Dalili ya ushindi wa kushindo kwa chadema imekwishaonekana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dalili ya ushindi wa kushindo kwa chadema imekwishaonekana

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ejchao7, Sep 8, 2010.

 1. e

  ejchao7 Member

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  dalili hizi ni tosha kuwa chadema sasa imeshakamata nchi

  dalili ya kwanza

  ratiba ya kampeni ya ccm imebadilishwa ambapo mgombea urais sasa hatapumzika

  dalili ya pil
  ccm wameshaonesha kushindwa kujibu hoja za msingi na hivyo wameanza kutumia hoja za udaku

  dalili ya tatu

  ccm wameshindwa kupata sababu ya kumshitaki dr slaa na wanatumia watu wengine na magazeti yasiyo na status

  dalili ya nne

  hoja wanazotoa ccm ni za kigorilla ambao anayemvamia slaa hajitokezi wazi na hata akiulizwa anajaribu kukana

  dalili ya tano

  kampeni zinazoendelea zinaonyesha ccm wamekumbwa na zomeazomea hata kwenye maeneo wasiyokuwa wametarajia

  dalili ya sita

  vyombo vya habari vikuu kama televisheni na baadhi pia ya magazeti yanaogopa kuweka kampeni za chadema wazi wazi na hata wakiweka wanajaribu kuficha hoja zenye nguvu. Tbc kukatisha matangazo yake kuficha baadhi ya hoja zenye nguvu ni mfano mmojawapo

  dalili ya saba

  hadi sasa chadema ndio chama pekee ambapo wananchi wanachanga fedha zao japo sio wanachama

  dalili ya nane

  angalia polls zilizoendeshwa na dailynews na walipoona dr slaa anagongesha chart kwa ushindi wa kishindo walizitoa. Hapa jf utaona mwenyewe polls zipo wazi na matokea yapo wazi.

  dalili ya tisa

  hakuna ahadi zozote zenye mvuto toka ccm, na wananchi wameshashtuka kuwa wanafanywa mabwege

  dalili ya kumi

  uwezo wa kiuongozi wa dr slaa hakuna hata mmoja aliyeweza kuupinga, na ndio maana wanaleta hoja za magazeti ya udaku, na kuacha mambo ya msingi


  nini maana ya hizi dalili

  ccm watakuwa wanafikiri jinsi ya kuiba kura baada ya kukosa mvuto kwa umma, na hili ni hatari kwa taifa, kama wataendeleza tabia hii ya kitoto, isiyoonyesha kuheshimu demokrasia.

   
 2. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Asante tumekusikia.
   
 3. k

  kiparah JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Anhaaaaaa!
   
 4. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Acha kuchefua watu hapa kwa vijisababu visivyo na fact, hivi unawafahamu watanzania vizuri? watanzania waleo ndiyo wale wanaosema ooh nimelelewa na CCM hivi mtu kama huyu utamuambia nini na umbumbu wake huo kuwa amelelewa na CCM ukimuangalia hana hata pakulala na mlo wasiku hajui kama ataupata? leteni mbinu ya namna gani Chadema itaibuka na ushindi..

  Ili chadema Ishinde mimi/wewe tuungane kushawishi wananchi wenzetu kwenda kupiga kura na kuichangu chadema, zaidi ya hivyo tutakuja kukimbizana humu ndani mkidahi CCM wameiba kura!
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mganyizi,
  We are counting on your vote.
   
 6. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  The only solution which I think can work very effectively ni kujibu tuhuma kidogo then mwaga sera nyingi. Aongee kidogo, then habari yote ijae sera zake hakuna kurudi nyuma. Watu watampenda tena sana tu. Hata saizi watu wanamkubali ila kashfa hizo azitumie kama mtaji mzuri, hapa ni kuzichanga vizuri.

  Kama magazeti yanaandika sana tuhuma, then ajibu kiduchu then katika kujibu majibu yajae sera za mwaga, utaona wanaacha hata kumzonga.
   
