Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumekuwa na ubishani mitaani kama kweli ahadi ya CHADEMA ya kutoa huduma za jamii kama elimu bure inawezekana.Hilo linawezekama bila ya shida yoyote kupinga ni uvivu wa kufikiri kwa baadhi yetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana-JF: Katika haya nitakayowaeleza nimeshindwa kupata neno sahihi mbadala wa ‘nongwa' lakini pengine labda ningetumia ‘kiburi' au ‘jeuri' ya kuonyesha hali ambayo kusema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CUF yaomba fedha za kampeni kwa mafisadi? Kuna tetesi kuwa Mbunge wa kuteuliwa wa Chama Cha Wananchi (CUF), Ismail Jussa, wiki hii amekutana na mtuhumiwa mkubwa wa ufisadi hapa Tanzania, Yusuf...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi wana jimii kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwaa la uchaguzi 2010 nimeona nianze kwa kuwakumbusha vijana wenzangu zile kadi siyo za kufungulia account za benki tu lakini 31 october...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana Niliona kwenye TBC1 wakati Viongozi wa Chadema Wakihojiwa ( Prof. Baregu na Mabere Marando). Katika uchambuzi Prof. Baregu aligusia point moja kuu sana ambayo nadhani inachangia sana kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
MGOMBEA ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chadema, Joseph Mbilinyi amewaahidi wananchi wa Mbeya kuwa endapo atachaguliwa kuwa mbunge atahakikisha serikali inaweka bandari ya nchi kavu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya masha kumdhalilisha kikwete kuhusu uraia wa bashe, spika sita naye ameongeza zaidi.amedai kuwa dr.slaa ni saizi yake,wawe na mdahalo na wamuache kikwete afanye kampeni tu. Tunajua...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
CCM wavamia mkutano wa Dk Slaa Friday, 17 September 2010 07:31 0diggsdigg Katibu mkuu wa CCM Mr Yusuf Makamba Tumaini Msowoya, Iringa na Boniface Meena, Bariadi WAFUASI wa CCM jana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kuushauri uongozi wa CHADEMA watenge kama shilingi milioni 12 na kuweka matangazo yasiozidi dakika moja kwenye redio angalau tatu. Matangazo hayo kwa kila redio yatangazwe angalau mara nne...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau ule ushirika wa Zitto na Kafulila katika kampeni uko vipi huko Kigoma??? Coz ilivuma sana katika media then, but naona imekuwa kimya sana. Mwenye taarifa na atujuze kinachoendelea eti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
swali ili limekwisha jibiwa na mwasisi wa Taifa letu Mwalimu Jk Nyelele akihutubia mkoani Mbeya. lkn kwa kuongezea, mtu yule anayeumizwa na umaskini na maendeleo duni ya watanzania, yule...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika mchakato huu wa uchaguzi, mgombe wa chama cha mapinduzi amesikika akitoa ahadi kemkem, kule atawapa meli, wengine maji ya kudumu na kadhalika. Kinachonishangaza ni kwamba utekelezaji wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Na Ezekiel Kamwaga - Imechapwa Ilani ya CCM inadanganya 15 September 2010 ILANI ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2010 imesheheni takwimu zinazokinzana, imegundulika. Katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikia minong'ono ya chini chini ambayo sasa imeanza kupazwa sauti na wagombea wa CCM kuwa ahadi za mgombea urais wa Chadema, Dr W Slaa, ni za uongo na hazitekelezeki. Kuna watu ambao...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa hisani ya Tanzania Daima: Kikwete amsambaratisha Mrema • Avunja ngome yake, azoa wanachama na Tamali Vullu, Moshi MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ingelikua nimeambiwa, wala singediriki kuyasema haya, lakini kumbe ni uongo? Kwanza, JK ametamka jana kwenye kampeni mkoani Kilimanjaro kwamba Serikali imefanikiwa kuwapeleka watumishi 47 wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau tafadhali naomba nielimishwe!kwenye uchaguzi mwaka huu nimeona mengi mapya ambayo hayakuwepo miaka ya nyuma.....mfano utakuta baadhi ya viongozi wakubwa wa wilaya na mikoa wanawapokea vema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wa CHADEMA ambao wanasubiri kuapishwa.... a)Matilda komu b)Halima Mdee C)John Mnyika d)zitto Kabwe e)Ndessa pesa f)Tindu Lissu Mwita Mwikabe Mboye........na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tufike mahali watanzania tujifunze nakuelewa kati ya nyaraka za siri za serikali, na nyaraka za siri za uwovu wa serikali ambazo kila mtanzania anapaswa kuzijuwa na hakuna sheria inayo ilinda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Zamani, mababu zetu kabla ya kwenda kuposa, walikuwa wanafanya uchunguzi wa binti, familia yake na tabia zake. cha msingi walikuwa wanaangalia kama kwao huko kuna matatizo ya wizi wizi ,umbeya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…