 6. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Ni kweli uyasemayo.

  ila nafikiri ni vigumu ku justfy kuwa JK anafuata maagizo ya Slaa
   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Muwamba ngoma mkuu, sikuzote huvutia kwake
   
 8. h

  hagonga Senior Member

  #8
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Sijaja kuharibu, maana Slaa alikuwa mbunge wa jimbo langu la karatu kwa miaka 15, namfahamu vizuri na namsapoti kuwa Raisi. Naamini pia mrithi wake Natse atakitetea kiti chake.
   
Loading...