Watimuliwa kazi kwa kushabikia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watimuliwa kazi kwa kushabikia CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ramos, Sep 2, 2010.

 1. R

  Ramos JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Gazeti la tz daima leo lina taarifa kuwa wafanyakazi wawili wa mgodi wa Buzwagi wametimuliwa kazi kwa kujihusisha na siasa na kuishabikia CHADEMA.

  Inaonekana hawa jamaa wanajua kabisa kuwa CHADEMA ikiingia madarakani basi ubovu wa mkataba wao utawatokea puani...
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,244
  Trophy Points: 280
  Very sad.
  CCM bwana ni chama cha madhulumati na wadhalimu wakubwa
   
 3. R

  Ramos JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii ndiyo iliyosababisha hata watu wengi ambao ni waajiriwa wa serikali, sekta binafsi na hata waliojiajiri kuogopa kujitolea mwaka huu kugombea au kukampenia wagombea wa upinzani kwani wanakuwa na hofu na hatma yao baada ya kujitangaza...
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye red mkuu hebu nitafsirie :)

  madhulumati kwa maana ya madhulumu wanawake au?
   
Loading...