Serikali inaendeshwa na nani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,883
2,763
Ningependa kufahamu kipindi kama hiki cha uchaguzi mkuu serikali inakuwa wapi na majukumu ya rais ni yapi na mipaka yake ni ipi. Nadhani wengi tungependa kufahamu hili. Nimeuliza hivi maana leo nimeona msafara barabara ya nyerere ila sikujua ni wa nani. Wakati rais anagombea mhula mwingine huwa bado anauwa na madaraka kamili kama rais?
 
anayeendesha selikali kipindi hiki ni raisi ila kwa kukmbukumbu yangu kikwete alivyokuwa mpanda alimkaimisha mh mizengo peter kayanza pinda sehemu ya mamlaka yake, ila kikatiba sifahamu
 
Nakumbuka siku anaenda kurudisha fomu za urais alifika pale lumumba kwa gari ya ikulu na kuondoka kwa gari binafsi baada ya kukabidhi fomu zake.
 
huu mjadala ulishajadiliwa siku nyingi sana hapa, na mwanakijiji alitoa ushahidi kwa mjibu wa katiba ya nchi rais anaachia ngazi pale rais anapoapishwa. kwa hiyo hakuna kipindi ambacho nchi inakuwa haina rais. (angalia thread iliyoelezea kwanini mawaziri bado wako katika maofisi wakati bunge lilishavunjwa, you will see)
 
nitacheki nayo, chief
 
Back
Top Bottom