 7. M

  Mantaleka Senior Member

  #7
  Sep 8, 2010
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri kwa kujaribu kuiba kura ndio suluhisho pekee kwa ccm kushinda, na hapa ndipo kama watanzania watashikilia lao hapa ndipo mchezo utakapo noga, sijui nini kitatokea. . . Mungu na aepushe ! yalikwisha tokea sehemu nyingine duniani ambako nako watu walikuwa waoga na wapole lakini sikumoja walijizira na mambo yakabadilika.
   
 8. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,508
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Subiri Kiranga (MS) aje uone moto.......!!!!
   
 9. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,801
  Likes Received: 6,311
  Trophy Points: 280
  Hii hapana! hii ilikuwa zamani kaka..

  Hapa sawa. Na inahitajika zaidi ya hapa. Kama CHADEMA itashindwa kuweka wasimamizi makini katika kila kituo, watakaoweza kuhakikisha matokeo ya kura yanawasiliswa makao makuu haraka iwezekanavyo (hivyo kuwanyima CCM nafasi ya kuchakachua), then tutegemee mengine
   
 10. Ngomo

  Ngomo Senior Member

  #10
  Sep 8, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 199
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  i have nothing to add on this
   
 11. m

  mjukuu2009 Member

  #11
  Sep 8, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Si ukweli ata kidogo ni watanzania wachache wanayoikubali ccm,Aya ni maneno wanayotumia ccm kudanganya watanzania kwamba kijijini watu awajui upinzani huo ni uongo mtupu-wizi,propaganda za ccm ili ata wakiiba kura wadanganyika msistuke.watu vijijini wameshaelimika vyakutosha watu awana maji,umeme,barabara,zahanati alafu unasema wanaipenda ccm kivipi.
   
 12. R

  Reyes Senior Member

  #12
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nasubiri kuangalia Chanel 10 nione makamba leo anakuja na yapi maana jamaa kwa siasa za maji Taka???
   
 13. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Yap hiyo imetulia. Kuna watu wako vijijini wanalala kwenye ngozi za ng'ombe ukiwauliza watamchagua nani watakupa jibu la kifala: "Jikwete".

  KAzi ipo, lakini mimi naamini jopo linalounda safu ya Chadema ni limejaa 'vichwa' makini. CCM wataanguka tu na umafia wao.
   
 14. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ukweli kazi vijijini bado...... hata hivo matumaini kuwa hata vijijini wamepevuka makubwa mf. vipo vijiji wamechagua chadema serikali za vijiji na uelewa upo.
   
 15. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  tumekuelewa, vizuri veri good
   
 16. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Chichiemuuuu mnalo mwaka huuuu
   
 17. E

  Estmeed Reader Senior Member

  #17
  Sep 8, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania, hasa wana-CHADEMA:

  Inapokuja kujadili sera, wengi tunalilia haiba za wagombea. Na inapokuja kujadili haiba za wagombea, tunalilia kujadili sera!

  Kwa sera na haiba, CHADEMA sasa ni zero! Itawachukua muda kusafisha hilo la Dr. Slaa na tuhunma yake ya kuiba mke wa mtu ... Dr. Slaa ni Mkristo na Mwanasheria ... maadili zero! Na kuna-debase mapambano dhidi ya ufisadi ... kwani anaonekana ni fisadi wa aina yake ... sumu mbaya!Dr. Slaa ametuabisha beyond conscience, we do not want any further mortification to complete our embarrassment!
   
 18. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Na bado. Slaa kawashika pabaya
   
 19. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Say it again... ukimaliza endelea hapo chini
   
 20. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Kuna Mtu kanipa theory hii, sikupenda kuiamini. Please take it as a Quizz:

  Kuna wapiga kura makundi mawili: Kund A na Kundi B

  Kuna vyama vitatu vyenye ushawishi: Chama A, Chama B na Chama C:

  Inaaminika kuwa kura za Kundi A: Zitagawanyika kwa Chama A na Chama B na Chama C

  Where as kura za Kundi A: Zitaenda Chama A na Chache Chama B

  Kundi A ni nani na Kundi B ni nani?

  Chama A, B na C ni nani?

  Why?
   
Loading...