CCM wawapandikizia watanzania adui "HOFU" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wawapandikizia watanzania adui "HOFU"

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by payuka, Sep 17, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jana Niliona kwenye TBC1 wakati Viongozi wa Chadema Wakihojiwa ( Prof. Baregu na Mabere Marando).
  Katika uchambuzi Prof. Baregu aligusia point moja kuu sana ambayo nadhani inachangia sana kwa watanzania kutotumia uhuru wao kidemokrasia katika kuhoji na Kufanya maamuzi mbalimbali dhidi ya serikali iliyoko madarakani. Sababu yenyewe ni HOFU ambayo CCM wanajitahidi sana kuwapandikizia watu.

  Utasikia habari nyingi mno za kuogofya watu!!!
  1. mara ooh mkichagua wapinzani wataleta vita............
  2. Haiwezekani kutoa elimu wala afya bure.....Nchi zingine wamewezaje?
  Duh wamejitahidi kuwafanya watu hadi wasomi waamini ya kwamba bila ssim hakuna anaeweza kubadili hali ya maisha ya mtanzania, habari ambayo haina ukweli!
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Ometoa hoja njema kabisha.
  Tunaomba usuli wake na take yako mkuu.
  mwaga utirio hapa tulete data
   
 3. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wajua wakitoa afya bure na elimu bure hela wanazotumia kwa anasa hazitakuwepo
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Samweli sitta anasema kwamba hiyo elimu ya bure aliyoisoma yeye na wenzake haiwezekani kutolewa
  Sijui hawa wazee wanazeekaje kweli?
   
 5. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mimi nilikerwa na hotuba ya JK aliyoitoa kule Kilimanjaro, aliwatia hofu wananchi kwa kusema eti yale wayasemayo wapinzani kuwa serikali imeiba hiki na kile ni maneno ya uchochezi na kuwa watu wasiwachague maana watasababisha vita na hilo likitokea wao (wapinzani) na familia zao watakimbilia Ulaya! Jamani hivi kweli hata baada ya miaka 18 ya mfumo wa siasa za ushindani, mgombea "makini" kama JK bado anatumia propaganda "mfu" kama hizi. Akawaambia eti wakija wawaambie kuwa " mchezo wenu ni mauti kwetu", sasa nikajiuliza hivi kati ya CCm na wapinzani ni nani afanyae mchezo na maisha ya watanzania? hivi ni nani hasa mchochezi kati ya mwizi na mtu akushituae kuwa unaibiwa?
   
 6. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kama Mama Salma kikwete pekee anagharamiwa na ccm kwa ziara zisizo na tija kwa watanzania, JK Mwenyewe amegeuka kuwa Vasco Da gama, Dili feki ndo usiseme....unadhani Taifa litapiga hatua yeyote kimaendeleo?
   
 7. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tuondokane na hofu jamani........mbona nchi nyingine wanaweza?? waliobahatika kupata exposure ya nje wanatambua hilo................kikwete mwenyewe analitambua hilo..........anajionea mwenyewe tofauti iliyopo huko nje anakokwenda kustarehe na nchi yake Tanzania!!!!
   
 8. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni Dhahiri,
  Sintoshangaa kuona CCM ikianguka mikononi mwa Jakaya KikweteNi balaa jingine hili.
  Ameshawaambia wachaga kule moshi kwa mzee wa kiraracha na mwenzake mwanzilishi wa CHADEMA kuwa wao ndio watakaosababisha vita hapa Tanzania NA WAO WATAKIMBILIA ULAYA.Sasa yeye sijui atakuwa wapi.sijui.
  Haya maneno nitayachukua kama yalivyo na kuyaelezea kwa rais ajaye ifikapo tarehe 31.
   
 9. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mimi nawe tunakazi kubwa na nzito sana mkuu, kuuelimisha uma wa Tanzania ya kwamba wafanye maamuzi yao bila hofu!!! na its obvious Wenye hofu kubwa kuliko huenda hata kushinda wananchi ni SERIKALI YA CCM (NAWEKA MSISITIZO HAPA).
  KWANI SIKU NCHI HII IKISHIKWA NA MZALENDO MWENYE UCHUNGU NA NIA YA KWELI YA KUWAKOMBOA WATANZANIA, HIZI FAMILIA ZILIZOKO MADARAKANI SIJUI KAMA ZITAONEKANA NCHINI. NA HII NDO SIRI YA KWA NINI CCM INATAKA KUENDELEA KUSHIKA MADARAKA KWA JINSI YEYOTE IWEZEKANAVYO.
  TUTAONA MWISHO WAKE!!!!!!
   
