Viongozi wa serikali wanafanya hili kwa utashi wao au ni sehemu ya uongozi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa serikali wanafanya hili kwa utashi wao au ni sehemu ya uongozi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by faithful, Sep 17, 2010.

 1. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wadau tafadhali naomba nielimishwe!kwenye uchaguzi mwaka huu nimeona mengi mapya ambayo hayakuwepo miaka ya nyuma.....mfano utakuta baadhi ya viongozi wakubwa wa wilaya na mikoa wanawapokea vema wagombea mbalimbali wa uraisi bila ubaguzi wa vyama vyao na wengine wanahudhuria mikutano yao na kukaa hightable....wengine hadi wanapewa nafasi za kusalimia wananchi jukwaani....na wapo wanaowakaribisha wagombea hawa maofisini huku wakiwa na sare zao....JE NI SEHEMU YAO YA KAZI AU NI ITASHI WAO TU?..JE VIONGOZI HAWA WANATENDA LILILO SAHIHI KUSHIRIKI KWENYE KAMPENI KWA NJIA HII?
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Faith, unamaanisha jinsi vile CCM wanavyokodisha malori kubeba wahudhuria mikutano na kuwavika watoto wa shule magwanda ya chama??!
  [​IMG]

  Hapo kwenye blue, Ndg. Kinana ameshasema ni kwamba "wanajipendekeza" wao wenyewe:
  Kutoka Nipashe.
   
 3. W

  WildCard JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hili la kuwatumia watoto wa shule( wenyewe wanawaita chipukizi) linakera zaidi. Ni kinyume kabisa na KATIBA ya JMT ambayo inaeleza wazi UMRI wa mtu kushiriki SIASA kwa maana ya kupiga kura kuchagua au kuchaguliwa. Asasi za kijamii kama LHRC wanafaa kuliangalia hili kwa kuwa sio jambo jema mtu kuzaliwa na kukua akiwa tayari ni mwanachama wa chama cha siasa kama yalivyo masuala ya DINI, KABILA.
   
Loading...