Huduma za jamii bure ni ndoto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huduma za jamii bure ni ndoto?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mpalu, Sep 17, 2010.

 1. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,490
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Kumekuwa na ubishani mitaani kama kweli ahadi ya CHADEMA ya kutoa huduma za jamii kama elimu bure inawezekana.Hilo linawezekama bila ya shida yoyote kupinga ni uvivu wa kufikiri kwa baadhi yetu ambao hatutaki kuumiza vichwa vyetu.Nchi kama Libya hulipa mishahara watu maskini na hata kipindi cha Karume wa ukweli(ABEID) watu maskini walikuwa wanajengewa nyumba bure.

  NI AIBU KWA NCHI KAMA TANZANIA YENYE RASIMALI NYINGI kushindwa kutoa huduma hizo bure na kuendelea kuwa kati ya nchi maskini sana duniani,afrika na afrika mashariki kwa ujumla.

  Tatizo letu ni mipango mibovu ya watawala(CCM BILA UBISHI) ambao tunawalea tangu UHURU mpaka sasa hadi kujiona wana hatimiliki ya kutawala nchi yetu.JAPAN walikiondoa chama kilichokaa madarakani kwa miaka 50 pamoja na kuwaletea maendeleo lukuki kwa sababu tu wasijione nchi ni yao kama ccm ambao wanapinga watu kupewa huduma za jamii bure bila sababu za msingi wakati kipindi cha tanu iliwezekana.


  SASA EWE MTANZANIA WAKATI WA KUJIKOMBOA NA MAKUCHA YA CCM NI HUU USIFANYE KOSA.
   
Loading...