Prof. Baregu Ajibu Mapigo kwa Kinana na Makamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Baregu Ajibu Mapigo kwa Kinana na Makamba

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Superman, Aug 31, 2010.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Kiongozi wa Kampeni za CHADEMA Prof. Baregu amekanusha madai yaliyotolewa na CCM kupitia Meneja wa Kampeni za CCM Kinana na Katibu Mkuu wa CCM Makamba kuwa CHADEMA wametumia lugha ya matusi katika kuzindua Kampeni zao.


  Akiongea na ITV katika kipindi cha Taarifa ya Habari leo saa 2.00 Usiku; Prof. Baregu aliweka wazi kuwa:
  1. Lugha iliyotumika katika Ufunguzi wa Kampeni za Chadema ni ya Uwazi Zaidi na si Matusi kama inavyodaiwa.
  2. CCM watofautishe kati ya Ukweli na Kutukana
  3. Tatizo lao kubwa nia Kashfa ya EPA
  4. Asema suala la EPA hata Mahakamani hazijaonysha Sura kamili
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Ngoma inogile . . .
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Natamani Makamba awe wa kwanza kujibu hoja za Baregu. Manake kasema viongozi wa CHADEMA akili zao ndogo. Sasa najiuliza, kati ya anayewataja wezi wa fedha za wananchi na anayesema wenzake hawana akili ni nani anayetukana hapo? Japo sijaona namna alivyolielezea hilo Prof. Baregu, lakini naamini atakuwa amelisema kwa ustaarabu mkubwa kama ilivyo kawaida ya CHADEMA, na kwa kupayuka payuka kama ambavyo katibu mkuu wa CCM hufanya.
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  CCM walidhani mambo ni rahisi...hachaguliwi rais wa nchi kwa kuuza sura hapa.....
   
 5. M

  Mutu JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  warete warete warete mwaka huu joto litapatikana
   
 6. D

  Domisianus Senior Member

  #6
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusi ni kitu ambacho ni subjective and its not objective at all, na kama umeisha wahi kuchunguza,mara nying mtu akiambiwa ukweli huwa anasema ametukanwa,kitu ambacho kwa karne ya sasa hakina mantiki yoyote, ukiharibu, lazima uambiwe kuwa umeharibu na ukiiba lazima uambiwe kuwa umeiba na siyo vinginevyo, huo ndo ukweli na uwazi.Kama unaona kuwa wewe umetunkwa, tuna chombo kinachotafasri sheri, Mahakama, nenda huko ukasake haki yako na siyo kuanza kulalama na kutafuta huruma za wananchi mnaowaibia kila siku, nyie mnaendelea kunenepa wao wanendelea kukondeana.
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,899
  Likes Received: 12,037
  Trophy Points: 280
  Prof. Baregu, Kinana na Makamba kati yao nani ana akili ndogo.
   
 8. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #8
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  jamani mmepata habari ya masha kuwa NEC INMETENGUA USHINDI WAKE WA MEZANI KAMA INAVYOSOMEKA KWENYE WALL YA MASHA KWENYE FACE BOOK

  Tume ya Uchaguzi Taifa umetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea! Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September!

  KAZI IPO WA NDUGU
   
 9. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #9
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  jamani mmepata habari ya masha kuwa NEC INMETENGUA USHINDI WAKE WA MEZANI KAMA INAVYOSOMEKA KWENYE WALL YA MASHA KWENYE FACE BOOK

  Tume ya Uchaguzi Taifa umetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea! Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September!

  KAZI IPO WA NDUGU
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Weka kama Breaking news mazee!
   
 11. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Prof.baregu na makamba? Kichuguu na mlima
   
 12. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Eti gazeti la habari leo limeandika hii story, upuuzi mtupu.Kuna ndugu alisema jana kuwa kuna magazeti yameandaliwa kuimaliza chadema, lakini kwanza yajenge credibility kwa wasomaji kuwa hayko biased ili yakija kuibomoa chadema watu waamini.Chadema be careful an habari leo, waambieni wananchi kuwa hilo gazeti lina ajenda ya siri
   
 13. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  SUPERMAN unaonekana uko karibu na timu ya Kampeni ya CHADEMA, waamnbie kuwa Govy machinery inatumika kuwapotosha wananchi kuwa CHADEMA kwa kuweka hilo pingamizi inataka mishahar hiyo isitishwe. Hivyo watow ufafanuzi vizuri CHADEMA inapainga na nini kilikosewa. Wasoiwaachie waandishi wa habari bila ya kuwalisha vilivyo na makos yaliyofanyika kwa kuwa hata waandishi wengi hawajui separation of powers between the three organs State. Legisalature na Judiciary
   
 14. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mavi na tuyaite mavi, hayabadiriki uhalisia wake ukiyaita kinyesi au jina jingine. Mtu anayechukua mali ya mwenzake bila ridhaa ya mtu huyo ni MWIZI, na kwa maana hiyo KIKWETE, LOWASA, Rostam AZIZ, na wengine wote waliohusika kuchukua mali zetu kupitia akaunti ya EPA ni WEZI
   
 15. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2010
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tujaribu kuratibu na JF kama watapatikana Waandishi Independent na tuwape vitendea kazi waambatane na JK na WS na IL ili tupate habari ambazo hazijachakachuliwa.
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Leo asubuhi kwenye taarifa ya habari ya Clouds fm nimesikia sehemu tu ya speach ya mzee mzima BAREGU.
  Ni nzuri sana, kama kuna mtu ana interview nzima atushirikishe kwa kuirusha hapa jamvini.
  Nawakilisha
   
 17. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,899
  Likes Received: 12,037
  Trophy Points: 280
  Natamani kipengere hiki nimpatie Makamba mkononi mimi mwenyewe.
   
 18. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :confused2:Changanya na zako
   
 19. K

  Kishazi JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Nahisi Makamba anafaa kuwa mkuu wa wilaya zaidi ya ubunge & ukatibu mkuu wa CCM. Anajua zaidi kukimbizana na wamachinga zaidi juu ya biashara zao kule kariakoo na manzese. Few weeks ago, alikataa barua ya Uhamiaji kwa kudai kuwa ingawa wanamtambua Bashe kama raia, yeye anamtambua kama sio mtanzania. Mtu mwenye akili timamu kama hajaandaliwa na wazee namna ya kupangua maswali, huwa anaahirisha kuongea na media and not kupayuka bila kutumia akili. Leo anakuja kujiona ana IQ kushinda watu wenye akili zao kama Prof. Baregu, msomi anayeaminika na wenye akili ila aliyekataliwa na wasio na akili kama serikali ya CCM kwa sababu anawaambia ukweli. Anaenda kujilinganisha na Dr. Slaa wakati mwenzie anaongea kwa facts while yeye anaongea kama mswahili wa barazani as kupayuka huko ndiko kunakompa kula yeye na wanae (ambao wanapewa vyeo vikubwa kupitia mgongo wa kupayuka huko).

  Wana JF, sidhani kama kuna haja ya kupoteza virutubisho vya mwili kuwa-compare Makamba na Prof. Baregu; tofauti ni kubwa sana kwanza kielimu na pili hata confidence ya kuongea ukweli.
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Makamba na Prof ni sawa na......................... nsije kamatwa bure ISP izi
   
Loading...