CCM kutotekeleza ilani yake ina sababu za msingi,...!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kutotekeleza ilani yake ina sababu za msingi,...!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kisoda2, Sep 2, 2010.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mgombea kiti ca uris kwa ticketi ya CCM JK siku ya ufunguzi wa kampeni pale jangwani baada ya kupata nafuu kwa kile kilichomtokea alirudi jukwaani alizungumza haya tena kwa kujiamini.
  Nanukulu:
  "Tumetekeleza mambo mengi katika ilani yetu ya uchaguzi ya 2005 na kuna mengine hatukuyatekeleza na tunazo sababu za msingi kutoyatekeleza".

  Hapa kwenye red ndo panapo nipa shida.
  Ukiyatafakari hayo maneno/kauli unajukuta na maswali lukuki;
  Hivi sababu hizi tena za msingi ni zipi hasa?
  Watz walimwelewaje kwa kauli kama hii?

  Ufafanuzi unahitajika hasa kutoka kwa makada wa CCM(MS,) na wengineo ili tupate pa kuanzia kuwanyenga 31 Oct.
   
Loading...