Tokea uhuru kuna barabara mpya zimejengwa katika nchi hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tokea uhuru kuna barabara mpya zimejengwa katika nchi hii?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SIPENDI, Sep 2, 2010.

 1. S

  SIPENDI Member

  #1
  Sep 2, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimeona mdau kaja na post inasema serikali imefanikiwa kwenye sekta ya miundombinu kwa kutaja kwamba zimejengwa barabara mpya kadhaa...hivi ni barabara gani mpya ambayo unaifahamu imejengwa karibu ambayo haikuwepo. Kwani niachokijua ni kwamba barabara zilikuwepo ila hazikuwa tu na lami... Naomba kujuzwa tafadhali...
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  kwa kweli hakuna, wakoloni ndio walioplan na kutoboa barabara zote
   
 3. R

  Ramos JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hata mi sifahamu ambayo imejengwa mpya..
   
Loading...