MAWANI
Member
- May 12, 2009
- 71
- 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka kuna siku Obama alishawahi kuwaambia watoto wa sekondari kwamba wawe makini sana na vitu wanavyoandika kwenye facebook maana siku watakapokuwa wakubwa na wanatafuta uongozi, hivyo vyote vitaibuka. Sasa ndiyo haya ya huyo mgombea wa Ngara. Wakati huo hakujua kama kuna siku atakuja kutaka uongozi akajiachilia tu kwa raha zake.
But inawezekana pia kwamba hicho kimemo kimeandikwa ili kumchafua. Who knows? Watu hawashindwi kitu. Kuna haja ya kukifanyia uchunguzi wa kina kama kweli ni yeye aliyekiandika, na kama ni yeye, ni kweli alikiandika kwa mtoto wa form 1? Form one gani anaweza kusoma barua ya kiingereza hivyo?
Kuna haja ya kutafakari kabla ya kuamua kumzulia mtu jambo. Hata hivyo haina sahihi yake, wala jina lake, napata shaka kama kweli siyo mbinu za kumchafua.
Sidhani hii barua ina uhusiano na mgombea ubunge wa ngara hizi ni siasa chafu za kuchafuana majina tu
Sidhani hii barua ina uhusiano na mgombea ubunge wa ngara hizi ni siasa chafu za kuchafuana majina tu
Kumekuwa na mtizamo kuwa viongozi wengi ni waadilifu. Taarifa niliyopata muda huu ni kuwa anayegombea Ubunge jimbo la Ngara ni FATAKI. Je hii inakubalika? Soma kiambatanisho (attachment) na karibu kwa maoni na michango.
tutajuaje umri wa huyo dada? tutajuaje uhakika wa hii barua?Kumekuwa na mtizamo kuwa viongozi wengi ni waadilifu. Taarifa niliyopata muda huu ni kuwa anayegombea Ubunge jimbo la Ngara ni FATAKI. Je hii inakubalika? Soma kiambatanisho (attachment) na karibu kwa maoni na michango.
huuu mwandiko ni wa ntukamazina kabisa, prooved kama anabisha aende mahakamani wachuke sampuli za alama za vidole aumbuke, duh mazee mengine nuksi kweli kweli