Elections 2010 Zitto na Kafulila

MwanaCBE

JF-Expert Member
Sep 23, 2009
1,771
804
Wadau ule ushirika wa Zitto na Kafulila katika kampeni uko vipi huko Kigoma??? Coz ilivuma sana katika media then, but naona imekuwa kimya sana. Mwenye taarifa na atujuze kinachoendelea eti...
 
Nadhani CUF wamemwekea mwiba njiani hivyo inabidi abaki jimboni kulinda heshima ya chama
 
Wadau ule ushirika wa Zitto na Kafulila katika kampeni uko vipi huko Kigoma??? Coz ilivuma sana katika media then, but naona imekuwa kimya sana. Mwenye taarifa na atujuze kinachoendelea eti...

Jamani mbona yupo? Pamoja na matatizo yake yuko amepiga kambi Kigoma
 
Attachments

  • ZITTO_Kigoma.jpg
    ZITTO_Kigoma.jpg
    86.9 KB · Views: 44
  • Zitto_Kigoma_2.jpg
    Zitto_Kigoma_2.jpg
    38.8 KB · Views: 55
Back
Top Bottom