Ukiweka Pembeni Ushabiki wa Vyama, Dr. Slaa tunamkubali - MAKADA WA CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiweka Pembeni Ushabiki wa Vyama, Dr. Slaa tunamkubali - MAKADA WA CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ELNIN0, Sep 1, 2010.

 1. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Wakubwa,

  Hi ni kauli inazungumzwa sana hasa na MAKADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI mitaani na kauli hii hii hii ilizungumzwa pia na mtoto wa hayati baba wa taifa kwamba ni kweli ukiweka pembeni ushabiki wa hivi vyama vya kisiasa Dr. Slaa ni mchapakazi, anafanya tafiti na ana upeo mkubwa wa kuelewa mambo na ni mzalendo numberi one, anafaa asilimia mia kuwa Rais wa Tanzania.

  Hata leo hii ukiweza kupitisha kura ya siri kwa wabunge waliomaliza muda wao, asilimia mia wanamkubali Dr Slaa kuwa ni kiongozi shupavu, na anafaa kuwa Rais wa nchi, tatizo ni hayo maji ya bendera waliyokwisha kunywa wanaona kukiacha chama ni kukisaliti na ni dhambi kubwa, lakini wakumbuke hata baba wa taifa alishasema CCM si baba yangu wala mama yangu.
   
 2. M

  Mangi Meli Member

  #2
  Sep 1, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :confused2: kuna ukweli hapo!
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ni kweli hata mimi nimekutana na makada wengi tu wa sisi M wakikubali kwamba Dr Slaa ni mwenyewe na wote wanadai kwamba watatoa kura zao kwa Dr Slaa.
  Nimeamini unachosema ni kweli tupu.
   
 4. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,506
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  bora nikalale saa hizi tv zote ni habari za kikwete
  star tv wanachambua hotuba yake
  channel ten wanaonesha akihutubia jeshi
  tbc ndo yale yale
  itv ndo usiseme
   
 5. A

  Audax JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ahahahahaaa-this is serious. Kampeni kwa kwenda mbele
   
 6. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ah! Jamaa kwa kujipa moyo! Haya sisi yetu macho tu.
   
 7. A

  August JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  watu wengi wa ccm wanaweza kuwapigia wabunge wao sehemu flani na kura za ulaisi kwa cuf au chadema /nccr nk, kwa sababu chama twawala kina ndumila kuwili wengi. naona mwishowe watataka kuja na style kupiga kura ukiwa umesimama nyuma ya mgombea wako
   
 8. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Ntagazwa: Hapana. Unajua ukitaka kulinganisha CHADEMA na CCM,CCM wana mtandao mkubwa tu. Bahati mbaya wanauvuruga kwa kutokukemea maovu ambayo dhahiri yanaonekana na ni kwa sababu watu wetu wanakabiliwa na umasikini wa kipato na hali kwa maana ya weledi wa nini kinapaswa kufanyika na viongozi wetu kwao…viongozi wetu wajibu wao ni upi na haki yangu mimi raia ni nini na vile vile na mimi nina wajibu kwa jamii ili twende pamoja.

  Huwezi kulinganisha mtandao wa CCM na chama kingine chochote cha siasa nchini na kwanza ukumbuke kuwa mpaka leo CCM ni chama dola.

  Katika suala hili la kwenda kugombea Muhambwe, CHADEMA wana mchango mkubwa sana tutakavyokwenda kumshinda mgombea wa CCM.

  Wanajua sifa zake, simjui kwa jina wala sitaki kutaja jina lake lakini moja ya sifa zake wanazopaswa kujua ni katika kura zile za ovyo ovyo za maoni…na mengineyo. Alipata alama nzuri tu kwenye chama, hilo wanalijua, kama hawalijui basi ni mfumo umefunika lakini si kwamba ukweli huo haupo.

  Kwamba mgombea wao ametumia haki yake ya kikatiba kwenda mahakamani amekashifiwa na padre katika ibada lakini katika kesi ile kamchukua padre kamjumuisha mwalimu wa msikiti na waumini wengine inajulikana kesi ile imekwisha Mahakama Kuu lakini nadhani utaratibu wa rufani unaendelea siwezi kwenda zaidi.

  Lakini nina hakika wakiondoka kwenye mfumo wanamjua mgombea wao na ni ukweli kwamba ahadi moja ya CCM inasema nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa manufaa ya wote, hii ni ahadi ya CCM na enzi zile wakati wetu ulikuwa unatoa ahadi kwa kiapo.

  CCM katika Jimbo la Muhambwe katika karne ya 21 ya Sayansi na Teknolojia, wamemsimamisha mgombea ambaye hakumaliza hata elimu ya msingi ameishia darasa la sita, hiyo ni kweli. Sasa kama ni dharau kwa wapiga kura wa Muhambwe sijui.

  KWENYE KIJANI ARCADO NTAGAZWA(MGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CHADEMA) AKIELEZEA HALI HALISI YA CCM NA JINSI ANAVYOIJUA..........kwenye red AKIMWELEZEA MGOMBEA ALIYEPITISHWA NA CCM.......HUYO PADRI ALITAMKA KWENYE IBADA YA PASAKA KUWA FULANI AACHE UJAMBAZI,KUUA ALBINO NA UHALIFU MWINGINE(ORGANIZED CRIMES)......KWANI UJAMBAZI ULIKUWA UNATISHA NA HUYU ANAJULIKANA SI KWA SABABU YA KUGOMBEA UBUNGE ILA HATA KABLA YA HAPO.......SASA NDO AMETEULIWA.....!.
   
 9. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kuna mwana jamvi mmoja alishasema humu kuwa Mwl. Nyerere angekuwa hai leo angemfanyia campaign Dr. Slaa. Hakuna kitu ambacho anaongelea ambacho kinaenda tofauti na mahitaji ya maendeleo ya taifa letu. J
   
 10. M

  Mutu JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hata waliotumwa humu (makada wa CCM) WANAJUA SLAA ni makini
   
 11. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Kwanini watu wanamkubali Dr.Slaa,

  Kuwa tayari na ni mzalendo,kujitolea kwa uwajibikaji, Umakinifu,kwa kuhakikisha na kufuatilia mahitaji yote ya wanachi yanatimika mfano mzuri tu ukienda jimbo lake hata wana CCM wenyewe wanamkubali sishangazwi na wengi wa wana CCM kwingine ndani ya nchi na walioko nje kuto kumkubali Dr.Slaa.
   
 12. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  So, what do you mean? mimi umeniacha pembeni maana na mimi sijakusoma wewe. Labda kwa sababu na mimi elimu yangu ni kama ya huyo mgombea wa sisi M?
   
 13. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Signature yako iwe "DR SLAA FOR PRESIDENCY!"

  Pamoja mkuu.
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,380
  Likes Received: 3,141
  Trophy Points: 280
  Kumbukeni pesa za epa bado zinazunguka msidhani ziliishatumika 2005 zote kwa hiyo shida itaendelea kubaki pale pale kuwa ccm wanatumia ufinyu wa elimu ya uraia ambayo hawataki kuitoa kwa watz kuwarubuni kwa pilau na pombe za kienyeji na kuhubiri kuwa upinzani utaleta vita.........................dr.slaa ni chaguo la watz wa kizazi hiki na hawako tayari kuendelea kusubiri mtu makini kwa miaka mingine ya baadfaye watz wanaona aliyepatikana huyu mzalendo wa kweli na wa vitendo ndiye mwafalka hasa kwa wakati mwafaka na kwa kizazi mwafaka na kwa matatizo mwafaka
   
Loading...