Kama Mkulu Alianguka Jangwani Kwenye Debate Itakuwaje?

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
wakuu habari za Sikukuu?jamani nimekaa nikafikiria kuna sababu kubwa sana ndani ya SiSi Njemu kukataa Debate kwa Mkulu wao na hii ni shinikizo la makamba(The Fataki),Kikwete alianguka Jangwani baada ya kusutwa na uongo alodanganya Wananchi na ahadi lukuki za Kifisadi,Swali langu,Je,kama face to face na the UFICHUA UFISADI Dakta Slaa ndani ya Debate Mkulu si ATAPOTEZA kabisa network?hamuoni kuwa makamba yu halali kuepusha balaa ndani LIVE bin LUNINGA mkulu akibanwa na PRESHA kushuka na kunyanyuka?
Yangu maoni tu

Lekagi Gete Mwanawane Agucha..
 
Atakimbia kabisa maana kwenda kuonana na Obama tu alikuwa anasoma madesa.hahaaaaaaa kwenye mdahalo si nod itakuwa balaaa
 
haha, wanaogopa jamaa huo ubavu wa papo kwa hapo hamna, kuanguka ni swala tu la unajimu maana uganga wa kienyeji kwenye siasa naona ni kama part and their parcel.
 
wakuu habari za Sikukuu?jamani nimekaa nikafikiria kuna sababu kubwa sana ndani ya SiSi Njemu kukataa Debate kwa Mkulu wao na hii ni shinikizo la makamba(The Fataki),Kikwete alianguka Jangwani baada ya kusutwa na uongo alodanganya Wananchi na ahadi lukuki za Kifisadi,Swali langu,Je,kama face to face na the UFICHUA UFISADI Dakta Slaa ndani ya Debate Mkulu si ATAPOTEZA kabisa network?hamuoni kuwa makamba yu halali kuepusha balaa ndani LIVE bin LUNINGA mkulu akibanwa na PRESHA kushuka na kunyanyuka?
Yangu maoni tu

Lekagi Gete Mwanawane Agucha..

Ndio maana ameogopa debate ... itakuwa patashika nguo kuchanika
 
that was then and this is now brother ! watu hawadanganyiki tena
lakini Sylver we unadhani chadema wamefanya nini kuwashawishi wa TZ wawape kura, unadhani kutaja mapungufu ya CCm pekeyake inatosha?
je wao kama chama wamefanya nini kuonyesha umakini wao
 
Back
Top Bottom