Wabunge wanaosubiri kuapishwa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wanaosubiri kuapishwa...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by PapoKwaPapo, Sep 16, 2010.

 1. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hawa ni baadhi tu ya wabunge wa CHADEMA ambao wanasubiri kuapishwa....

  a)Matilda komu
  b)Halima Mdee
  C)John Mnyika
  d)zitto Kabwe
  e)Ndessa pesa
  f)Tindu Lissu
  Mwita Mwikabe
  Mboye........na wengine wengu ahhhhh bila kumsahau mwana SUGU..
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwani uchaguzi umeshafanyika? Lini? Wameshinda kwa kura ngapi? Vipi kuhusu wapinzani wao?:confused2:
   
 3. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160

  Statistics? Je wakishinda kwa kura nyingi na wasimamizi wa vituo wasipowatangaza?
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Yatakua maumivu ya kichwa kama miaka ileeeeeeeeeeeee
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  I have a dream.....let's get ready for a little suprise......letsutilise the only forest reserve in dar......the rest will be history..nani anataka Kuwa sniper? Professional sniper...meeeen!
   
 6. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mwaka hu lazima tushikane mashati.... ubungo 2005 Mnyika alishinda ila akachezewa rafu, dis tym lazima kieleweka watake wasitake..
  wakimwaga mboga si twamwaga ugali.....
  Haki haiombwi, inatafutwa......MAALIMU SEIF
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280

  hapo atlist Mnyika!! atajitahidi number 2 hao wengine sahau... hehe na huyu mwana bongo flava soon utasikia karudi nyumbani kwa baba "ccm"

   
 8. m

  mtiwadawa Member

  #8
  Sep 17, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmh,SUGU!
  Ukilinganisha kwa uelewa na uwezo wa kupambanua mambo(weledi) kati ya Profesa Maji Marefu na Sugu,NADHANI PROFESA ANA UWEZO ZAIDI.
  kwa SUGU MMECHEMSHA!
   
 9. mujusi

  mujusi JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 237
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwani wameshatangazwa na Tume ya taifa ya Uchaguzi? jamani tuwe serious katika mabo haya huu mzahazaha ndio unaotuletea matatizo haya tuliyo nayo. watu wataacha kwenda kupiga kura kwa kujua tayari wabunge wameshapatikana.
   
Loading...