Elections 2010 Ni nani wa kuyapinga haya pia?

Mwafrika

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,490
226
Kwamba ufisadi na ubadhirifu katika serikali ya Kikwete unagharimu asilimia 25 ya pato la taifa.
Na kwamba Kikwete anahusika moja kwa moja na:

1. IPTL
2. Bulyanhulu
3. Kagoda
4. EPA
5. Deep Green
6. Buzwagi
7. Richmond
8. Ufujaji wa kutisha wa mapesa ya nchi kupitia bajeti ya ikulu
9. Wizi wa pesa tasilimu unaofanyika kila mara Kikwete akienda safari na nje.

nk nk nk

Hizi pesa zote zingeweza kusaidia mambo mengi sana Tanzania. Hata Kikwete akijisifia kuendeleza mipango ya maendeleo iliyoanzishwa (na kutengewa bajeti) na serikali ya Mkapa, bado madai yake ya kufanya vitu hayafikii ubadhirifu mkubwa kabisa uliofanyika katika (na kwa niaba ya) serikali yake.
 
Na wakati huo,

haya yakiendelea


ambulace+ya+kijiji..jpg
 
Wakati huo huo, mama kikwete anatumia mamilioni kusafirishwa kwa ndege nchi nzima:

2241536655_540d01c2cf.jpg
 
Mzee mtu yeyote mwenye akili timamu akimpigia Kikwete kura ni sawa na ule mfano wa Mwalimu Nyerere alioutoa kwamba mtu anakulaghai unampatia almasi zako halali na yeye anakupatia chupa zisizo na thamani na unatoka pale ukichekelea na kufurahi. Kikwete tumeambiwa ndiye aliyekwiba billioni zetu pale BOT wakati anagombea 2005 halafu amefuja mali zetu kwa anasa zake na familia yake halafu bado tunamshangilia na tunaridhika kwa mabango na kanga za elfu moja.. What a shame!
 
Hawa wamenitoa machozi

hapa+wapi+wadau.jpg

Mkuu Mwafrika pole sana inaumiza na inasikitisha sana miaka 50 baada ya uhuru, bado kuna watoto wanasomea katika mazingira haya. Bado huduma za jamii katika anga zote mijini hadi vijijini ni za kubabaisha.
Ni watanzania wabinafsi tu wanaofikiri kinyumenyume, wasioona kitu zaidi ya matumbo yao ndo wanaweza kuona hii hali ni sawa, na kuishabikia na kuitetea kwa nguvu zao zote maana akili hawana.
Tunahitaji mabadiliko, tunahitaji viongozi wanaojua kwa nini hii hali ya umasikini inaendelea kwa kasi pamoja na kwamba nchi ina raslimali nyingi. Tatizo letu ni viongozi, wamechoka kiakiri, hawana tena fikra za kumkomboa mtanzania zaidi ya kukomboa matumbo yao kwa wizi. Dawa ni kuwakataa hawa wezi ili Tanzania yenye neema kwa kila mtu ipatikane! Tukiamua tunaweza kuleta mabadiliko, kila mtu kwa nafasi yake afikirie na achukue hatua! Tuweke pembeni ushabiki wa vyama, tuchague watu wanaofaa!!
 
Mzee mtu yeyote mwenye akili timamu akimpigia Kikwete kura ni sawa na ule mfano wa Mwalimu Nyerere alioutoa kwamba mtu anakulaghai unampatia almasi zako halali na yeye anakupatia chupa zisizo na thamani na unatoka pale ukichekelea na kufurahi. Kikwete tumeambiwa ndiye aliyekwiba billioni zetu pale BOT wakati anagombea 2005 halafu amefuja mali zetu kwa anasa zake na familia yake halafu bado tunamshangilia na tunaridhika kwa mabango na kanga za elfu moja.. What a shame!

Kuna watu wanafurahia ufisadi mkuu kwa vile unawanufaisha wao binafsi
 
Wasifu wa Kikwete!


  1. Mwoga
  2. Hana Busara
  3. Mwenye Hasira
  4. Mtu wa Visasi
  5. Mropokaji
  6. Asiyejua Kutunza Siri (Toka akiwa Jeshini)
  7. Mpenda Anasa
  8. Mwenye Maamuzi ya Haraka Mepesi Pasi kuyapima ilhali yale ya Muhimu na Maendeleo yakisuasua
  9. Mfujaji (Asiyejua kuzuia matumizi yasiyo ya lazima)
Onezeeni mengine....
 
Na wakati huo huo Kikwete akitumia gari la kifahari kabisa kugawa pipi kwa watoto:

8D6U9682+kikwete+na+pipi.JPG
 
Mtoto wa mkulima (Pinda) akajaribu kumweleza Kikwete kuwa hali mbaya, jamaa kama kawaida yake akasema..... niacheni mtoto wa KIkwere nitanue, umeona suti yangu leo?

1.JPG
 
Na mkibisha na mimi nyie mbayu mbayu nyie, nitafunguliaa mbwa wewew ... heeeee

 
na wewe mwafrika wewe ukileta za kuleta, nakuchapa ngumi za mapua nyambafu wewe:

8D6U2582-Rais_AU3.jpg
 
Huyu anaishi karibu na mgodi mkubwa kabisa wa dhahabu Tanzania ambao Tanzania inapata asilimia 1.5 tu ya faida.

Tanzania-192-setting-550W.jpg
 
Back
Top Bottom