Elections 2010 Kutoka Mwanza: Dr. Slaa awatakia Watanzania wote Heri ya Eid

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
Kwa niaba yangu binafsi, mgombea mwenza, timu nzima ya uongozi wa Chadema na Chama chetu tunawatakia heri ya Siku Kuu ya Eid El Fitr ndugu zetu Waislamu pote Tanzania wanaposherehekea kumalizika kwa mfungu wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Tunawatakieni nyote furaha, amani, na upendo katika siku hii tukufu ya kumalizika kwa mfungo huu. Eid Mubarak!!
 
Back
Top Bottom