Dr. Slaa 23:
1 Kisha Dr. Slaa akauambia umati wa Watanzania pamoja na wafuasi wake wa CHADEMA pale Jangwani,
2 "CCM na Mafisadi wana mamlaka ya kufafanua Sheria za Watawala na Ilani zao...
Hivi majuzi nilikuwa katika safari ya kuelekea katika vijjiji fulani, kukatokea malumbano ambayo yalinisisimua sana. Basi lilikuwa limejaa sana, konda 'anapanga' abiria. Abiria hawakufurahi lakini...
Waungwana wa JF mbona tangu Dr. Slaa atangazwe kugombea Urais kupitia Chadema, Tafiti zote zilizokuwa zinafaunywa na wataalam wa REDET hazipo tena?. Ni Matokeo hayapikiki tena, wameona Ngoma Nzito?
Wana-JF:
Gazeti moja liitwalo Tahmini leo lina stori kuu ukurasa wa mbele kwamba marais wastahafu -- Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa wamekacha kumkampenia JK, kwa sababu wanaogopa kuumbuliwa...
First Lady Thandiwe Banda
Two women from Chinsali and Isoka have sued First Lady Thandiwe Banda over her money-dishing trips to various districts in the country without any Parliamentary...
Nikiwa mtanzania mwenye haki yakikatiba napinga kwa nguvu zote uteuzi wa Kikwete kuliongoza taifa hili kwa miaka mitano tena. Najuwa wengi mtasema sijielewi ila hata katiba haimkubali tena...
Jana nilikuwa napata kilaji mahala fulani, akapita omba omba fulani. Alivyokuja kwangu nikamwambia mimi hela hata nikikupa haitasaidia, cha maana October 31 usiipigie kura CCM. Nikamwambia...
From CCM yazuia JK kushiriki mdahalo
Comments
#46 CAROLINE 2010-09-12 19:57
Doctor wa miujiza amekataa kuingia kwenye mdahalo kwani majini ya Muuguzi wake Shehe Yahya Hussein hayajakamilisha...
Leonard Mubale na Richard Katunka, Kigoma
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Joseph Simbakalia na Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, John Mongela...
Atishiwa kuuawa kwa kutoinadi CCM Moshi Mjini
Mgombea aliyeshinda kura za maoni katika jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kisha kuenguliwa na Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec)...
Kivuko cha MV Pangani kikivusha wananchi wa Pangani leo. Kivuko hiki ni mojawapo ya ahadi zilizowekwa na Chama cha Mapinduzi 2005, ya kuwaletea wananchi wa Pangani kivuko cha uhakika:
Wadau, najaribu kufuatilia coverage ya mgombea urais wa CUF, Prof Lipumba...swali ni kwamba, je, hastahili kuonyeshwa au kundikwa kweye magazeti kama wenzake?? Haki sawa kwenye vyombo vya habari...
Katika kipindi cha miaka miwili: 2005 na 2006; JK aliahidi (mengine zaidi ya mara moja) kama ifuatavyo:Good governance (accountability, corruption); electricity, education, water, infrastructure...
Kuna usemi wa wahenga usemao, dalili za Mvua ni mawingu, namwingine husema, sikio lakufa halisikii dawa. Nisingependa kuandika .
Maisha ni zawadi toka kwa Mungu. Ujana ulitesa maana kipindi kile...
Kutokana na uzoefu tulioona katika uchaguzi wa 2005 na chaguzi ndogo zilizopita ni wazi kuwa CCM hushinda kwa uwizi, ujanjajanja wa mabox ya kura au kula njama na mawakala uchwala wenye njaa kali...
Source: https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/71623-slaa-akata-anga-morogoro.html
Slaa akata anga Morogoro
Akiwa Mikumi, alimlipua mwenyekiti wa kamati ya kampeni za CCM...
Na Mussa Juma
GAVANA wa kwanza wa Benki Kuu Tanzania(BoT) na aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika utawala wa Baba wa taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Edwin Mtei amemtahadharisha Rais Jakaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.