Elections 2010 Michango ya wana JF kwa Dr. Slaa

Pilato2006

Senior Member
Aug 25, 2008
124
35
nina 100,000/= kwa ajili ya kampeni nataka kumpa Rais wetu mtarajiwa, dr. W. Slaa kwa ajili ya kampeni. Nilijaribu ku PM kwake lakini hadi sasa hakuna jibu huenda yupo busy na mambo ya kampeni , naomba mwenye Ac yake au wapi michango inapokelewa anifahamishe
 
heeee.....jamani msaidieni huyu bwana mwanademocrasia na mpenda maendeleo.............
 
Back
Top Bottom