Mgombea diwani(ccm) kata ya makongolosi,mamlaka ya mji mdogo makongolosi-chunya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea diwani(ccm) kata ya makongolosi,mamlaka ya mji mdogo makongolosi-chunya.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by RubenM, Sep 2, 2010.

 1. RubenM

  RubenM Senior Member

  #1
  Sep 2, 2010
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapa kuna mambo jamani hivi mtu kweli,tangu aingie madarakani hajawahi hata mara moja kutembelea baadhi ya sekta muhimu zilizopo ndani ya kata yake mpaka anaondoka madarakani halafu leo anagombea anajinadi eti mimi oooh ntafanya hivi mara vile.. tutafika kweli jamani? anafaa huyu jamani? ila angalia hawa watu sasa CCM,wanafanya siasa mahali pa kupotezea muda,kumbe ni mahali muhimu sana katika jamii hii ya watu maskini sana wasiojiweza hata kusafiri kwenda mkwajuni au chunya (hospitali) kupata matibabu ya ngazi ya juu kidogo,yaani kulazwa tu,kwani hapo makongolosi hata kituo cha afya hakuna ingawa ni mchakato uliopo tangu 2007. TUTAFIKA?
   
Loading...