Nani anafaa kuwa raia wa tz

Nani anafaa kuwa raia wa tz

lyimogodfrey

New Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
1
Reaction score
0
swali ili limekwisha jibiwa na mwasisi wa Taifa letu Mwalimu Jk Nyelele akihutubia mkoani Mbeya. lkn kwa kuongezea, mtu yule anayeumizwa na umaskini na maendeleo duni ya watanzania, yule anayetambua uwepo wa gap kubwa kati ya maskini na tajiri wa kinzania. muhimum zaidi ni yule anayeamini hakuna sababu za msingi kwa watanzania kuendelea kuwa maskini. y Rwanda waweze sisi tushindwe? eti ukubwa wa nchi?.
 
Back
Top Bottom