 10. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Ni kweli anachokisema sita kwamba serikali ya mafisadi na wabadhirifu ya ccm ambayo sita ni miongoni mwao haiwezi kutoa elimu hadi kidato cha sita bure. Lakini kwa serikali makini na yenye kuweka maslahi ya taifa mbele kwa kuziba mianya ya wizi mkubwa inawezekana.
  HII BURE SIJUI INACHUKULIWA JE. KIMSINGI HAIWI BURE KWANI MLIPA KODI AMBAYO NDIO INAYOTENGENEZA HIYO MIUNDOMBINU YA KUWESHA NI RAIA WENYEWE. HIVYO WANANUFAIKA KWA KUYASHIRIKI MATUNDA YA RASILIMALI NA KODI ZAO WENYEWE.
   
 11. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Very interesting... nashangaa kuona tactics wanazotumia CCM ni kama zile za Republicans in 2008 na badala ya kuwasaidia GoP ili wadhooofisha sana.
  Ila mi naamini watz hasa wachaga hawawezi kudanganywa kijinga hivyo, kwani kumbuka Nyerere walimfanyia attempt on his life hukohuko... so ni watu jasiri na wenye uelewa mkubwa. Ila akiendelea kuongea JK upuuzi huu .. Chadema has to call him out by calling a spade a spade!
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kilembwe ata nami nilimuona Jana kwa TV JK anasema wapinzani wataleta fujo./vita ie mauti.
  Sasa raisi wa nchi anaongea hayo jamani na Tendwa anakaa kimya ata kumkemea si anataka vuruga amani ya nchi huyu.
  Sijui ndo ile dozi ilipanda kichwani,unajua sikutegemea JK aongee yale seriuosly
   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  zama za ccm kuishiwa zilishawadia na sasa zimeshakuwepo wanachosubiri ni maziko tu........kwa nini sasa kikwete anawadanganya wafadhiri kuwa amesaidia kukua kwa demokrasia wakati anahubiri kutakuwa na vita..............mbona tayari ccm wametuingiza kwenye vita ya makusudi kabisa ya sisi watz kugombana na yeye kikwete kwa kushirikiana na mafisadi?............kikwete ni mtu wa kwanza kuleta au kuchochea mifarakano na vita kwa kuweka kwenye ilani yake mambo ya mahakama ya kadhi amabyao ni mambo ya kiislamu................anatutakia nini hasa.......kwa nini watz tumekuwa waongeaji bila kutenda lakini?
  tubadilike na tuendelee kusema hatudanganyiki tena miaka 50.
   
 14. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,491
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Unajua vitu vingine vinachekesha sana.Mbona saizi hakuna vita?Kama upinzani ukiingia madarakani halafu vita vikitokea basi hawa ccm watakuwa wanahusika moja kwa moja maana wao ndio watakuwa nje ya serikali na ndio watakuwa wapinzani.Eti watakimbilia Ulaya mkwere inaonekana anakuabudu sana ulaya kama anavyoabudu na_ihii.......
   
 15. Sabasaba

  Sabasaba Member

  #15
  Sep 17, 2010
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 88
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  Jamani hivi Samuel Sitta amesharudisha pesa ya mkopo wa elimu ya juu, wagombea watuonyeshe kama wameshaanza kulipa, hii itasaidia kucreate awareness ya umuhimu wa elimu ya bure kwa sekondari schools, wagombea watueleze kama wameshalipa hii mikopo ya elimu ya juu
   
 16. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280


  1. JF nadhani tunasahau kwamba vitisho, na hofu ni mbinu HALALI za kampeni.....anachofanya JK nikutuweka sisi hapa JF tukichambua hofu na vitisho vyake, kadhalika kuiweka Chadema kwenye defensive mode na hivyo kumomonyoa nguvu ya kampeni....siasa ziko kama bao, mwenzako anakufanya "utakate" wakati yeye "anakula"....kampen strategist wa Chadema yaonyesha bado mchanga katika mchezo huu.
   
 17. M

  Mkandara Verified User

  #17
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wananchi hawajasahau yaliyotokea Pemba mwaka 2000, haikuwa CUF bali CCM ilowaua wananchi. Sasa sielewi JK alikuwa na maana kwamba CCM watakifanya kile walichokifanya Pemba kutumia nguvu ya dola kuwamaliza wapinzani siku ya uchaguzi hadi wahakikishe wanakimbia nchi!.
   
Loading...