mwenye akili na apime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwenye akili na apime

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by chakubanga, Sep 16, 2010.

 1. c

  chakubanga Member

  #1
  Sep 16, 2010
  Joined: Dec 27, 2006
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zamani, mababu zetu kabla ya kwenda kuposa, walikuwa wanafanya uchunguzi wa binti, familia yake na tabia zake. cha msingi walikuwa wanaangalia kama kwao huko kuna matatizo ya wizi wizi ,umbeya, gubu , uwezo wa kuzaa nkZ Wakiridhika posa inapelekwa na taratibu zingine zinafuatilia.

  Nimekuwa nikifuatilia mazungmzo kadha wa kadha kuhusu uchaguzi wa mwaka huu.
  Watu wamekuwa wakipayuka payuka kama vuvuzela. mabishano yao na majibu yake yamekuwa sasa kuhusu watu na sio sera, kuhusu ubinafsi kuliko utaifa n.k.

  hii inaonyesha jinsi kama taifa tulivyofilisika. Tunaona mshindi ni yule ambaye atapiga kelele sana au atatumia mapesa mengi.

  Nafikiri kwa wenye akili uchaguzi huu sio tu nani anashinda ila ni mkabala la taifa letu kwenda karne zijazo .Watanzania tukumbuke tunataka toa posa, tuchunguze , tuangalie na tuchague kwa hekima. Hatutapata mtakatifu ila tupate kiongozi ambaye atalipa taifa tumaini,mabadiliko, kuwezesha na kuboresha mifumo ya uongozi kwa ajili ya wote.

  Ili kuliangalia suala la nani anafaa kutuongoza, tunahitaji mgombea anayejua mambo haya matatu,
  • kwanza: anayajua matatizo ya Tanzania ya leo vizuri?
  • Pili; Sera za chama zake zinatatatua matatizo haya in a SMART(specific, measurable, achiavable, Realistic and Timely) way na binafsi ana uono (vision) ya uongozi?
  • Tatu : anaaminika ? amefanya vitu huku nyuma vinanvyotufanya tumwamini ? au naye vuvuzela tu ?


  my 2 pence
   
 2. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2010
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Chakubanga, Karibu
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
 4. c

  chakubanga Member

  #4
  Sep 16, 2010
  Joined: Dec 27, 2006
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Fools talk, cowards are silent, wise men listen."
  — Carlos Ruiz Zafón (The Shadow of the Wind)
   
 5. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Karibu Chakubanga.

  Naona umejizatiti na mkakati wa kufunda tu kama kungwi ....au ni ID ya nyongeza!!
   
 6. D

  Dopas JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Asante kwa post 'dogo' karibu kwenye JF. Umeanza vizuri, Big Up!
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280

  Tushajuwa juwa ueolekeo wako ... Kwani mimi nina akili alafu nishapima .. Tuimia ID yako ya kawaida tu ya siku zote:becky:
   
Loading...